Haya marlezo ya awali.. ulimkuta pale university corner [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukajua ni mwanafunzi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Noma sana mkuuu.

Coder 12
 
Nyege haziangalii unasoma wapi. Hata havard watu wanaliwa tuuu kiriboy
Dadeki mieeeh nakereka yaan kweli msomi wa hapa UD analiwa kisa chips? Is it? Sasa weekend hapo mbele ya magu hostels gari za kifahari znavochukua vident, nabaki kuduwaa tyuuuh.
 
Dadeki mieeeh nakereka yaan kweli msomi wa hapa UD analiwa kisa chips? Is it? Sasa weekend hapo mbele ya magu hostels gari za kifahari znavochukua vident, nabaki kuduwaa tyuuuh.
wew upo maeneo ya karibu na hapo au
 

Duuuh uandishi wa api huu?
 
ila hata wew utakuwa na kastori[emoji28]tu
Naweza kuwa na story ila sio ki masikhara, na siamini km kuna masikhara km sio kubaka, vingnevyo n maamuz ya muhusika tyuuh. Yaan mtu umnunulie chips kuku na [emoji485] afu useme masikhara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah najua huwez kusema. Hiyo siku kuna jamaa yangu mmoja mambo ya disc za usiku pale vimbweta vya karibu na geti la ktokea kama unaenda shato point au conas.

Jamaa alikuwa amekaa amempakata bint huku taratib anajilia mema kisirisir yani.

Mwanga ulikuwa hafifu.
Huo mda hata sina mie wa kubanjuka, aaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…