Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nipo chuo mwaka wa 3,kuna demu wa mwaka wa kwanza nilimkuta yupo sehemu kama ana maumivu, nikamsogelea kujua nini tatizo, kumbe demu anamaumivu kisa kapata sup somo moja, kidume nina sup 3 afu sina habari, tukapiga piga story paleee, nikamshawishi twende geto tuchk movie, aiseee kilaani nikala tunda bila kumtongoza, baada ya wiki niakaanza kumtongoza, eti akanikataa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. wanawake wakiwa na mahasira mpka raha
ulikutana na mbuzi sio demu
 
Tutembee kifua mbele [emoji41]
Screenshot_20200613-172946.jpg
 
Kimasihara mdada wa Pharmacy.

Huyu mdada sikuwa na Mazoea nae kabisa, lakini nilikuwa namchangia Sana Condoms. Kwa mwezi unaweza kuta nimechukua hata Mara 3.

Yaani akiniona naenda dukani pale anajua kabisa kuwa nahitaji condoms. Nikifika ananiambia kama juzi, namwambia ndiyo.
Ambacho hakujua zile condoms nilikuwa sizitumii Mimi mwenyew, nikichukua pakt Kama 3 au 4 nyingine nawagawia washikaji zangu.

Siku moja nimeenda ananiuliza, zile umeshamaliza kaka? Nikwambia ndiyo! Eeeh watu mnapiga kazi. Nikamwambia si unajua ukijua kumfuraisha mwenzio hataki mpumzike rafki yangu. Mmmh haya bn!

Nikamwambia ila hizi za leo ni kwa ajili yako (nilichomekea tu ila ilikuwa kwa ajili ya demu niliyekuwa na miahadi nae kwa kesho yake). Mmmh wew kaka!

Ndo hivo, tena zitunze kwenye pochi yako, ukifunga unistue, nakaa pale kukusubiri. Si unaona hadi boxer inavyoinuliwa huku! Akachungulia akaona umbo D mbele ya Suruali. Mmmh, akaguna! Mi nikamwambia naenda kukusubiri pale! Nikamwachia namba! Hata jina tu simfahamu! Nikaenda kutega kisehemu ambacho nilikuwa namwona, nikawa namcheki anavyo nichungulia!

Saa 1, sms hiyo so tunaenda wapi? Nikamwambia nifuate kwa nyuma! Mdogo mdogo, haoo Bongo Records, nikalipa tukazama room na kuanza kuchanganya bits Gusanisha hasi na Chanyaa, gusanisha, mamaweeeee! Gusanisha hasi na chanyaaa, gusanisha mama weeee!!!!

Baada ya kumla nafsi ilianza kunisuta akawa amepoteza mteja wa Condoms.
Gusanisha,,,.........nyama kwa nyamaaa
 
Back
Top Bottom