Uko sahihi chief [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu umetisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo bila pombe zoezi lingekua gumu sana
 
Kuna jirani yangu nakaa nae maeneo niliyopanga nategemea saa chache zijazo atakuwepo kwenye huu uzi wa KULIWA KIMASIHARA!

Anakaa peke yake, anasema hana bwana kabisa.

Kinachonichanganya ni kwamba ana kinyeo hatari! Mavi kifungu..!! Halafu kiunoni yupo kama kiti hivi jinsi alivyobinuka!
Utasema kapigwa jiwe la mgongo!

Kanizoea sana kiasi kwamba ikifika kama hivi weekend anakuja kunigongea mlango, eti nimpe nguo zangu anisaidie kufua.

Sasa leo nimeona nimpe ofa mida ya saa moja za usiku hivi tutoke tuingie viwanja tukaimalize weekend kiaina yake.. Naona kama anakataa kataa hivi, eti yeye hanywi! Msg yake ya mwisho anasema atanijulisha mida ikikaribia.

Kwa pamoja wahuni tuombeane alete jibu la kueleweka..

Tusubiri majibu asubuhi kwa Part 2!
 
Ww mdada ulievaa nguo nyekundu ulipanda gar ya bunju makumbusho ukakaa na mkaka mwenye mzuzu na ulikuwa unapitia huu uzi ukiwa unatabasamu

Unabahat sana maana uliwah kushuka nilitaka nikupige kipapai japo ushafaham mbinu za kibaharia ila ungeshangaa na ww unafungua geti kimasihara


Narudia unabahat sana
 
Wanaume wa dar , mmeanza mpaka kufuatilia simu za watu msiowajua.
Hayo mambo huku mikoani hatuna
 
Mkuu umeshidwa ambulia japo namba...
 
Ila watuu
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

"...Baada ya kama goli tatu hivi ndio kaniuliza jina nkamtajia...."

Hapa mkuu umekula kimasikhara au wewe ndo umeliwa kimasikhara?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo analika kirahisi tena bila kufika huko viwanja, wewe ndio mzito. Chakufanya mwambie unamtoto yupo huko kwenu au muambie hapo kwako unaishi na mdogo wako wataalam watakuwa wamenielewa.
 
Hivi DAS wa kisarawee hayupo humu au anatubania tu?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unautan na Das wetu....ila jaman KIDOTI yupo cute jamn yule mtoto..kuna siku nilienda pale ofisin kwake aiseee da...she is very charming and presentable na utani mwngiii...ningekuwa mkubwa mkubwa kdg hata mm lazma ningeanguka pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…