Barua iliniondoa huko seminari bila mjadala,nililia sana maana wazazi wangu ni jamii sawa na kina Nduli a.k.a Idi Amini,tukiwa kwenye pickup ya paroko tunarudi nyumbani,ninalia sana,najaribu kumuomba paroko anifanyie mpango nipate shule ingine bila nduli na mkewe kujua.paroko alikubalia nikaingia shule ya diocese nakumbuka tulikaa week moja pale tukafanya ule mtiani wa midterm katika mitihani yote nikawa nimepata A,nimefika home nimeshika ma past papers yameandikwa sijui shule gani...kumbe nduli ana taarifa zote....Daah ile adhabu ya Mzee wangu huwa inanifanya nijione soldier bila mafunzo....Wakuu samahanini kwa ku interact Uzi huu.
 
Aisee ulimuandikia Barua sister au???? Pole mkui
 
Yule sista aliyefanya ufukuzwe yuko wapi kwa sasa/ Mnawasiliana bado?
 
Aisee ulimuandikia Barua sister au???? Pole mkui
Mkuu uwezi amini mpaka leo sijui ni nani alinichezea hyo 'sabotage'...barua ilitummwa na binti wa shule nyingin,'ikishukuru' kwa meeting yetu wakati wa likizo ya december.., kissing,gently touching... tits...ndio vitu vilizungumzwa huko;cha ajabu ni kwamba sijawai kula tunda hilo wala hata kuwahi kulijua;ubabe wa dingi na maza ulikua umenifanya hata nikimuona manzi nabadili njia,kwa umri ule sikuwa nimekulatunda, ila tunda fake likanitoa Shule......
 
Duuh hujuma ulifanyiwa mkuu...!!
 
Duuh hujuma ulifanyiwa mkuu...!!
Na km ilivyo ada "kula kimasihara" ni neema ya kila mtu basi nami naachia yangu mkuu,
Nakumbuka ilikuwa tarehe 28/12 ya mwaka flani kijijini kwetu huwa ni siku ya comunion ya kwanza (ubarikio).basi kulikueko na sherehe nyingi,nikiwa sina hili wala lile dingi jioni akanieleza kwenda kusaidia familia ya jirani yetu ambaye hakuwa na vijana wa kiume.basi,asubuhi pale tukatimiza wajibu mapema kisha nikajisogeza kwa jirani...kikosi kazi cha jirani kilikuwa kinaongozwa na binti ya ndugu yao aliekuwa anasomea uganda,basi tukaanza pale kusaidia mara kusimika jukwaa, mapambo, nk...baada ya km lisaa hivi nakumbuka mimi ndio nilikuwa nimechukuwa kikosi kazi nikisaidiana na msomi kutoka uganda"kipindi hicho kusoma nje ilikuwa isue sana"...nakumbuka niliweka mambo katika mpangilio uliozingatia desturi zetu na ka usomi mchwara ka form four(mwaka huo ndio nilikuwa nimemaliza)basi kulikuwa na kila dalili sherehe ile imefana na mimi kama MC na 'mkurugenzi' wa shughuli ile niliakikisha naweka heshima.....basi mie na 'mganda' tulikuwa tunapeana maelezo yale ya kuinamiana...mara fanya hichi fanya kile.... basi nakumbuka huyo manzi alikuwa mzuri sana na kulingana na mawazo yangu nilikuwa nawaza tuu pengine ni ndoa ndio ingemstahili...na kulingana na ushamba wangu nilikuwa nawaza kumweleza dingi akanipelekee posa.....basi katika harakati za kupeana maelezo ndipo nilipopokea ujumbe ...'......nitakupa zawadi nzuri leo'...mweeee,mie nikawa nawaza zawadi za kijinga sana..mara kipande cha keki,mara malta na ujinga mwingi.......mda ulizidi kwenda na mim waswas ulianza kuniingia maana nataka nirudi home nikasimamie program ya mzee ya kukamua na kuuza maziwa.,ile paaap kwa mara ya kwanza mzee wangu Nduli alikuja na kunidokeza "hakikisha unamaliza hii shughuli salama acha mimi nikasimamie maziwa"basi hapo nikajua nimekubalika na mzee.......kuelekea ukingoni kila mtu alikuwa ananipongeza katika ile familia..majirani na hata marafiki.. nikiwa nawaza ile zawadi.. giza limekwisha kuingia na mimi nina green light ya mzee wangu ila hainipi kijiachia sana nataka kuwahi home... gafla mtoto mzuri alikuja huku round hii kavaa kanga juu ya gauni lake na kumwomba nimsindikize mahala....basi tukawa tunaelekea kwenye kichochoro kati kati ya migomba na kahawa..ghafla tukaacha njia, nikaongozwa kuelekea chini ya mtu mkubwa wenye giza totoro.....ile paaap ni mimi na yeye tumeegemea mti,mtoto akawa ananisemesha kwa kimombo kuwa haoni sababu ya yeye kutonitunuku zawadi ya tunda...uongo dhambi nikaanza kuhema saana.. nikahema tena sana mpaka nikahisi kupaliwa...ulimi uliingia sikioni,nikahisi kupiga kelele,ile nimejikaza kama mti ,ulimi ukaja mdomoni......ee sijakaa sawa mara corn ikawa imejazwa mdomon(mkuu naapa hapa nilikua natoa kilio mcheko)mara sijkaa hata sekunde 30 wazungu wakaja,hapo nikaisi miguu kukosa nguvu...mara nikataka kukimbia nikavutwa nikaambiwa 'baaado'..mara gauni likapandishwa juu kumbe hata 'kyupi' kilikuwa kimeaachwa home....mtoto s
Kanisetia ile style ya fuka fuka kwa ushamba nikagusia 'hapana huko nyuma hapana...'mara mtoto akaelewa mie zuzu wa hayo mambo,kanga ikatandikwa ..nikaletwa juuu...hapa ndo kulikuwa balaaa...ile kuingiza tuu...moooooto nikaanza tena kulia kucheka huku nimeiacha huko ndani...mara nikaambiwa chochea..nikagusia 'aje sasa '..nikaambiwa fanya kama unaingiza na kutoa.......(wakuu nilitia fora sana ).....sijawai kulia namna ile..ile nimemaliza.mtoto karudi chaap kwenye shughuli mie huyoo naelekea home,najiona km vile niko ulimwengu mwingine ...huku namuwaza Nduli naona kama alikuwa anatuona...nikafika home nikazunguka kwa nyuma kuna bomba nikawa nanawa huku nawaza namna ya kuzama hapo ndani......kumbe nduli yuko hapo kwenye mifugo..nikaskia "mzee umerudi"....kikawaida dingi yangu akinielewa sana ama nikimfurahisha ananiitaga "mzee"...nilivoskia hivo nikaskia kushangilia moyoni.......Wakuu sasa nisaidieni mie ndo "nililiwa kimasihara ama nilikula kimasihara"?huo ndo ulikuwa mwanzo wa safari yangu ya ...

Heshima kwenu wadau wote wa Uzi huu adhimu.
 
Uliliwa bila chenga hata kidogo
 
K'njaro hii bila kupepesa[emoji3][emoji3]
 
Kongole, hii sasa ndio masihara yenyewe ila mlikulana hahaha
 
Hii mkuu uliliwa kimasihala. Tena inabidi ukate Rufaa
 
Hahaha,hapo uliliwa kimasihara mkuu
 
Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…