Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Usisahau na maandaziITAKUJIA HIVI PUNDE KAA TAYARI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau na maandaziITAKUJIA HIVI PUNDE KAA TAYARI
Unazingua sasaITAKUJIA HIVI PUNDE KAA TAYARI
Mikito upo mkuuu niajeITAKUJIA HIVI PUNDE KAA TAYARI
Uweke na katangawizi kwa mbaliITAKUJIA HIVI PUNDE KAA TAYARI
Ila weee unavo ni andama jomoneeeeeh, mmmh hadi najistukia lol, but anyway ngoja mieeeh ni sign out mazimaaaah, nkuache ufurahi. Aaaaaaaah
Thanxieeeeh, but huyo kazidi kuni andama lol hadi naona jau khaaaaahUsiondoke furahia maisha kwan bei gani
Hahaha. Halafu utakuta kumbe Mikito Mikito ni dogo mmoja wa kidato cha pili anasoma shule ya Day, ndiye anatusumbua vichwa watu wazima hapa Jf!
Nenda maeneo karbu na Bank ya CRDB pale kuna chimbo saf tuWanangu sana eeh ebu nielekezeni chimbo (Lodge) zuri lililojificha kama upo maeneo ya Banana, kuna namba A flan hv nataka nikamkande by jion leo. OVER!!!
Umetisha mkuu ngoja nika survey nowNenda maeneo karbu na Bank ya CRDB pale kuna chimbo saf tu
Pana nyama choma?Nenda maeneo karbu na Bank ya CRDB pale kuna chimbo saf tu
Vp mkuu kuna mtu anapasuka nn [emoji23][emoji23][emoji23]Shusha Pazia, naona Kama Kuna mtu anatuona- duuh aisee![emoji23]
kaka huu uzi wako si wa kitoto ... yn huu ni uzi kama uziKatika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
Aisee story la kibabe sana
Uko wapi?
Home
Una fanya nini?
Nipo tu nasoma soma
Una kitabua cha Shigongo?
Kipi?
Kile ulichokuja nacho library siku ile?
OOOH kile cha stephanie nnacho ndio nakisoma hapa
AAAH jamani namimi nlikua nataka nkisome D
Njoo tusome wote kama unataka
Poa nakuja
BAADA YA NUSU SAA
Hodiiii
Pitaaa sukuma
mambo D
Poa tu niaje?
Fresh nambie
Karibu sana za kupotea
Nzuri we ndo umepotea bwanaa
Aaah mi nipo tu
unaangaliaga katuni na wewe?
Ndio nacheki sana tu ndio starehe yangu na vitabu
Hii katuni inaitwaje?
Sing
nsimulie basi ikoje koje
Nkamsimulia kidogo then nkamwacha akodoe macho (kashasahau kilichomleta ni kitabu)
Unakunywaga wine?
Ndio ila nimekunywa zamaniiiii,unataka kunipa?
Hapana nimekuuliza tu,niambie nikupe nini unywe huku ukiangalia movie
Nichagulie wewe bana chochote tu
Nkaenda nkafungua fridge nkatoka na Drostdy hof nkam miminia kwenye glass,nkampa (karibuu)
Asantee,sio chungu?
Hapana we onja utaiskia
OOH KUMBE TAMU mi nlijua chungu
HAMNA hiyo n tamu tu (basi nkaendelea na kitabu changu na yeye na movie ake)
BAADA YA NUSU SAA
namuuliza,umemaliza nikuongeze?
kimyaaa,kuangalia eti kashalala
vipi mama unaskia usingizi?
Yani nimechoka D
Twende ndani ukapumzike kidogo
Mi nkalale peke angu? labda tulale wote
Kichwa kikalia Alarm triiiiing (nkasema leo ndio leo)
Ok twende namimi ntalala kidogo,nimechoka kusoma
Tukafika kitandani tukajitupa tukalala (nimetulia kimya kama sio mimi hapo)
nkaona mtu anajisogeza sogeza kwangu si unajua ile wakina dada wanavyolala
Namimi kimya nkajifanya nakoroma
Akasogea tena na tena hadi tukagusana
Nikaona huu Uboya huuuuu,hivi sisi tumelala au hatujalala? (najiuliza kimoyo moyo)
Nikauchuna mtoto akajaaa uso ukaja karibu yangu tukawa tunapumuliana kama mabeberu
Mara lips zikasogeleana
Mara zikagusana romance ikaanza
Puruku puruku mtu KALIWA
baada ya kulana usingizi ukamuisha mwenzangu
Akaamka akananiambia alikua katumwa mahali
Nkamwambia poa mi nipo
Akatoka akasepa na Mwisho ikawa hivyo
Huyo alikua ni mpenzi wangu wa kwanza kabisa kumkula bila kumtongoza
Hatukuishia hapo tuliendelea tukaja achana mbele mbele huko
Huu uzi nu uzi, siyo kama uzi.. yaani ni uzi kweli..!!kaka huu uzi wako si wa kitoto ... yn huu ni uzi kama uzi
Unajitekenya mwenyewe halafu unacheka. Yaani mesage za mtu mmoja hizi. Unajiandikia kisha unajijibu.Story yangu ni fupi sanaView attachment 1477568