Hahahaha....tako tano tu tayari
 
Hizo do mbili zenu tumezichoka nyie wanaume wa dar badiliken km hamwezi acheni hizo Mambo alaaa
 
Nakumbuka ilikua 2016. Nilikua nikielekea sumbawanga kwenye harusi ya dada angu maana mumewe ni mfipa wa huko.ilikua mara yangu ya Kwanza kuujua mji wa mbeya na swanga. Nikiwa ubungo kwenye siti ya bus mara akatokea mrembo na tiketi mkononi akitafuta siti yake ghafla akafika sehm nilipokua akaketi pembn yangu..nilimsalimia lakini hakuitikia...
Safari ilisonga binti anaperuzi mtandaoni na earphones zake masikion...kadiri muda ulivyosonga binti alianza kunywea Hadi akapandisha miguu kwenye siti na akatosha,mbwembwe za kuperuz zikaisha ndipo tulipofika sehem ya chakula binti hakushuka japo alionekana mtu mwenye njaa kwl kwl.
Mm nikaenda nikanunua mazaga nikaeud nayo garini nikamkuta amezd kuchoka,,,,aliniangalia Kwa jicho la kuomba msaada nami nikapata huruma ikabd nimwambie nimekuletea chakula japo tupooze njaa akapokea na kutoa asante ya 4G, mm nikashuka tena nikaenda kuchukua kingine tukaendelea Kula....baada ya muda nikamuona amechangamka na hatoshi tena kwenye siti ( yaan hawez weka miguu juu ya siti na akatosha) Stori zikaanza Hadi kuingia mbeya...nikamwambia mm ni mara ya Kwanza kufka mbeya naomba tukishuka nipeleke kwenye lodge nzr nipumzke maana Nina Safar bado ya swanga akakubali.tulipofka lodge nikalipa tukapata vinywaj kuondoa uchovu,nikamshukuru Kwa kunifikisha sehm nzr ya kulala nae akanishukuru Kwa ukarimu..nikampa hela ya bajaji maana ndo usafr wao mkubwa,tukabadilishana namba heeee!! Baada ya masaa 3 hv naona text yake " naomba nije kukupa kampan Kama hutojali" nikajibu " karibu,nko counter hapa bado.." kweli alikuja nikamfumua Kwa ustadi maana alikua Yuko vzr kwakwl ckutaka kuuangusha uanaume wangu kwny mkoa mpya....yule dada alinipenda Sana ila mm ckua na mapenz ya dhati kwake kutokana na namna nilivyompata. Hadi sasa ni nesi muhimbili pale ameolewa lakini nikimuhtaj lazma aje anipe tunda..
 
Umezingua dakika mbili tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bado umetuacha njia panda, eheeee baada ya kuja mama mtoto wako ilikuwaje namna ya kuchomoka kule, ulitokaje na ulijitetea kuwa ulikuwa wapi,

Kweli huu n kama ' daladala' akishuka baharia, anapanda baharia, ameshuka lugugmya amepanda msafinia.
 
Huyo ndio miongoni mwa watu walio upaisha huu uzi.. plus kiga kyoto. Na yule mzee wa demu wake wa mtwara aliyepanda meli...

Akaja acronomy...akanyambakile. lugumya...just few to mention

Hakika majina hayo yameandikwa kwa wino wa dhahabu
Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..
Ni alikuwa na matukio huyo nadhani ndiyo alikuwa anaongoza akifuatiwa na kiga..
 
Aisee nimecheka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mwanzo nilisoma shallow sana, ila hii comment yako imefanya nikamsome upya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the same to me, hiyo form 4c ndo imenifànya nikarudie kuisoma comment upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…