Chai
 
Mzeee hizi mbinu hatari ssaaana. Yani ulicheza mission atari.

Legendi
 
Ghafla unapaki gari. Hakuna sehemu ulienda nyumbani kwenu/kwako, hakuna mahali umekodi gari, safari yenu ilikuwa ya dar lux hivyo hata jimama halikuwa na gari, mlienda kupima wote ila ghafla yeye amefika hotelini na kukutana na mwanaye. Tunangoja part 3
 
Kile chuo kina watoto wazuri sanaaa
 
Ww naona ni mtoto wa mama ntilie kila kitu chai , si ukaushe
Its hard to lie me, binadam kaumbwa na akili yangu naitumiq vzr, ndo maana ata movie nying watu wanazoona ni nzr naona ni mbaya,
Na mtungaji wa hii stori anajua ni chai
 

Baharia next level......😀😀😀😀😀😀😀
 
Nimeangalia avator yako nikaangalia na ulichoandika.
Aisee kweli wewe ni verifier baharia.
 
Kipimo cha kuona na kutambua kama n chai au sio chai kila binadam anacho mwenyewe...! Nmemuomba Mum wa dar aseme jambo coz n member labda itafika point atasema jambo....! then Ninachokielezea hapa ni kilichonitokea nikamla Mum wa dar na ninatambua kwa uelewa wangu sijaweka chai wala kahawa yeyote...!Mwanza mie ndio home na gari niliondoka nayo home kwangu kwenda Lodge kwa Mum hapo n baada ya kufika mwanza, then kuna inshu umesema sijaenda home labda hukusoma part one vizur,rudi uisome mkuu...!

Nitaweka mwendelezo jioni now nipo busy kidogo
 
Mkuu leta story achana na hawa wanaosema chai. Kuna mtu huku kila story lazima aandike chai.. sasa sijui alitaka kuliwa yeye? Lkn hili la kumwambia mama wa Dar aje acomment huku kausha . Ushasema ana watoto wakubwa.. wanaweza kuungisha dot ikawa msala. Hawa watoto wa dot.com achana nao.. inawezekana wapo huku na wanajua ID ya mama yao..
 
Hahaha kwa asioelewa ataona uko sahihi ila tulioelewa tumeona mengi sana mpaka kufikia apo, uongo sikuzote hauambatani na kisa kimoja cha uongo kwenye stori, bali visa vingi visivyoleta maantiki,
Inshort chai yako ni chai ya kitoto
 
Mwamba temana na watoto hawa. 29/06/2020 si mbali sana, shule zitafungua watatuachia jukwaa. Sijui anataka yeye ndio awe mum wa Dar? Mtoto wa kiume ana muonea wivu mwanamke kupigwa machine.
Acha kuwa kama unakirema cha akili wewe, yani watu ka wewe ndo huaibisha waafrica ili wote waonekane ni wapumbavu, kama huna great thinking capability ni wewe, na kama huwezi kuchambua uongo na kweli ni wewe,
Kama kupingana na mtu kulingana na uongo wake we wadhani ni wivu sikulaumu, bali nalaumu akili yako kwa kuwa duni,
Nyie ndo miwatu ambao mtaamini mtu akiwadanganya kafanya mapenzi kwenye mwendo kasi na mschana asiemjua na mkaamini na kutanguliza neno "iiiii WE JAMAA ni NOMA''

Yawezekana alikaa na huyo mmama ila story was very different,
Kama unaakili timamu soma tena stor na ugundue makosa
 
Whether ni chai au chapati, wewe leta tutatumia ty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…