Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ila mods mmekosa msimamo. Mara muufungie huu uzi mara muuachie, kwani shida nini?
 
Huu uzi una vita kubwa sana naon rikiboy amerudishwa ndo muanzisha uzi lakin kituko in uz was 2014 hafu jamaa kajiunga 2017 hahaha.....na title wameona isiwe taabu wameirudsha ya ushawahi kula tunda kimasihara sio tena ushawahi kufanya mapenzi bahati mbaya.

Ombi langu turudishieni uzi wetu wa kubeti basi jmn.
 
Ngoja niweke moja ya fasta , Ilikuwa mida ya saa tisa alasiri nimetoka kumsindikiza wife alikuwa anaelekea kwao.

Nikiwa narudi home nikakutana na mchepuko single mama, Akanikaribisha kwao , man ninaukamae kinoma Mana wife sijamgonga kitambo , itaendelea
 
Huu uzi una vita kubwa sana naon rikiboy amerudishwa ndo muanzisha uzi lakin kituko in uz was 2014 hafu jamaa kajiunga 2017 hahaha.....na title wameona isiwe taabu wameirudsha ya ushawahi kula tunda kimasihara sio tena ushawahi kufanya mapenzi bahati mbaya.

Ombi langu turudishieni uzi wetu wa kubeti basi jmn.
Kumbe umeona Hilo mkuu, huu Uzi ni wa 2020 wao wameandika 2014 halafu haukutakiwa kuunganishwa.

Kama mods mnataka kuunganisha huu Uzi BAS WEKENI TITTLE YA HUO UZI WA 2014.
 
Nahitaji mwanamke mmoja mzuri kuliko wote aje aniaminishe kuwa uzi umerudi, afu ule uzi mwingine wa kufanya mapenzi kwa bahati mbaya ulikuwa ht hauna nguvu
 
Angalia pale juu utopolo wa mods,

Uzi umewekwa jukwaani mwaka 2014, aliyeuweka ni rikiboy kajiunga JF mwaka 2017. Ni kweli Uzi umewekwa na rikiboy

Sasa mtu ajiunge JF mwaka 2017 halafu afungue Uzi mwaka 2014. Mods msituone mafala huo Uzi hautakiwi kuunganishwa.
Yaani me ndo nashangaa hapa
 
Back
Top Bottom