Mkuu ndio tuko mwezi wa kwanza hyo miez minne imetoka wap?
 
Reactions: 5ty
Nitakuja na ya kwangu wakati nipo lebanoni mwaka 2015 kipindi icho nikiwa mlinzi wa amani nilivyokula tunda kimasihara la askari wa jeshi la ufaransa....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] am kidding natania bhana utanzia wapi kula tunda kimasihara mana kila nchi wana special duty yao na muda wote mnangaliwa natania aiseee....
 
CHAI [emoji477]...Nyimbo ya BENPOL -( MOYO MASHINE) Miaka 10 iliyopita ilikuwa bado haijatoka
.
.
Pole Bruh[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh...umemwaga chai ya watu
 
Matokeo tayari mkuu,vipi katoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…