Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Day moja mwaka 2008 nilikuwa nimekaa zangu ghetto sina hili wala lile,jamaa yangu mmoja akanialika nikale bata kiwanja yeye alikuwa yupo na manzi wake,nami nikawajoin nikawakuta yeye na manzi yake tayari wako tungi,nikawajoin tukala tungi kisha jamaa akaniambia niwapeleke ghetto kwake coz nilikuwa na kamkoko fulani hivi. Basi jamaa yangu akakaa mbele na Manzi akakaa siti ya nyuma .Nukawapeleka mpaka ghetto kwa mshkaji kufika tu jamaa akfungua mlango wa mkoko akashuka huku akiniaga ,nami nikaitikia nakumuuliza maswali kadhaa ili nijue kama atamkumuka manzi wake aliyekuwa siti ya nyuma au la,kumbuka wote walikuwa tilalila,Jamaa akanijibu maswali yote huku akinisisitizia tuonane kesho yake mapema.Nikageuza gari hadi guest nikamshusha Manzi wa jamaa ambaye naye alikuwa tungi mbaya ,nikajilia mzigo kilaiiini kisha tukalala.Kimbembe asubuhi shem alivyojikuta tuko guest kama tulivyozaliwa akaiuliza ilkikuwaje shem? Nikamwambia jana ulikuwa unamkataa jamaa yako na kuning'ang'ania Mimi na haya ndio matokeo yake. Akajibu haina noma basi Mzee nikajilia changu cha asubuhi saafi kabisa ........

Naomba namba ya jamaa watu wazembe kama hao ni muhimu sana siku mkiwa mtoko hola unapita na shemela
 
Tunahama kanisa usijali [emoji16][emoji16][emoji16]

Haya mambo matamu unataka tumuachie Nani Sasa [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imejini. How jerase i am[emoji23][emoji23]
Sema hatuhami ila tutaanguka kifudifudi kuomba toba.
 
Day moja mwaka 2008 nilikuwa nimekaa zangu ghetto sina hili wala lile,jamaa yangu mmoja akanialika nikale bata kiwanja yeye alikuwa yupo na manzi wake,nami nikawajoin nikawakuta yeye na manzi yake tayari wako tungi,nikawajoin tukala tungi kisha jamaa akaniambia niwapeleke ghetto kwake coz nilikuwa na kamkoko fulani hivi. Basi jamaa yangu akakaa mbele na Manzi akakaa siti ya nyuma .Nukawapeleka mpaka ghetto kwa mshkaji kufika tu jamaa akfungua mlango wa mkoko akashuka huku akiniaga ,nami nikaitikia nakumuuliza maswali kadhaa ili nijue kama atamkumuka manzi wake aliyekuwa siti ya nyuma au la,kumbuka wote walikuwa tilalila,Jamaa akanijibu maswali yote huku akinisisitizia tuonane kesho yake mapema.Nikageuza gari hadi guest nikamshusha Manzi wa jamaa ambaye naye alikuwa tungi mbaya ,nikajilia mzigo kilaiiini kisha tukalala.Kimbembe asubuhi shem alivyojikuta tuko guest kama tulivyozaliwa akaiuliza ilkikuwaje shem? Nikamwambia jana ulikuwa unamkataa jamaa yako na kuning'ang'ania Mimi na haya ndio matokeo yake. Akajibu haina noma basi Mzee nikajilia changu cha asubuhi saafi kabisa ........
Nachokuhurumia ni aina ya moto utaochomwa nao tuu[emoji23] hata majivu hatutayaonaaa
 
Og ulifunguliwa 2020 huu ni wa 2014 , waliiufungia na ulikuwa hot saana. Umerudishwa lakini siyo ule kuna vitu vingi havipo .
Aisee. Sikunote. Ule wakati unafunguliwa nilikuwepo na nilikoment. Wameuunganisha ama? Iweje uwe 2014 wakati ni juzi tuu huu uzi uliletwa
 
Hahahahaha unajua unanichekesha sanaa yaaan daaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najaribu kujenga picha ya jinsi ulivokua unaungama "Sirudiii tena Baba. Sirudii"

Alafu shetan, amekuletea kauzi kazuuuuri kukurudisha huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah sina mbavu hapa khaaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] imagineeee. Unajua ubaya wa hii thread naweza kbs kuwa hufanyi hizi mambo ila sasa ukianza kusoma visaaa unajikuta wet ile mbayaaa halaf unaanza kuvushaa na kama ndo hivyo unaenda mtafuta jamaa mnaharibu kbs ratiba ya siku[emoji23][emoji23] yaan hizi ni hamasa za ngono.

Imagine na kesho naenda kushiriki sakrament. Unajua nimeshafikia hatua gani mpaka sasa. Nikirudi kwa paroko sindo napigwa makofi mimi na padre Riziki[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una nini lakini? Watu wanantazama nacheka km mwehu.
 
Back
Top Bottom