Ulishawahi kula tunda kimasihara?
yani nimepiga makofi kama niko bungeni baada ya kuuona uzi huu pendwa...
.
haya wadau tuendelee kushusha mastor masiara yaliyotokea wakt uzi wetu upo likizo...
 
Mwaka mupya

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
yani nimepiga makofi kama niko bungeni baada ya kuuona uzi huu pendwa...
.
haya wadau tuendelee kushusha mastor masiara yaliyotokea wakt uzi wetu upo likizo...
Woyoooo uzi wetu umerudiiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo mkuu

Vijana wanataka kunifukuza [emoji16]
Mkuu sumbai karibu,
Tunakuomba ukaimu ukatibu wa uzi.
Tumeshinda rufaa yetu[emoji122][emoji122]
Hamjafanya malipo ya rufaa nasubiri malipo yangu
 
Back
Top Bottom