Naomba namba ya jamaa watu wazembe kama hao ni muhimu sana siku mkiwa mtoko hola unapita na shemela
 
Tunahama kanisa usijali [emoji16][emoji16][emoji16]

Haya mambo matamu unataka tumuachie Nani Sasa [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imejini. How jerase i am[emoji23][emoji23]
Sema hatuhami ila tutaanguka kifudifudi kuomba toba.
 
Nachokuhurumia ni aina ya moto utaochomwa nao tuu[emoji23] hata majivu hatutayaonaaa
 
Og ulifunguliwa 2020 huu ni wa 2014 , waliiufungia na ulikuwa hot saana. Umerudishwa lakini siyo ule kuna vitu vingi havipo .
Aisee. Sikunote. Ule wakati unafunguliwa nilikuwepo na nilikoment. Wameuunganisha ama? Iweje uwe 2014 wakati ni juzi tuu huu uzi uliletwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah sina mbavu hapa khaaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una nini lakini? Watu wanantazama nacheka km mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…