Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Jamani hizi conversations mnazofanya zinazingua sana.unafungua uzi unakutana na unread comments zaidi ya 100 unajua ngoja nisome Visa vya kuliwa kimasikhara. Unfortunately unakutana na story tu mwanzo mwisho. Plz hizo story pigeni PM au kule kwenye jukwaa la Chit Chat.
Maendeleo hayana chama
 
Waliolike comment yako hii bila shaka ni weusi sana na wana inferiority complex kama zako. Umepanic mbayaa bidada.

Wewe pia huna akili

UZURI = KILA MTU NA JICHO LAKE + VIGEZO VYAKE.

Uzuri sio rangi,
Kuwa mweupe, mweusi sio kigezo cha uzuri au ubaya

UBAYA = JICHO LA MTU NA VIGEZO VYAKE

mbaya kwako sio lazima awe mbaya kwangu.

Unaweza kuwa mweupe usiwe mzuri

Unaweza kuwa mweusi usiwe nzuri

Neno mzuri ni complex entity ambyo katika mapenzi na wapenzi kila mtu na apendacho, hatufananii.
 
JANA NIMEMLA MKE MTARAJIWA WA RAFIKI YANGU KIMASIHARA BAADA YA KUSOMA UZI HUU NIKAAPLY MAUJANJA YA WADAU;
Ebhana kuna dada mmoja alikuwa anakuja sana office ambayo kwayo ndipo mimi ninahudumu sasa tukawa tunasalimiana alafu basi mm huwa sio mtu wa kuwaangalia wanawake sijaumbwa tu hivyo ila sio kwamba sipendi mm jicho moja tu siangalii mara mbili.
Ni zaidi ya miaka mitatu anatembelea office yetu kwa huduma zake sasa kuna rafiki yangu katokea kumpenda ni mtoto wa Kiarabu sasa jamaa yangu akatangaza nia but awali hakuwa na mazoea naye n alikuwa anamhofia siunajua waburushi wanavyojisikia.
Nikamuombea namba sasa bhana wakapanga wasifanye chochote mpaka ndoa na ndoa ni tar 12 Mwezi wa nane mwaka huu.
Huyu swaiba yangu ni muislamu na huyo mwarabu vilevile sasa ramadhani yote wanajifanya eti hawaonani ila jamaa anatumia eti mm nimsalimie jamani.
Mimi mzee wa mizigo ya Sheikh kipozeo [emoji3]huyu mwarabu ni size ya kati na mara zote sasa bhana huyu mwamba haisi kujifariji kwa kumsifia mara eeh rangi adimu mara kabinuka si ikabidi na mm nimwangalie vizuri alipokuja tena.

Nikamtania shemeji hatimaye nimewaunganisha katka mema na mnafunga ndoa soon nitafutie zawadi basi huku nikijichekesha[emoji3][emoji2][emoji1]
Akasema usijali utapata zawadi shem wangu uchague tu huku nikimcheki shingoni ninaona mapigo yake ya moyo yakienda kasi sana ilw paah paaah paah ya fasta.
As a medical personel nikajua huyu kashajaa nikamwambia zawadi yenyewe ni ww ila chondechonde usimwambie rafiki yangu akasema kwa aibu sawa ila tutaongea mm sikukubali tuongee baadae baada ya shetan kumtoka nikamkazia kabisa kuwa tuongee kabisa na prome me iwe siri yangu mm na ww.
Akasema sawa nikamwambia lini sasa akasema tufanye jumamosi asbh nikasema poa ila jumamosi nikabanwa sana na kazi nikasema akizingua basi bhana nikamtext kuwa jmosi haitawezekana nipo bize akasema vp jpili!!
Nikapata mshangao inakuwaje anakuwa na uchu na mm kiasi hiki au kuna mtego nn.
Nikamwambia kuwa j3 coz ninajua swaiba yangu yupo bize so kama kuna mchezo wananichezea sitamwona job ebhana j3 saa3 asbh text kibao vp sasa umenitia minyege kibao shem alafu hutaki kuzishusha nikamwambia panda uber njoo town nikamwelekeza venue kisha alivyofika tu nikampitia pale kwenye ile lodge nikaondoka naye nikaenda kumtafunia nje ya mji mtoto mtamu sana aisee na anatoa mpaka ndogo ila nimeikataa coz sichezi na mavii.

Funzo
Usimtume mtu akutongozee wala usimsifie demu wako kwa marafiki zako hawa viumbe ni dhaifu sana.
Duuh jamaa anaoa balaa[emoji23][emoji23]

Sasa si ndio utakua ukimsaidia jamaa ako majukumu ata akioa mzee!??
 
Kuna wadigo watu wa tanga huko wanasifika sana kwa ujuzi wa kitandani lkn tembea UJIONEE mambo mm najiona ndio mwanaume mwenye bahati kuliko wote duniani ndio dunia nzima WAMAKONDE shikamoooo hawa ni balaa kama legelege imekula kwako na ukiwapa sana uhuru kitandani utajikuta unatoa machozi na kutoa ahadi za kijinga kijinga hatari weka mbali na WATOTO 🔞🔞🔞

Kufika pale watu kibao wake kwa waume sherehe zilifana kwa kweli singenge unaijua ngoma flani ivi hatari sana vinyago mziki wa kisasa basi balaa tu kweli nilishangaa niliona tofauti kubwa sana Dar na mikoa mingine hapa tuna 5 in 1 tunaanza na 5 kwa sababu hii ndio ya kawaida sana tunaanza slow mpka high tukisema tuanze high tutapaliwa bure

5=FENI BOVU
HUYU alinivutia kwa macho mda mwingi nilikuwa nikitumia kumuangalia yeye katika watu wote pale sijui kwa nini lkn yule dada anakata anakatika kuna kukata na kukatika yule dada anakatika viuno hatari vya kila aina unavyojua wewe vya chini vya juu vya katikati mara achezeshe makalio mara tako moja mara hivi basi burudani burudani macho yalipata kuona siku hiyo sasa nikiwa nawaza hivi yule boy wake au mme wake huko ndani inakuwaje wanalala chini kwenye mkeka au kitanda cha chuma maana cha mbao kwa yule dada kila siku mtakuwa mnatengeneza
Mm nilikuwa nashangaa tu na sikuwa nafanya chochote pale mara namuona yule dada anatoka kwa pembeni hivi na kwenda kupumzika kwenye mkorosho mm namchora tu akaa pale kama dakika 5 akanyanyuka na kuongoza njia ya kwenda kijiji yule dada atakuwa Ana JINI KATA anatembea kama anakatika yaani hatari fire kulia kushoto kulia kushoto makalio sana kama vibration sikuyashika ala kwa kuangalia tu unajua lile tako ni laini sana teketeke jamani
 
Nasubiri hiyo PM ya jibu... Na kapicha itapendeza sana bestie 😜

Alisema ni mwanaume mwenye hormones nyingi za kike.

Mwonekano, sauti, matendo nk vyote ni vya kike.

Kuhusu kuwa gay anasema siyo, ila anasema gays anawajua kama kiganja cha mkono wake.
 
Ndo maana ukasema hujawahi kuona comments za mikito,

Bas malizia assignments mlizopewa leo ulale, kesho uwahi kipindi. Huu siyo muda wa wanafunzi kuwa humu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae lol, nmeshatoka kwenye kipindi, khaaaaaaaah
 
Asee hui uzi unashawishi sana[emoji38], sikufikiria kama ntaandika kisa changu hapa.

MTOTO WA MWANAJESHI.

Miaka kadhaa nikiwa Advance (Uboizini), nilikua naishi kwa Kaka angu (mjeda) tena alikua msela msela tu, yaani hakuwa na mambo ya kiutu -uzima.

Nilikua boarding lakini kila weekend niko nyumbani[emoji23]. Nilikua mtoro hadi nikapewa jina 'mwenye shule'. Sasa pale jeshini nilikua na washkaji zangu 'watoto wa kota'. Mmoja akawa ananipaga details za wachumba.

Siku moja akaja akanipa namba za manzi mmoja (mtoto wa kota pia). Akanipa jina na short details zake. Nikampigia hapohapo nikamuomba appointment. Akaanza ooh sikutani na watu nisiowajua na blah! blah!. Nikampanga akakubali tuonane kwao jioni. Mida ya saa 2 nikatimba kwao, ati nikaanza kumtongoza na ndo siku ya kwanza namuona[emoji23].

Akaniambia niende atanipa jibu kwa txt, narudi geto akajibu kakubali[emoji23][emoji23]. Daah nikikumbuka nachekaga sana.

Huyu manzi alikua form four leaver lakini hakuendelea hivyo aliajiriwa kwenye duka flan wanauza Vyupi na nguo nyingine za ndani.

MTU KULIWA.

Kwakua anarudi usiku kutoka kazini, nionane nae akitoka. Weekend ilofuata nilitoroka alhamisi badala ya ijumaa niliyoizoea.

Siku hiyo manzi akaniita kwao, Nikakoki mwenyewe nikaenda. Akanipa direction chumba cha kuingia nikifika. Nilipokaribia akazima taa za nje ili nisionekane. Nikazama mwenyewe hadi ndani.

Kumbe chumba anacholala kinapakana na cha wazazi wake. Nikiwa mle nikawa naskia sauti ya mzee wake akiwa anaongea na mkewe.

Manzi alikua na ny**g hatari. Akanivua taritubu nguo akaficha uvunguni. Nikaanza kula mzigo taaratiibuuuu, wakati huo manzi anajikaza kinyama asitoe sauti. Na alikua anapenda nikwende Uvinza kila saa.

Nilit*mb wee nlivomaliza nikaondoka. Kesho yake nikampa msela stori hakuamini hata kidogo.

Ikawa kila weekend najilia vitu vyangu wakati huo masela nliowacha shule wanaNyetoka.[emoji23] Na sijawahi pata manzi fundi kama yule. Maana alikua anafanya vitu so vya nchi hii. Vya ughaibuni huko.

Baadae sana nikaja kujua kuwa yule manzi alinizidi age sema alikua na mwili mdogo. Mdogo wake ndo alikua makamo yangu. Tulikua tunasakata kabumbu na mdogo ake pale jeshini.

Natafakirigi siku ile Mzee wake angenikuta kwa binti yake sijui angenifanya nini[emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeeeeh hii sasa maziwa fresh lol, khaaaaaaaaah ndo joje joke hivi? [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Bro?

What is dis?

You are a girl? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Relaaaaaaaaaaaaax uhusika unabadilika kulingana na madaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom