Si nyie wazee wazima mnakuja na ndinga zenu kalii, pesa km zoteee, club ya maan, sasa hapo watachomokaje? Aaaaah acheni hizo bhanaaaah. ,Mungu hapendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke ndo anakula kimasikhara....Issue ni kwamba ndo Namna yake ya kutongoza na kumaliza mchezo. Hawawezi kutamka Kama wanaume!!! My thinking.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nan mie au? Ni huku tyuuh JF ila real life mie n innocent sanaaah, wala huwezi amini hata ukiniona uwiiiiiiiiiiih
Kwa nini unatisha sana . ??
 
Npo serious yaan kauzu na mpole mkimya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ujakutna na baharia kazni .
naamini ukikutana na baharia alie Itimu mafunzo .

Lazma uliwe tu .
Na utakuja kutoa ushuhuda umu we mwenyewe
 
We ujakutna na baharia kazni .
naamini ukikutana na baharia alie Itimu mafunzo .

Lazma uliwe tu .
Na utakuja kutoa ushuhuda umu we mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani sasa kamweeeeh
 
Usikute ata ivyo vigezo vywa kuliwa kimasihala una .!!

Ukute Sura ya Baba miguu ya mjomba [emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje sasa kwahyo km najifariji vile uwiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah weeee ni nyokooooooh sanaaah
 
Umejuaje sasa kwahyo km najifariji vile uwiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah weeee ni nyokooooooh sanaaah
Unajipa moyo kwamba Aiwezekani

Ukute Hii wiki ya pili ata Ujapigiwa mruzii na men yoyot[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajipa moyo kwamba Aiwezekani

Ukute Hii wiki ya pili ata Ujapigiwa mruzii na men yoyot[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jomoneeeeh nlkuja chuo kusoma sio kupigiwa miluzi aaaaah weee nae khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jomoneeeeh nlkuja chuo kusoma sio kupigiwa miluzi aaaaah weee nae khaaaah
Basi acha sisi tule matunda kimasihala

We kwanza unatakiwa usome kwa bidii inaonekana unasura ya Bamndogo mikono Ya Bamkubwa [emoji1]
 
Si nyie wazee wazima mnakuja na ndinga zenu kalii, pesa km zoteee, club ya maan, sasa hapo watachomokaje? Aaaaah acheni hizo bhanaaaah. ,Mungu hapendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yan tuwe wanyonge na hivyo vistobe vyenu tunavitaka ahahaha hatuwez kuvumilia sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio vizuri hivyooh mjue lakini aaaaah, boez wa chuo wanaumia sana sometyme hamjuagi tyuuuuh. Khaaaaah

Waambie boys wa shule ni zamu zamu ahahahaha wao pia wakipata michongo inakuwa zamu yao hata me wakati nasoma chuo kuna pisi moja nlikuwa naipiga na ilikuwa na bwana mkurugenz tbl nlivumilia tu kibaharia sababu aliniambia wakati namtongoza...anapanda gari anaenda kupigwa kipara namwangalia tu
 
Basi acha sisi tule matunda kimasihala

We kwanza unatakiwa usome kwa bidii inaonekana unasura ya Bamndogo mikono Ya Bamkubwa [emoji1]
Mungu wangu wee nakufa uwiiiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya bhana sawaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…