Hebu geukia kwa huyo mm nimechoka mzee hatari sana
 
Mtu ambaye hajawahi kuchakata pampuchi za kutosha hatakuelewa ila kwa sisi (mimi) tuliowahi kufanya uzinzi wa kibaharia enzi hizo hii komenti yako upo sahihi 101%
Mstari kati ya mwanamke malaya na asiye malaya ni wa kuangalia kwa kutumia microscope.
Enzi za ubazazi wangu miaka kama kumi tu hivi iliyopita nilikiwa mzinzi kuliko hata neno lenyewe, nilichakata pampuchi za kila aina bila hata sababu za msingi.
Siyo married, siyo binti,siyo single mothers yaani ilikuwa kanyaga twende, uzinzi ulinipa ujasiri wa kutongoza mwanamke yeyote mwenye kazi yeyote na nafasi yeyote ila tu niwe na ukaribu naye ameishaa.Mpaka nikawa najiuliza wanawake wenye misimamo ya kusema NO na wakasimamia wanachokisema wapo lakini ni kiasi kidogo sana.
Nilipomaliza shule na kuingia mtaani huo ukawa mwisho wangu wa kufanya uzinzi,nilipooa 9 years ago ndiyo kabisaa hata kupiga voko nimeshaanza kusahau,
Mpaka leo huwa nakaa najiuliza hivi nilikuwa nawezaje enzi hizo kuwa na more than 5 girlfriends/ladies na hawakutani lakini leo only one wife anaweza kukamata namba ya mwanamke hata sijamtongoza[emoji3][emoji3]
Mkuu comment yako imenirudisha mbali sana.
 
Upo sahihi sana na zaidi ya usahihi nina uzoefu pia ktk hilo
 
Sawa mkuu
 
Umeongea ukweli wote kiongozi!
 
Na huo ndio ukweli wote ndugu yangu.

Upo sahihi sana.

Unaweza kuwa na mke ndani, akakuchia simu na ukajua safari zake zote bado kuna mtu/watu wakawa wanamchakata bila vikwazo.
 
Kimasihara mdada wa Pharmacy.

Huyu mdada sikuwa na Mazoea nae kabisa, lakini nilikuwa namchangia Sana Condoms. Kwa mwezi unaweza kuta nimechukua hata Mara 3.

Yaani akiniona naenda dukani pale anajua kabisa kuwa nahitaji condoms. Nikifika ananiambia kama juzi, namwambia ndiyo.
Ambacho hakujua zile condoms nilikuwa sizitumii Mimi mwenyew, nikichukua pakt Kama 3 au 4 nyingine nawagawia washikaji zangu.

Siku moja nimeenda ananiuliza, zile umeshamaliza kaka? Nikwambia ndiyo! Eeeh watu mnapiga kazi. Nikamwambia si unajua ukijua kumfuraisha mwenzio hataki mpumzike rafki yangu. Mmmh haya bn!

Nikamwambia ila hizi za leo ni kwa ajili yako (nilichomekea tu ila ilikuwa kwa ajili ya demu niliyekuwa na miahadi nae kwa kesho yake). Mmmh wew kaka!

Ndo hivo, tena zitunze kwenye pochi yako, ukifunga unistue, nakaa pale kukusubiri. Si unaona hadi boxer inavyoinuliwa huku! Akachungulia akaona umbo D mbele ya Suruali. Mmmh, akaguna! Mi nikamwambia naenda kukusubiri pale! Nikamwachia namba! Hata jina tu simfahamu! Nikaenda kutega kisehemu ambacho nilikuwa namwona, nikawa namcheki anavyo nichungulia!

Saa 1, sms hiyo so tunaenda wapi? Nikamwambia nifuate kwa nyuma! Mdogo mdogo, haoo Bongo Records, nikalipa tukazama room na kuanza kuchanganya bits Gusanisha hasi na Chanyaa, gusanisha, mamaweeeee! Gusanisha hasi na chanyaaa, gusanisha mama weeee!!!!

Baada ya kumla nafsi ilianza kunisuta akawa amepoteza mteja wa Condoms.
 
Dah....nouma sana
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Very true.
kuna mke wa mtu alinipenda hadi kero na ukimuona alivyo mstaarabu huwezi amini, nilimchakata kwa miaka 8,tulianza kimasihara tu ila ndo ikawa hivyo kuna siku anakuja kulala kabisa geto hadi namshangaa, ilibidi nihame na nibadili namba ya simu tu ndo nikamucha ki hivyo,na kipindi chote hicho hajawahi kusevu namba yangu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…