Siku hizi ninatabia ya kula matunda hasa hasa Machungwa.
Sasa siku hiyo nilikuwa nipo nje namenya nakuyala taratibu, ghafla kapita mdada mweupe (anaishi jirani namuonaga mara moja moja ila hatujawahi kusemeshana) nkachombeza, "aunt eeehhhh njoo uchukue chungwa". Alikuja nikampa akashukuru kisha akaondoka,
Mida ya saa 2 usiku nipo natoka dukani mara paaap!!! Huyu hapa, nkamsimamisha nkamuuliza anaitwa nani (akataja jina lake), nkamuuliza anaishi kwake au kwao ? Kasema anaishi kwao!! Nikamuambia kumbe naruhusiwa kukukonyeza ehhh!!! (Akacheka sana akajibu ndio), nikamuambia basi nipe namba yako ili niwe nakupigia nakujulia hali (akanipa),
Usiku huo huo nkamtext akawa anajibu vizuri tu, nkachomekea utundu kidogo, nkamwambia kesho aje town tuzungumze (akakubali), kesho yake ilipofika asubuhi nkamtext nkamwambia aje town baada ya masaa 6,
Kweli alifika nkamchukua nkampereka pub
Aliagiza castle light mimi nkawa nakunywa juisi ya mango (nilisingizia nmetumia dawa), akawa anazibugia nyingi nyingi huku tunapiga story,
Nkachombeza twende zetu tukapumzike, akakubali ila akauliza wapi, nkamwambia utapaona akasema poa, nikaita boda boda nkamuelekeza atupeleke lodge (nilizungumza na boda boda wakati huo mtoto akiwa amesimama mbali kidogo ili asisikie),
Boda boda kstufikisha lodge nkamlipa, nkashika mkono wa demu mpaka ndani nkabonga na mhudumu katupa chumba nkamuingiza kwanza, then nkarudi kulipia na kununua kondomu, nmerudi nakuta kajifunga taulo tu.
Toto jeupeee, limejazia mguu mnene huo, sikuongea chochote, nilipiga touch, nkavaa ndomu nkajipigia mzigo. Baada ya kama goli tatu hivi ndio kaniuliza jina nkamtajia.
Basi kuanzia hapo naita nabonyeza tuuu. Hata kutongoza sikutongoza.
NILICHOJIFUNZA HAWA MADEMU UKIJIFANYA GENTLEMAN HAPA MJINI UKAWA UNAJICHELEWESHA ILI UONEKANE MSTAARABU BASI JUA TU KUWA WENZIO WANAKULA KIMASIHARA.