Wajuba wazee wa kimasihara mmeniponza
Shemej yangu mke wa kaka anae mdogo wake wa kike nimejaribu kuomba mzigo kaniamshia pira laana, naona imekua ipo serious sana hapa hakuna masihara tena nikifanya mchezo anaweza kumwambia dadaake
 
Hii imeniuma kama vile mi ndo mwamba nnaye oa. We jamaa hujafanya fair kabisa ila na huyo manzi mgese tu hata ndoa yenyewe kabahatisha kwa boya
 
Hii imeniuma kama vile mi ndo mwamba nnaye oa. We jamaa hujafanya fair kabisa ila na huyo manzi mgese tu hata ndoa yenyewe kabahatisha kwa boya
Afu ubaya manzi anagawa hadi ndogo na Kama jamaa anayeoa hali ndogo Basi ujue atakua anatafuta pori lake la kwenda kubonywa ndogo mkuu!!
 
wewe.ndio unajua kuwa anaowa balaa ila wanawake wa .com ni mitihan kabisa unagharimia lkn anaenda mpa jamaa kiulain
Hili swala linauma Sana ila hakuna namna maana sio mbuzi hawachungi, tusiwaze tuko wangap ila unapendwa vipi maana hili Ni balaa![emoji23]
 
Mbona hata sio ki masikhara hii, mmmmmh hebu leteni visa hot bhana, mnapangana kabisaaaa afu ndo joke joke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuweni serious
 
Afu ubaya manzi anagawa hadi ndogo na Kama jamaa anayeoa hali ndogo Basi ujue atakua anatafuta pori lake la kwenda kubonywa ndogo mkuu!!
Hawa wanawake wachache wanafanya wanawake wote waonekana hawana akili, yaani muoaji katulia na minyege yake tena kamuheshimu hataki hata tunda mpaka baada ya ndoa ila hilo li changudoa kazi ni kufukunyuliwa tu huyo jamaa sijui anaoa vipi hilo likunguru shwain kabisa. Nawewe mwamba uliyemla huyo demu subiri tu Karma is a bitch walichomfanyia huyo mwamba sio poa kabisa
 
Majuba wazee wa kimasihara mmeniponza
Shemej yangu mke wa kaka anae mdogo wake wa kike nimejaribu kuomba mzigo kaniamshia pira laana, naona imekua ipo serious sana hapa hakuna masihara tena nikifanya mchezo anaweza kumwambia dadaake
Ah ah inabid riki boy atoe angalizo kwenye hu Uzi maana umealibu kazi tayali mkuu
 
Mkuu chunga kupakwa mafuta
 
Siku huyo jamaa ako akinza kuteseka kisaikolojia...nafsi yako itakusuta sana mwamba.....huko kuliwa ndogo....huko wewe ulikoanza kula kabla ya muoaji. daah!!
 
Hiyo karma itamsaidia nini jamaa aliyeliwa mke wake?

Huyo jamaa fala huenda hata wazazi wake walipotaka kumguide kutafuta mchumba aliwakatalia kwa kigezo mtanichaguliaje halafu anaenda kuchaguliwa na mshikaji tu.

Vile vile jamaa atakuwa na ubovu kiasi kitandani ndio maana anasingizia anasubiri ndoa. Unaoa kimjini mjini halafu eti hutaki kumuonja mchumbako?

Watakapofanikisha hiyo ndoa huyo dada itakuwa ni mwendo wa kutoa mbele na nyuma daima nje ya ndoa.
 
Umemaliza kabisaaa,halafu roho imeniuma kishenzi[emoji3][emoji3]mapenzi haya myasikie kwa wenzenu tu. Nikimkuta mtu na wangu red-handed sijui itakuaje

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa mie pia nimemkataa kabisa Yani maana anakula manzi ya rafiki ake kabisa yani!???....asa urafiki gani huo!??....ushkaji mwingine ushkaji mavi tu asee[emoji20]
 
upo sahihi mkuu haina kufuli ile mwinyi alisema kama ni wali au sukar tungewacha kula kabisa lkn ipo njia panda lazima upite ima peke yako au na wenzako
Hahaahaahaha nakupa vyeo mkuu uko sahihi kabisa!!
 
kwahyo ukajiona pornstar wa nyegezi au vp
 
ulifanya kusudi maana sio bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…