Mzee kuna changamoto za kupumua siku hizi, tulia kdgo
 
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashukuru yalikuwa moj ya mapito tu na kwasasa maisha yanendelea kitaa
 
Ct 200 alikuwa anafundisha dr koda??
Yule mwenye kitambi flani chakipekeee.....


Ahahaha mzzeee huyo manzi alikuwa kiazi sana
Yap mkuu, mnene mfupi na maranyingi tulikuwa tunaenda somea kule SoED. Kabla hawajahamishia ofizi zao mpya za yombo cafeteria kwa juu.
 
Sasa huyo "mwanangu" wako akisoma hapa si atajua kila kitu? Au ni mlugaluga tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…