Pale jamaa kaharibu kazii... Kafukuzwa na kuhamishwaa mkoaa..!! Sema kama wanapendana mzee ni kazii sanaa mzew baba atakuja kumfukuza na kidotii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi DAS wa kisarawee hayupo humu au anatubania tu?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

yupo

na uzi alichangia kiaina...

sema tu alibugi kupiga picha na kizibiti na kuanza kuleta mambo ya Bombay kwa mali ya watu

baadaye ataleta mrejesho jinsi kula Tunda kimasihara kulivyom-cost;kutoka kuwa bosi hadi mtoza ushuru sokoni
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]analeta mahaba mpaka mbele ya mwenye malii
yupo

na uzi alichangia kiaina...

sema tu alibugi kupiga picha na kizibiti na kuanza kuleta mambo ya Bombay kwa mali ya watu

baadaye ataleta mrejesho jinsi kula kimasihara kulivyom-cost;kutoka kuwa bosi hadi mtoza ushuru sokoni
 
"napenda sana kuongea pumba [emoji28] nadhan nikwasababu ya kaz ninayo fanya" ! Vipi unafanya kazi ya UKONDA?
 
Anasikia nini 🤔

Ulidinya mpaka stage ya mwisho....
 
Hahahaaaa kaondokaje sasa
 
Wewe kwisha habari yako,

Mkuu yellow eyes wewe ni Miongoni mwa Jeshi lililokuwa likisimamia ustawi wa huu uzi tangu unaanza na hasa Kipindi Mh rikiboy yuko kifungoni.

Huku mchekea yoyote aliyedhihirisha Kuwa na nia mbaya dhidi ya thread hii. Unastahili tuzo ya heshima.

Kwa sasa umekuwa ukiadimika sana mpaka kuna siku nilipanga nikuulizie. Ni kwema lakini, au kuna tatizo?
 
Oky nimeona nikubali mpambano wa marudio maombi yenu

[emoji28][emoji28][emoji28]
 

Attachments

  • Screenshot_20200629-225058_FMWhatsApp.jpeg
    22.2 KB · Views: 64
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…