[emoji35][emoji35][emoji35] KUANZIA LEO HUNA KAZI MBWA WEWE, YOU HAVE BEEN FIRED
 
Tumekusamehe [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hizi ni bangi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muda mwingine huwa tunafanya ufirauni kwenye maisha, lakini kuna wakati kuna vitu vinakutokea mpaka unajiuliza mara mbili mbili kuwa ni kweli vimenitokea mimi!
Kuna kipindi licha ya kuwa wahuni tunakuwa wema pia! [emoji120][emoji120][emoji120]
Sahihi mkuu.nadhani kuna muda tunatakiwa tuzingatie utu, hasa mtu anapohitaji msaada wako kutokana na matatizo yanayomkabili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umesema hukulila
 
kuna dada huyu alikuwa anatembea maeneo ya ubungo kabla barabara hazijaharibiwa. Bwana ee yule dada akateleza si akaangukia dushe kwa bahati mbaya bila kutegemea sasa hivi analea mtoto ambaye hana baba
Hakuna mtoto ambae hana baba.
 
Bosi uisjifanye mjuaji sana basi, hebu tiririka na stori kama wenzako au piga kimya kama hujawai kula kama wanaotoa comments,
 
Kwanini hukuripot ubakaji huuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…