[emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi. Siwezagi kuwa na ids 2. Na hata ingewezana ningetumia kbs jina langu official. Mimi ni good story teller ila hapana sina hayo matukio ya kihalifu kihivyo kwakweli. Nilivyo na kauoga kangu? Hataaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaah
 
Nimekuvua vyeo vyote
Nisamehe bure mkuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
heheheeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imagine mtu anaelezea dhambi zake na unajisikia vizuri kama ninj wala huoni tatizo. We hujazipenda shoo? Nzuri hizooo...
Naona kama ndo kachukua kombe hivi... ujue nadra sana kukumbana na maplay girls eh? Kama niapply hivi mambo yake[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
Na hivi ni mume wa mtu ukuye alipewa night stand ila kwenye kuomba rematch akapigwa TKO moja matata akaishia kulilia tu. Watu wana roho mbaya nyieeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…