Mie kunasiku nilishindwa kutoa condom niliyoweka chini ya mto, sembuse kwenye begi! Thanks God nilipima niko vizuri!
 
Nakubaliana nawe [emoji817]. Mara nyingi mwanamke anakuaubiri ktk njia. Kama mwanamke hataki halifanyiki
 
Unaendana na wajina wako mandingo. Maana nae anawafukua balaa
 
Hawa wa safarin wanasave pesa ya chumba. Hawa n Malaya tu
 
Hiyo ya kwanza nishaifanya sawa na ww,na nyingine ni kutongoza kisha kugegedana na baada ya hapo nawapotezea mazima,sitaki commitment! Unexpevted sex ni tamu sana ila so risk
Hapo kwenye SO RISKY pigia mstari kabisa! Hakuna mwenye kujua background wala hali ya afya ya mwenzie......
 
Nikiwa form two nilienda gheto kwa boyfriend wangu,sikumkuta nikamkuta rafiki yake.Mvua kubwa ikaanza sijui hata ilivyokuwa nilijikuta nshatiwa.Hatukuonana tena hadi mwaka jana bada ya miaka 24,kaja chuo ni mwanafuzi wangu.
Mnh..shoga!!!. Mnaangalianaje darasani? Hajakukumbuka?
 
Mkuu ukimwi watu wanapima kila kukicha na cyo tishio sana kwa watanzania kama ilivyo AJALI,MALARIA NA MENGINEYO.
Siku ukiupata nakuahidi hutasema tena kwamba sio tishio. Unasema hivyo kwa kuwa unausikia/unauona kwa wengine tu!
 
Unavyocomment tu unasikika kabisa umeshanyegeka.....hahahahah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…