rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
- Thread starter
- #16,761
Pale jamaa kaharibu kazii... Kafukuzwa na kuhamishwaa mkoaa..!! Sema kama wanapendana mzee ni kazii sanaa mzew baba atakuja kumfukuza na kidotii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unautan na Das wetu....ila jaman KIDOTI yupo cute jamn yule mtoto..kuna siku nilienda pale ofisin kwake aiseee da...she is very charming and presentable na utani mwngiii...ningekuwa mkubwa mkubwa kdg hata mm lazma ningeanguka pale