Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
Ban uliyopewa ilikuwa kisa nini?Eeeh...kumbe hii Bado ipo?..
Nipo mkuuNaona ushatia timu mzee mwenzangu
[emoji16][emoji16]Wanasema Mungu na mbio, karibu ila humu unaweza kujikuta wewe ndo unapewa NENO.
yani nimepiga makofi kama niko bungeni baada ya kuuona uzi huu pendwa...
.
haya wadau tuendelee kushusha mastor masiara yaliyotokea wakt uzi wetu upo likizo...
Woyoooo uzi wetu umerudiiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo mkuu
Vijana wanataka kunifukuza [emoji16]
Mkuu sumbai karibu,
Tunakuomba ukaimu ukatibu wa uzi.
Hamjafanya malipo ya rufaa nasubiri malipo yanguTumeshinda rufaa yetu[emoji122][emoji122]
Hamjafanya malipo ya rufaa nasubiri malipo yangu
[emoji16][emoji16][emoji16] go to hellHamjafanya malipo ya rufaa nasubiri malipo yangu