Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Kumbe umeona Hilo mkuu, huu Uzi ni wa 2020 wao wameandika 2014 halafu haukutakiwa kuunganishwa.Huu uzi una vita kubwa sana naon rikiboy amerudishwa ndo muanzisha uzi lakin kituko in uz was 2014 hafu jamaa kajiunga 2017 hahaha.....na title wameona isiwe taabu wameirudsha ya ushawahi kula tunda kimasihara sio tena ushawahi kufanya mapenzi bahati mbaya.
Ombi langu turudishieni uzi wetu wa kubeti basi jmn.
Mm nasubilia za kipindi cha Campaign na uchaguzi MkuuAiseee uzi umerejea, ngoja nisubirie porojo za watu kuanzia matukio ya mwaka mpya na x-mass!
Mie haijawahi kua kimzaha, ni serious tyuuuhTunasubiri yako
Nadhani soon tutarudishiwa lile Jukwaa letu pendwa la mashemasi.Hongera JamiiForums kwa kulirudisha dude hewani, vijana wamelia Sana kwa kuukosa uzi huu
Ungejua hata hizi hongera usingezitoa.Hongera JamiiForums kwa kulirudisha dude hewani, vijana wamelia Sana kwa kuukosa uzi huu