mtoto mdogo sana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 460
- 1,341
Haya marlezo ya awali.. ulimkuta pale university corner [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukajua ni mwanafunziJumamosi nilienda UDSM kumcheki mdogo wangu anasoma pale. Maeneo ya ile njia ya kuingia chuo pale karibia na ubungo nkamuona binti mmoja ana mwili wa wastan mweupe hivi dukani ananunua vitu.
Nikamsubiria alivotoka nkamfuata nkaanzisha story zile za kizushi tu. Unasoma nini, mwaka wa ngapi. Akawa anajibu kwa dharau flani, akaniuliza kama nasoma nkaumjibu mimi mfanyakazi, nimekuja kumcheki mdogo wangu. Basi akachamgamka kidogo na tukabidilishana namba. Mtoto anasoma mwaka wa pili.
Nmemalizana na dogo nkasepa. Na yule binti nkasahau kumtafuta. Jana Jumatatu mida ya mchana kantext whatsapp anauliza mbona sijamtafuta, nkazuga na story story pale. Kaniambia yupo saluni maeneo ya mwenge akitoka anarudi hostel. Nkamuambia ukitoka tuonane. Akasema sawa. Sharti nimfate pale mwenge.
Kichwa cha chini kikashika uskani. Saa 10 juu ya alama nimesha sign out ofsini, nkadandia bolt kibodaboda manake kwa jion hiyo foleni yake si mchezo. Kufika mwenge kweli mtoto huyu hapa. Kavaa kigauni flani namuangalia udenda unatoka tu.
Ikabidi nichukue tena bolt ya kigari kidogo hadi home. Tumefika fresh nkamchukulia chips yai na kuku pembeni coz najua ndo ugonjwa wao. Wakati anakula ikabidi nkae pembeni na laptop niendelee na kazi za watu. Yeye nkamuwashia TV aangalie miziki
Kamaliza kula kaenda bafuni karudi kakaa karibu yangu kabisa akawa anauliza nafanya nini. Nna piga code hapo, nna deadline ya system. Watu wa IT mtakua mnaelewa.
Nkaona hapa hamna nnachofanya. Nkafunga pc nkamvuta kaja mazima. Mtoto msafi af milage bado ndogo sana, nyege kama zote. Nmepiga mashine usiku kucha. Asbuhi ndo amerudi hostel na mm nkaingia job. Toka afike hostel anatumia tu picha zake na story kibao.
Watoto wakiwa na nyege hawa hata kusoma hawawezi. Halafu wengi waliojanjaruka kidogo hawataki ku date na wanafunzi wenzao. Ukiwa unawajulia utawala sana kimasihara tena bila gharama. Cha msingi uwe presantable, unaweza kujieleza, uvae vizuri na home kwako pawe panaeleweka.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app