Miaka 7 sasa kazi yako ni kucommet aisee tuaisee .....
tustiriane mzee mwenzangu nishakurupuka mwenzio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu, huu uzi umekuwepo tangu 2014.
The same to you mkuuπ₯HAPPY NEW YEAR 2021
So sweet kwa sababu no condomsHellow Guyz,
Nimewahi kupata experience ya matukio mawili ambayo yalinipa maana halisi ya "UNEXPECTED SEX" . Tukio la kwanza lilitokea mwaka 2009 ambapo nilipanda basi nikielekea Tabora kwenda kumuona ndugu yangu wilayani Uyui lakini ndani ya gari nilikutana n mdada ambaye she was 25 by then.
Na baada ya stori mbili tatu tukafahamiana na tuliposhuka stend nikamwambia mi nitalala hapa town then asubuhi niende wilayani nikaamua kumjaribu kwa kumuomba tulale wote she didn't mind it at all.
Kilichofuata ilikua ni shoo ya kufa mtu ambayo I never had it before na ilipofika asubuhi tukaagana na hatukuwahi kuwasiliana tena till now.
Tukio la pili limetokea last year kipindi cha mwezi wa february;S hemeji yangu mmoja alikuja kuleta mzigo wa kaka yangu sasa cha ajabu alipoingia ndani mvua ikaanza kunyesha kwa nguvu mpaka nikaamua kufunga milango.
Baada ya hapo nikakaa na shemeji na baada ya stori mbili tatu nikaona ananiambia "shem cku hizi unaonekana mrefu",nilipomuuliza kwanini akaniambia naona kama unanizidi vile.
Ndipo tulipoaamua kupima kwa kusimama huku yeye akiwa mbele yangu na niliposhika her WAIST nikaona anavuta mikano basi ikabidi nimpe mamboz na mvua ilipoisha akaondoka and we never did it again coz it was a good sex to a wrong person.
Sasa wanajamvi naomba kupata experiences zenu katika hili.
Nani amewahi kufanya mapenzi kwa bahati mbaya? And how did it happen?
Na kuna ukweli wowote kwamba UNEXPECTED SEX NI TAMU ZAIDI KULIKO ILE INAYOKUA PLANNED?
Mamdeny ulilika usitudanganyeHii niliponea chupu chupu.
Ni mwaka 2013 mwanzoni nilikuwa naenda shamba huko mafinga nikitokea dar.
Tulipofika mahali kabla ya chalinze gari ikaharibika. Tukashuka garini kwenda kungojea waamue tutakavyosafiri.
Kukawa na waauza chai na mihogo ng'ambo ya pili ya road.
Ndo nikakutana na mwanaume mmoja. Kweli tuliongea sana. Baada ya gari kutengemaa akanihamisha siti nikakaa naye karibu na mlango wa dereva. Duuu kule garini ni kama tulikosa hata pumzi yaani was zero distance.
Mzee akasema anafanya kazi kwa pilato. Nikapata mshtuko wa kwanza nikajua huwa hawakosi pisto kiunoni hawa loooh i may die today .... ooh my God.
Tuliendelea na safari yetu. Kweli alijitahidi kuweka mazingira ya kwenda kulala wote kituo kimoja baada ya mafinga mjini. Na mimi kwa kuona kuwa pale tumeshakolea kila mmoja na hamu nilikubali. Wakati wa kula tuko beneti mmmh.
Tulipofika mafinga mjini nikambonyeza koda wa ile basi nikashuka kama naenda kukojoa na safari yangu ikaishia pale.
Hata hivyo najua that man ni mwana jf pengine anasoma hapa.
But ukweli nilijiofia maisha yangu halafu nilikuwa na some cash money nikajua sitakuwa Salama but ...
Kisa cha pili was miaka ya 90s na mjeshi mmoja mkoani mbeya............. i'll be back.
Mashine imechoka sana dah?form 2 nomaa mh puuuuuu?
Mimi siku nikikutana na wewe Mnyamwezi wangu sijui tutaiitaje hiyo? One night...It happens sana, hasa kwa wale waliokutana na one night stand, kwa Kasinde inatokea sana, watu nane anasema tuu hapa ila huko mtaani .........
Mimi siku nikikutana na wewe Mnyamwezi wangu sijui tutaiitaje hiyo? One night...
Happy New Year Mwana malunde
Thank you bestie βΊοΈI mished you so munch πππ
Feel like cheering with you......
Let us.....
Happy New Year π π the best ever π₯°
Thank you bestie βΊοΈ
Miss you too
. .Naam, Wazee was 'Hit and Run'...![emoji5]Ngoja waje wadau, najua watakuwa wengi tu. Wazee wa one night stand.
Ndiyo alicho fanya Eva kwa Adam pale bustaniniNi kweli. Na mwanaume akishategwa hachomoi yan
Haha mkuu taratibu basii....Njooni huku ule Uzi umerudi tena.
Ngoja juma p marahage aje afungue Uzi wetu.
Mtu huwezi "kufanya mapenzi" kwa bahati mbaya ila unaweza "kufanya tendo la ngono" kwa bahati mbaya.Hellow Guyz,