Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Haya masihara hayakuanza leo, yalianza kitambo sana aisee.
Kuna mzee leo alikuwa anatupa stori alivyomla shemeji yake kimasihara haya.
Mzee anadai alienda dukani akamtafutia shemejia yake night dress(tunavyoziita siku hizi), chupi na sidiria, akamkabidhi akasepa.
Kesho yake akarudi nyumbani wakati dada yake hayupo, akamuuliza vipi zilikutosha shemeji yake akasema ndio.
Mzee akamwambia zivae basi na mimi nione kama nimekuchagulia vizuri
Shemeji mtu akaenda kupigilia night dress na kachupi na sidilia ile, mzee akapgawa. Oh shemeji umependeza, hebu geuka nyuma.
Shemeji kugeuka mkono kwa kiuno mwingizne lake victoria.
Kilichoendelea hapo nakumbuka zamani tukiangalia movie ya jamea Bond, ikifika sehemu hiyo ndani kunakuwa kimya utafikiri umebaki peke yako.
Hii mbinu nimeipenda kutoka mwa legendary, ntaitumia ila si kwa shemeji yangu
 
Mnaodhani hii ni chai mi ndo nawivu bas kuweni makini nieleze kwann mtu mzima Privity kaleta Chai

Katika hizo screenshot mbili zote, same phone, same name saved na same android model, so probably its the same phone from the screenshooter, ila moja with Dark theme nyingine without
Ila the funny thing ni kuwa screenshoot moja mwanaume yuko upande wa kulia mwanamke upande wa kushoto, nyingine ni the opposite of the first, easy pizzy, Chai
View attachment 1477609
JamiiForums-1209603194.jpg
 
Somehow chai zenu zinafanana...
Ipi na ipi Mkuu zinazofanana! Shida unaona ni chai baada ya kunywa! Ukishadindisha tu ukakosa pa kupapasa, then ukafikiria wenzako walivyo gusa kilaini roho inauma! Hapo ndo unaanza kujiuliza! Hivi ni kweli ? Hivi ni kweli?

Hahahahah, Sasa jua nyingi ni kweli! Tena kweli tupu! Chukua mbinu, kale kimasihara lete mrejesho! Relax bro, life is too short!
 
Mnaodhani hii ni chai mi ndo nawivu bas kuweni makini nieleze kwann mtu mzima Privity kaleta Chai

Katika hizo screenshot mbili zote, same phone, same name saved na same android model, so probably its the same phone from the screenshooter, ila moja with Dark theme nyingine without
Ila the funny thing ni kuwa screenshoot moja mwanaume yuko upande wa kulia mwanamke upande wa kushoto, nyingine ni the opposite of the first, easy pizzy, Chai
View attachment 1477609View attachment 1477610
Hahahahah, Mkuu haya uyaonayo ndo yanafanya dunia izunguke! Yakikosekana, dunia itasimama!
 
Ipi na ipi Mkuu zinazofanana! Shida unaona ni chai baada ya kunywa! Ukishadindisha tu ukakosa pa kupapasa, then ukafikiria wenzako walivyo gusa kilaini roho inauma! Hapo ndo unaanza kujiuliza! Hivi ni kweli ? Hivi ni kweli?

Hahahahah, Sasa jua nyingi ni kweli! Tena kweli tupu! Chukua mbinu, kale kimasihara lete mrejesho! Relax bro, life is too short!
Mheshimiwa mpishi umesahau siku ambayo ulisema "sasa ni mwendo wa chai tu "..? au mpk niende ku screen shot..nenda kafute post yako ile ili nisije na ushahidi hapa
 
Mnaodhani hii ni chai mi ndo nawivu bas kuweni makini nieleze kwann mtu mzima Privity kaleta Chai

Katika hizo screenshot mbili zote, same phone, same name saved na same android model, so probably its the same phone from the screenshooter, ila moja with Dark theme nyingine without
Ila the funny thing ni kuwa screenshoot moja mwanaume yuko upande wa kulia mwanamke upande wa kushoto, nyingine ni the opposite of the first, easy pizzy, Chai
View attachment 1477609View attachment 1477610
Ni kweli hizi ni chai na zina tangawizi. Embu lete ambayo sio chai [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mheshimiwa mpishi umesahau siku ambayo ulisema "sasa ni mwendo wa chai tu "..? au mpk niende ku screen shot..nenda kafute post yako ile ili nisije na ushahidi hapa
Itafute uilete Mkuu @Luhan_chen. Niko tayari kuumbuka!
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya mwanamke malaya na asiye malaya.
Na huu mstari mwembamba unaweza ukawepo kwa kuwa tu hujajua mambo ya mwanamke husika.
Mwanamke anaweza kuonekana mstaarabu na anayejishimu lakini siku ukijua faili lake utabaki mdomo wazi.
Natamani haya maneno yako tungeyafanyia documentary.......
 
Back
Top Bottom