Ulishawahi kula tunda kimasihara?
[emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi. Siwezagi kuwa na ids 2. Na hata ingewezana ningetumia kbs jina langu official. Mimi ni good story teller ila hapana sina hayo matukio ya kihalifu kihivyo kwakweli. Nilivyo na kauoga kangu? Hataaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hellow Guyz,

Nimewahi kupata experience ya matukio mawili ambayo yalinipa maana halisi ya "UNEXPECTED SEX" . Tukio la kwanza lilitokea mwaka 2009 ambapo nilipanda basi nikielekea Tabora kwenda kumuona ndugu yangu wilayani Uyui lakini ndani ya gari nilikutana n mdada ambaye she was 25 by then.

Na baada ya stori mbili tatu tukafahamiana na tuliposhuka stend nikamwambia mi nitalala hapa town then asubuhi niende wilayani nikaamua kumjaribu kwa kumuomba tulale wote she didn't mind it at all.

Kilichofuata ilikua ni shoo ya kufa mtu ambayo I never had it before na ilipofika asubuhi tukaagana na hatukuwahi kuwasiliana tena till now.

Tukio la pili limetokea last year kipindi cha mwezi wa february;S hemeji yangu mmoja alikuja kuleta mzigo wa kaka yangu sasa cha ajabu alipoingia ndani mvua ikaanza kunyesha kwa nguvu mpaka nikaamua kufunga milango.

Baada ya hapo nikakaa na shemeji na baada ya stori mbili tatu nikaona ananiambia "shem cku hizi unaonekana mrefu",nilipomuuliza kwanini akaniambia naona kama unanizidi vile.

Ndipo tulipoaamua kupima kwa kusimama huku yeye akiwa mbele yangu na niliposhika her WAIST nikaona anavuta mikano basi ikabidi nimpe mamboz na mvua ilipoisha akaondoka and we never did it again coz it was a good sex to a wrong person.

Sasa wanajamvi naomba kupata experiences zenu katika hili.

Nani amewahi kufanya mapenzi kwa bahati mbaya? And how did it happen?

Na kuna ukweli wowote kwamba UNEXPECTED SEX NI TAMU ZAIDI KULIKO ILE INAYOKUA PLANNED?
Mkuu ukiona asubuhi mwanamke hajakuomba namba ujue SHOW yako haikumridhisha.
Tujitahidi kuwaridhisha na wenzetu hata kama ni kimasihara.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nipo zangu Moro town nikiendelea na mishe za hapa na pale mara simu ikataita, nikaitoa mfukoni ,nikaangalia anayenipigia ,jina linaonyesha Best. Best ni rafiki yangu wa karibu sana na mara nyingi simu zake zinahusu madili ya pesa. Baada ya kubonyeza tu alama ya kupokea ,Best akaniuliza "IGA unamtaji wa kama milioni 4 hivi nikupe dili la kudabo mtaji?" nikamjibu kwamba ninazo. Basi akaanza kunielezea kuhusu dili lenyewe, "IGA huko Moro kuna kijiji kinaitwa Mwaya kuna wazee wanauza mpunga kwa bei ya kutupa eti gunia shilingi elf40, kwa mtaji wa milioni hapo unapiga gunia 100 unazibeba kwenye fuso mpaka Ifakara hapo utazihifadhi mashineni mpaka mda soko likiwa zuri unakoboa na kuuza mchele hata kwa shilingi lak na 40 kwa gunia". Nikamwambia Best anipe mwongozo namna ya kufika kwa hao wazee huko Mwaya, Best akaniambia nimfate mshkaji wetu Piu , nimwambie anipeleke kwa mzee Jo. Piu tulimpa jina la Msomea kijiji, alitoka bush kuja town kupiga kitabu , msuli wake ulikuwa si wa kitoto, lakini mwisho wake huu mwaka wa pili sasa nae anaunga unga tu hapa Moro ili maisha yaende. Nikampigia Piu nikamwambia aje geto kwangu jioni bila kukosa, kweli jioni ile Piu akaja nikamweleza nataka kufika Mwaya kesho kwa Mzee Jo, nimepata taarifa anampunga magunia ya kutosha anauza kwa bei ya kutupa, nikamwambia dili likitiki 10% ya kwake, Piu akakubali kunipeleka kwa mzee Jo.
Kesho yake asubuhi tukawah stendi tukapanda basi la kuelekea Ilonga kupitia Mwaya. Jioni sa 11 tukashuka hapo Mwaya.Piu akaniambia ili upate ukarimu wa kupitiliza kwa mwenyeji mnunulie zawadi, biashara itanoga. Basi tukaenda dukani tukanunua Mafuta ya kula lita 5, sukari kilo 1, majani ya chai, dagaa wa elf 10 na maji safi trei 1 hapo nilitumia kama elfu 45 hivi kwa ajili ya zawadi. Tukachukua boda boda tukapanda mshkaki na mizigo yetu mpaka kwa mzee Jo. Tukamlipa boda boda buku 2 akatushushia mizigo yetu chini.
Mzee Jo alipomwona Piu akatoa tabasamu zito alafu akaja na kutukaribisha ndani, tukamsalimia yeye na mkewe na pia alikuwapo binti yake wa miaka kati ya 20-23, nae pia tukamsalimia na akatuamkia tukaitika. Piu akamwambia mzee Jo, " nimekuletea mgeni amekuletea na hizi zawadi, mgeni atajieleza zaid kilichomleta'. Kabla sijaanza kuongea Piu akanyanyuka akaaga , anaenda kuwasalimia ndugu zake ila kesho asubuhi atarudi. Mzee Jo akamwambia sawa ila kabla ya kuondoka tuchinjie Jogoo letu moja kwa ajili ya kitoweo cha mgeni usiku huu.
Nikabaki na mzee Jo, nikamweleza nahitaji magunia 100 ya mpunga nimeelekezwa kwmba nitayapata kwake, Mzee Jo akafurah sanaaa, akasema yapo na bei ni sh elf 40 tu nitakuuzia. Baada ya maelewano hayo tukatoka nje tukaelekea kwenye nyumba nyingine ndogo ambayo imetengenezwa kwa matofali ya kuchoma ila imeezekwa kwa nyasi ipo jirani na nyumba annayoishi. Tukaingia ndani tukakaa kwenye vigoda akanimbia kwa leo utalala hapa ili kesho tupakie mzigo wako, nikamshukuru nae akatoka nje. Baada ya lisaa mlango ukafunguliwa yule binti wa mzee Jo akaniletea chakula, ilikuwa wali kuku huku paja zote mbili nimewekewa mimi, akaninawisha mikono akanikaribisha alafu akatoka nje.
Nilipomaliza kula nikawa nimejiegesha tu kitandani maana anapoishi mzee Jo umeme wa REA bado haujafika ingawa nguzo tumezikuta zimelazwa njiani. Mara mlango ukawa unafunguliwa taratibu nikawasha tochi ya simu kumulika nikamuona yule binti, nikamwambia nimemaliza msosi vyombo viko pembeni hapo, akasema ameagizwa aje kulala nami ili anilinde. Nikapata na vyote , Mshtuko na mshangao kwa pamoja! nikamuulizwa ulinzi wa nini? akajibu kuna baadhi ya wenyeji wa kijijini ni wachawi wanapenda kuwachezea wageni kwa hiyo nikiwepo na mimi humu hawataingia. Basi bana nikamkubalia ulinzi wake, ila nikamuuliza tena huo ulinzi utakaa macho tu? akasema hapana, kitendo cha mie kulala tu humu ni ulinzi. Humo ndani kuna kitanda kimoja tu, tukapanda kitandani tukaanza kupiga stori za hapa na pale, baadae ukimya ukashika nafasi. Basi dakika kama 10 baada binti akalala mlalo wa kujikunja miguu, msambwanda wake ukawa unanigusa, sikuchelewa mpini ukavimba ghafla, binti kumbe alikuwa macho akaguna alafu akaniambia "pole ila usijali nitakusaidia nipo kwa ajili yako usiku huu" nikamjibu "asante kwa ofa" , sikupoteza mda, nikamfungua kanga aliokuwa amevaa nikampapasa nikagundua hajavaa kitu, binti kwa kweli mashalaah kajaaliwa na muumbaji. Tukapiga show yetu ya kimya kimya dk kama 30 hivi wote tukaridhika tukalala.
Asubuhi nikamshukuru mzee Jo kwa ulinzi alionipatia, Piu akaja na fuso tukapakia mzigo nikamlipa mzee Jo kwa njia ya mtandao, nikamwambia biashara ikienda vizuri nitarudi tena msimu ujao. Naondoka na furaha ya kumbukumbu ya show ya usiku na binti wa mzee Jo.
 
Siku moja nimepanda daladala za kwenda Bagamoyo pale makumbusho miaka kadhaaa iliyopita, nilikua naenda kwa shughuli binafsi.

Kiti nilichokaa ni upande wa dereva kiti kimoja kabla ya kiti cha mwisho kwenye daladala, nimekaa dirishani. Kidogo daladala inaelekea kujaa akaja binti akakaa siti nyingine pamoja na mimi, alivyokaa tu ni kama alijiachia, kama alikua amechoka sana.

Nikamsalimia akaitika, nikampa pole akaipokea vizuri. Kisha tukaanza safari kuelekea bagamoyo. Tukafika njiani kule mapinga tumeshakua wenyeji, story nyingi sana ila binti akaonyesha kama ana msongo wa mawazo, binti alikua anafanya kazi taasisi moja inafanya utafiti wa magonjwa ya kitropiki, inaanza na jina la wilaya moja huko Morogoro.

Baada ya kuwa marafiki, akanikaribisha kwake, tulipokaribia kufika mimi nikashuka kwanza yeye anaenda kushukia mjini. Nilipoka hotelini kwangu nikaoga, nikapumzika kidogo, akanipigia simu kama sijala niende apike tule, hapo mawazo ya kishetani yakaniijia kichwani, nikaenda shop nikachukua condom kisha nikaenda kwake.

Kufika nakuta ndio anatoka bafuni, ameshapika ananisubiri tule, so ile kufika ni kama nilimuwahi kabla hajavaa, ana kanga tu, alikua anaishi kisela, kitanda, kochi mbili na vikorokoro vingine.

Nikaingia mnyama nikakaa kwenye kochi, akaomba anyooshe nguo za kazini kesho yake kwanza kabla hatujala kwani umeme ulikua unakatika katika sana, nikamwambia nimsaidie kwani mimi ni bingwa wa kunyoonya, akakubali.

Pale alikua anayooshea kitandani, akanipisha mzee nikaingia kwenye fani, nikaipiga nguo moto mwenyewe akafurahi, nikanyoosha na nyingine za ziada, akafurahi sana.

Sasa ile nimemaliza kunyoosha nikawa nimeishikilia ile nguo yake ya kwanza(ni vazi la kitaaluma), akaja kama ananisogelea hivi, nikamvuta kama namkumbatia, akajaa mzima mzima, kumbuka hapo ana kanga tu, alikuja kujikuta kitu ishazama muda mrefu, kilio cha kufa mtu.

Baada ya gemu nzito, mtoto akawa na huzuni sana, sikuelewa ameanzaje kua na huzuni huku wakati wa gemu alikua anagugumia kwa raha, kumbe vile nimemla bila condom na bila kujua afya yangu. Akaanza kulia, akasema lazima anipime, alikua na hizi test kits nyumbani kama walivyo watu wa hiyo fani.

Baada ya majibu yangu kutoka yako poa, mtoto akanipa show nzito sana, nimetoka kwake sa 7 usiku.

Huyo ndie demu nilikula kimasihara bila kutongoza na kwa muda mfupi sana. Nitaleta wengine soon.
Huyo demu namjua anafanya Kazi Ifakara heath institute....makao makuu yako mikocheni. .dsm
 
Nipo zangu Moro town nikiendelea na mishe za hapa na pale mara simu ikataita, nikaitoa mfukoni ,nikaangalia anayenipigia ,jina linaonyesha Best. Best ni rafiki yangu wa karibu sana na mara nyingi simu zake zinahusu madili ya pesa. Baada ya kubonyeza tu alama ya kupokea ,Best akaniuliza "IGA unamtaji wa kama milioni 4 hivi nikupe dili la kudabo mtaji?" nikamjibu kwamba ninazo. Basi akaanza kunielezea kuhusu dili lenyewe, "IGA huko Moro kuna kijiji kinaitwa Mwaya kuna wazee wanauza mpunga kwa bei ya kutupa eti gunia shilingi elf40, kwa mtaji wa milioni hapo unapiga gunia 100 unazibeba kwenye fuso mpaka Ifakara hapo utazihifadhi mashineni mpaka mda soko likiwa zuri unakoboa na kuuza mchele hata kwa shilingi lak na 40 kwa gunia". Nikamwambia Best anipe mwongozo namna ya kufika kwa hao wazee huko Mwaya, Best akaniambia nimfate mshkaji wetu Piu , nimwambie anipeleke kwa mzee Jo. Piu tulimpa jina la Msomea kijiji, alitoka bush kuja town kupiga kitabu , msuli wake ulikuwa si wa kitoto, lakini mwisho wake huu mwaka wa pili sasa nae anaunga unga tu hapa Moro ili maisha yaende. Nikampigia Piu nikamwambia aje geto kwangu jioni bila kukosa, kweli jioni ile Piu akaja nikamweleza nataka kufika Mwaya kesho kwa Mzee Jo, nimepata taarifa anampunga magunia ya kutosha anauza kwa bei ya kutupa, nikamwambia dili likitiki 10% ya kwake, Piu akakubali kunipeleka kwa mzee Jo.
Kesho yake asubuhi tukawah stendi tukapanda basi la kuelekea Ilonga kupitia Mwaya. Jioni sa 11 tukashuka hapo Mwaya.Piu akaniambia ili upate ukarimu wa kupitiliza kwa mwenyeji mnunulie zawadi, biashara itanoga. Basi tukaenda dukani tukanunua Mafuta ya kula lita 5, sukari kilo 1, majani ya chai, dagaa wa elf 10 na maji safi trei 1 hapo nilitumia kama elfu 45 hivi kwa ajili ya zawadi. Tukachukua boda boda tukapanda mshkaki na mizigo yetu mpaka kwa mzee Jo. Tukamlipa boda boda buku 2 akatushushia mizigo yetu chini.
Mzee Jo alipomwona Piu akatoa tabasamu zito alafu akaja na kutukaribisha ndani, tukamsalimia yeye na mkewe na pia alikuwapo binti yake wa miaka kati ya 20-23, nae pia tukamsalimia na akatuamkia tukaitika. Piu akamwambia mzee Jo, " nimekuletea mgeni amekuletea na hizi zawadi, mgeni atajieleza zaid kilichomleta'. Kabla sijaanza kuongea Piu akanyanyuka akaaga , anaenda kuwasalimia ndugu zake ila kesho asubuhi atarudi. Mzee Jo akamwambia sawa ila kabla ya kuondoka tuchinjie Jogoo letu moja kwa ajili ya kitoweo cha mgeni usiku huu.
Nikabaki na mzee Jo, nikamweleza nahitaji magunia 100 ya mpunga nimeelekezwa kwmba nitayapata kwake, Mzee Jo akafurah sanaaa, akasema yapo na bei ni sh elf 40 tu nitakuuzia. Baada ya maelewano hayo tukatoka nje tukaelekea kwenye nyumba nyingine ndogo ambayo imetengenezwa kwa matofali ya kuchoma ila imeezekwa kwa nyasi ipo jirani na nyumba annayoishi. Tukaingia ndani tukakaa kwenye vigoda akanimbia kwa leo utalala hapa ili kesho tupakie mzigo wako, nikamshukuru nae akatoka nje. Baada ya lisaa mlango ukafunguliwa yule binti wa mzee Jo akaniletea chakula, ilikuwa wali kuku huku paja zote mbili nimewekewa mimi, akaninawisha mikono akanikaribisha alafu akatoka nje.
Nilipomaliza kula nikawa nimejiegesha tu kitandani maana anapoishi mzee Jo umeme wa REA bado haujafika ingawa nguzo tumezikuta zimelazwa njiani. Mara mlango ukawa unafunguliwa taratibu nikawasha tochi ya simu kumulika nikamuona yule binti, nikamwambia nimemaliza msosi vyombo viko pembeni hapo, akasema ameagizwa aje kulala nami ili anilinde. Nikapata na vyote , Mshtuko na mshangao kwa pamoja! nikamuulizwa ulinzi wa nini? akajibu kuna baadhi ya wenyeji wa kijijini ni wachawi wanapenda kuwachezea wageni kwa hiyo nikiwepo na mimi humu hawataingia. Basi bana nikamkubalia ulinzi wake, ila nikamuuliza tena huo ulinzi utakaa macho tu? akasema hapana, kitendo cha mie kulala tu humu ni ulinzi. Humo ndani kuna kitanda kimoja tu, tukapanda kitandani tukaanza kupiga stori za hapa na pale, baadae ukimya ukashika nafasi. Basi dakika kama 10 baada binti akalala mlalo wa kujikunja miguu, msambwanda wake ukawa unanigusa, sikuchelewa mpini ukavimba ghafla, binti kumbe alikuwa macho akaguna alafu akaniambia "pole ila usijali nitakusaidia nipo kwa ajili yako usiku huu" nikamjibu "asante kwa ofa" , sikupoteza mda, nikamfungua kanga aliokuwa amevaa nikampapasa nikagundua hajavaa kitu, binti kwa kweli mashalaah kajaaliwa na muumbaji. Tukapiga show yetu ya kimya kimya dk kama 30 hivi wote tukaridhika tukalala.
Asubuhi nikamshukuru mzee Jo kwa ulinzi alionipatia, Piu akaja na fuso tukapakia mzigo nikamlipa mzee Jo kwa njia ya mtandao, nikamwambia biashara ikienda vizuri nitarudi tena msimu ujao. Naondoka na furaha ya kumbukumbu ya show ya usiku na binti wa mzee Jo.
Mkuu mpunga unaweza kushuka zaidi mwaka huu kulingana na mvua zinavyonyesha.
 
Kuna Mpumbafu mmoja humu anakomalia watu kuwa wana Id mbili mbili, kama wanazo si zao wewe zinakuhusu nini? Acha ushoga mbwa we. Unataka kusoma soma, hutaki piga bunda. Hao unaowakomalia hivyo umewaona kuwa ni watakatifu hawafai kungonoka!?
Halafu huyu jamaa alivyo kuwa msengerema sasa analazimisha kabisa utafikiri wake zake anasema anavyojisikia, hivi akizijua hizo id zitamsaidia nini? Au ili awatangoze kashindwa kuwatongoza hawa anawaona live anataka zilizojificha kichakani, tuko hapa kusoma vimatukio kama basi kama ana interest nyinge asifanye watu wakose uhuru wakujielezea
 
Nipo zangu Moro town nikiendelea na mishe za hapa na pale mara simu ikataita, nikaitoa mfukoni ,nikaangalia anayenipigia ,jina linaonyesha Best. Best ni rafiki yangu wa karibu sana na mara nyingi simu zake zinahusu madili ya pesa. Baada ya kubonyeza tu alama ya kupokea ,Best akaniuliza "IGA unamtaji wa kama milioni 4 hivi nikupe dili la kudabo mtaji?" nikamjibu kwamba ninazo. Basi akaanza kunielezea kuhusu dili lenyewe, "IGA huko Moro kuna kijiji kinaitwa Mwaya kuna wazee wanauza mpunga kwa bei ya kutupa eti gunia shilingi elf40, kwa mtaji wa milioni hapo unapiga gunia 100 unazibeba kwenye fuso mpaka Ifakara hapo utazihifadhi mashineni mpaka mda soko likiwa zuri unakoboa na kuuza mchele hata kwa shilingi lak na 40 kwa gunia". Nikamwambia Best anipe mwongozo namna ya kufika kwa hao wazee huko Mwaya, Best akaniambia nimfate mshkaji wetu Piu , nimwambie anipeleke kwa mzee Jo. Piu tulimpa jina la Msomea kijiji, alitoka bush kuja town kupiga kitabu , msuli wake ulikuwa si wa kitoto, lakini mwisho wake huu mwaka wa pili sasa nae anaunga unga tu hapa Moro ili maisha yaende. Nikampigia Piu nikamwambia aje geto kwangu jioni bila kukosa, kweli jioni ile Piu akaja nikamweleza nataka kufika Mwaya kesho kwa Mzee Jo, nimepata taarifa anampunga magunia ya kutosha anauza kwa bei ya kutupa, nikamwambia dili likitiki 10% ya kwake, Piu akakubali kunipeleka kwa mzee Jo.
Kesho yake asubuhi tukawah stendi tukapanda basi la kuelekea Ilonga kupitia Mwaya. Jioni sa 11 tukashuka hapo Mwaya.Piu akaniambia ili upate ukarimu wa kupitiliza kwa mwenyeji mnunulie zawadi, biashara itanoga. Basi tukaenda dukani tukanunua Mafuta ya kula lita 5, sukari kilo 1, majani ya chai, dagaa wa elf 10 na maji safi trei 1 hapo nilitumia kama elfu 45 hivi kwa ajili ya zawadi. Tukachukua boda boda tukapanda mshkaki na mizigo yetu mpaka kwa mzee Jo. Tukamlipa boda boda buku 2 akatushushia mizigo yetu chini.
Mzee Jo alipomwona Piu akatoa tabasamu zito alafu akaja na kutukaribisha ndani, tukamsalimia yeye na mkewe na pia alikuwapo binti yake wa miaka kati ya 20-23, nae pia tukamsalimia na akatuamkia tukaitika. Piu akamwambia mzee Jo, " nimekuletea mgeni amekuletea na hizi zawadi, mgeni atajieleza zaid kilichomleta'. Kabla sijaanza kuongea Piu akanyanyuka akaaga , anaenda kuwasalimia ndugu zake ila kesho asubuhi atarudi. Mzee Jo akamwambia sawa ila kabla ya kuondoka tuchinjie Jogoo letu moja kwa ajili ya kitoweo cha mgeni usiku huu.
Nikabaki na mzee Jo, nikamweleza nahitaji magunia 100 ya mpunga nimeelekezwa kwmba nitayapata kwake, Mzee Jo akafurah sanaaa, akasema yapo na bei ni sh elf 40 tu nitakuuzia. Baada ya maelewano hayo tukatoka nje tukaelekea kwenye nyumba nyingine ndogo ambayo imetengenezwa kwa matofali ya kuchoma ila imeezekwa kwa nyasi ipo jirani na nyumba annayoishi. Tukaingia ndani tukakaa kwenye vigoda akanimbia kwa leo utalala hapa ili kesho tupakie mzigo wako, nikamshukuru nae akatoka nje. Baada ya lisaa mlango ukafunguliwa yule binti wa mzee Jo akaniletea chakula, ilikuwa wali kuku huku paja zote mbili nimewekewa mimi, akaninawisha mikono akanikaribisha alafu akatoka nje.
Nilipomaliza kula nikawa nimejiegesha tu kitandani maana anapoishi mzee Jo umeme wa REA bado haujafika ingawa nguzo tumezikuta zimelazwa njiani. Mara mlango ukawa unafunguliwa taratibu nikawasha tochi ya simu kumulika nikamuona yule binti, nikamwambia nimemaliza msosi vyombo viko pembeni hapo, akasema ameagizwa aje kulala nami ili anilinde. Nikapata na vyote , Mshtuko na mshangao kwa pamoja! nikamuulizwa ulinzi wa nini? akajibu kuna baadhi ya wenyeji wa kijijini ni wachawi wanapenda kuwachezea wageni kwa hiyo nikiwepo na mimi humu hawataingia. Basi bana nikamkubalia ulinzi wake, ila nikamuuliza tena huo ulinzi utakaa macho tu? akasema hapana, kitendo cha mie kulala tu humu ni ulinzi. Humo ndani kuna kitanda kimoja tu, tukapanda kitandani tukaanza kupiga stori za hapa na pale, baadae ukimya ukashika nafasi. Basi dakika kama 10 baada binti akalala mlalo wa kujikunja miguu, msambwanda wake ukawa unanigusa, sikuchelewa mpini ukavimba ghafla, binti kumbe alikuwa macho akaguna alafu akaniambia "pole ila usijali nitakusaidia nipo kwa ajili yako usiku huu" nikamjibu "asante kwa ofa" , sikupoteza mda, nikamfungua kanga aliokuwa amevaa nikampapasa nikagundua hajavaa kitu, binti kwa kweli mashalaah kajaaliwa na muumbaji. Tukapiga show yetu ya kimya kimya dk kama 30 hivi wote tukaridhika tukalala.
Asubuhi nikamshukuru mzee Jo kwa ulinzi alionipatia, Piu akaja na fuso tukapakia mzigo nikamlipa mzee Jo kwa njia ya mtandao, nikamwambia biashara ikienda vizuri nitarudi tena msimu ujao. Naondoka na furaha ya kumbukumbu ya show ya usiku na binti wa mzee Jo.
Mkuu hapo wewe ndo uliliwa kimasihara.. Ulinzi kama ulinzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unafikiri i am a virgin ama? We vipi? Sema na mtu unayempenda kwani ni kimasikhara jamani? Hakunaga cha kimasikhara yaani. Sema inakua mazingira si rafiki[emoji23][emoji23] hiyo ndo uniqueness. Excitement yake balaaa. Unataman ijirudie tena tena na tena ila ndo haiwezekaniki.
Ahahaha sio na mtu unayempenda, bali ni mtu ambaye pengine ndio mnafahamiana au hamna mazoea kivile
 
Back
Top Bottom