Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
😅😅😅Bonny Bonny..ukikubali kuona ushuhuda basi ujue kunena kwa lugha hakikisha mbali 😎😎Ntaomba nije kuona live huu ushuhuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Bonny Bonny..ukikubali kuona ushuhuda basi ujue kunena kwa lugha hakikisha mbali 😎😎Ntaomba nije kuona live huu ushuhuda
Mzee kuna changamoto za kupumua siku hizi, tulia kdgoSI YA KUSAHAU!
Katika weekend moja ya Dec 2020, napata mualiko kutoka kwa mchizi wangu sana akinitaka nifike maeneo ya MiCASA iliyopo karibu na Mabibo hostel, kwa ajili ya utambulisho wa shemeji yangu mpya.
Sikuona tabu kwa kuwa ni mwanangu sana tangu tupo O-level, hivyo ilipofika mishale ya saa 3 za usiku nikawa tayari nipo ndani ya jumba hilo la starehe.
Nikatambulishwa vizuri kwa shemeji yangu, mdau akanambia kuwa demu ni mwanachuo pale UDSM that’s why tumekuja karibu na maeneo yake kumuondoa wasiwasi. Nikasema sio mbaya, starehe zikaendelea kwa vinywaji, mziki n.k.
Kikawaida mimi sio mnywaji sana, just ni social drinker.. nikawa nakunywa ili kuweka kichwa sawa, nikaanza kutembeza LTE zangu kadhaa huku demu akiwa na vichupa vichache vya Savanna.
Mwanangu mimi ndio komba sasa, yaani alikunywa mpaka akawa tilalila!
Muda ulikuwa umeenda sana, ikabidi tufanye mazingira ya kwenda kupumzika. Bahati nzuri mdau wangu alikuja na gari, akaniomba nimpeleke mpaka kwenye dambwe la kupumzika yeye na manzi yake sababu asingeweza kuendesha na ile hali.
Tukafika mpaka kwenye lodge moja hivi maeneo ya Riverside, nikahakikisha wameingia ndani kisha nikamuaga mdau kuwa narudi mtaani kwangu. Jamaa ikabidi anizuie, akaniomba kwa ule usiku nichukue chumba pale pale nipumzike mpaka kesho then atanifikisha kitaa, maana kwa usiku lolote linaweza kutokea.
Ukawa ni ushauri mzuri kwangu, nikachukua room na wenzangu wakachukua ya kwao.
Baada ya kama nusu saa hivi, nasikia mlango ukigongwa. Nikahisi ni wahudumu wa mule ndani.
Nafungua mlango, nakutana na sura ya shemeji yangu.. [emoji15]
Akaingia ndani haraka! Ikabidi nifunge mlango nimuulize “Imekuaje tena?”
Nilihisi huenda kuna tatizo limetokea, huenda mdau kashaanguka n.k.
Namuona demu karelax hana presha. Akanambia:
“Mbona rafiki yako kalala tena! Yuko fo fo fo, hatujafanya chochote mpaka muda huu!”
Yaani demu alikuwa tayari kajiandaa kwa show siku ile.
Nikakaa kimya kwa muda.. wakati demu akiwa anaketi kitandani. Ikabidi nimuulize:
“Kwahiyo tunafanyaje sasa?”
Demu hakusema kitu, akawa ananiangalia kwa jicho la wizi huku nikimuona kama anataka kuanza kupunguza nguo zake za mwilini.
Ghafla akasimama halafu akawa kama mtu aliebadili maamuzi. Akafungua mlango na kutoka nje!
Dah!! Nikaanza kujishangaa na kujiuliza, hivi namuachaje huyu kiumbe na kaingia mwenyewe machinjioni? Tamaa ilishaanza kuniingia, bila ya kujali kama ni demu wa mshkaji wangu.
Punde naona mlango ukifunguliwa tena, demu anarudi tena akiwa na handbag yake pamoja na baadhi ya nguo alizoshika mkononi.
Nikawaza tu kwamba hii ni rasmi sasa, kaja kuweka kambi kwenye room yangu.
Baada ya kutua mizigo yake akapanda kitandani.. kiukweli wakati huo sikujiuliza mara mbili..
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Baada ya show, demu akapumzika kifuani huku akipitisha vidole vyake taratibu. Ukimya ukapita kwa muda, kisha story zikaanza ili kujuana vizuri.
Usingizi ukanipitia, nakuja kushtuka asubuhi. Naangalia pembeni demu hayupo.
Nakuta ujumbe kwenye karatasi chini ya simu yangu ukisema:
“TELL HIM NOTHING. Call if you want 06********”
Nikaelewa kwanini alihamia na nguo zake usiku ule. Alitaka iwe rahisi kwake akiwa anaondoka asubuhi. Pia hakutaka mchizi wangu ajue chochote kuhusu kilichotokea!
Nikaenda kumgongea jamaa, akatoka, ndo ananieleza kuwa amelala usingizi mzito mno, na hajakumbuka chochote mpaka asubuhi na anaamka demu hayupo. Lakini hakuna kilichochukuliwa!
Mimi nikawa najifanya kushangaa tu, kama sijui kilichotokea.
Ngoja nikatishe story..
Ila baadae nilimcheki, tukaendelea kuwasiliana. Nikaja kurudia show nyengine siku ya Boxing Day na mpaka sasa tunaendelea na mahusiano!
KAMA UTANI HIVI..[emoji16]
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]kuna manzi nilikua nakaaa nae nyumba moja miaka kama 6 iliyopita.
alikua ni pini kweli kiukweli nilikua namtamani jinsi ya kumuingia ulikua mtihani....ofcourse tulikua watu wa kusalimiana basi kila mtu na mishe zake...kulikua kuna group la WhatsApp wapangaji wote tulikua mule...nakumbuka kulikua na kikao cha wapangaji siku moja nikatoa udhuru kwenye group kwamba sitaweza kufika naumwa....
yule demu akanifuata inbox kwamba naumwa nn..nikamjibu naona aibu hata kukuambia naumwa ugonjwa ambao hata kuuelezea mtihani akanifosi sana nimwambie(kiukweli sikua naumwa kitu nilikua nazngua tu).
.
ikabd nimwambie nna mwezi uume wangu hausimami hata nifanyaje(nilitunga ugonjwa ili kumzngua) demu akaenda hewani ile napokea nikawa kama nalia...nalalamika sijui nimekumbwa na nini bla bla kibao demu akawa ananionea huruma sana....akasema anatamani anisaidie ila hajui afanyaje akanishauri hospital nikamwambia nimeenda sana lakini hakuna mafanikio....
Story story pale akasema akitoka job atakuja kunichek kwangu heeeee ushetani ukanivamia rasmi nikawa nawaza jinsi ya kumkula...kweli alivyotoka job akaja mpaka gheto.kwangu ilikua usiku kama saa2...ndugu nilijifunika blanketi natetemeka uongo uongo mixer machoz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......daaaah nguvu ya papuchi ni kubwa
basi alinionea sana huruma sana akasema hana jinsi ya kufanya...nikamuomba kitu na yy akakubali kitu bila kujiuliza mara mbili...nikamwambia naomba uishike huenda leo itajitahd kufuction..basi akachukua mkono wake wa kulia akawa anagusa gusa bwana mnaraa huooo kama umeme umerudi....alishtuka na mimi nikajifanya kustuka na kufurahi sana...nikamuomba aendelee kushika huku na yy namshika basi picha linaisha akaliwa kimasihara na mimi mgonjwa...
baada ya kumaliza anauliza ulikua serious au ulikua na mbinu zako huku nalia nikamwambia mama milikua serious na ww ndio umeniokoa..
..sijui kama aliamini
ila picha liliisha hivyo.....
NADHANI HAYA NI MASIHARA
AU NYIE MNASEMAJE NDUGU ZANGU
Nashukuru yalikuwa moj ya mapito tu na kwasasa maisha yanendelea kitaaPole sana mkuu mademu Wa chuo wanakuagalia kozi gani unasoma. Mara huyu ni mwalimu kama mie so tukigoma wote familia haili.
Kuna demu Wa udbs alitokewaga na jamaa Wa education. Yule demu kuuliza kozi akajibiwa kuwa huko kote huko ulikotoka hujawaona walimu wenzako.
Hawajui kuwa maisha ya mtaani sio kuwa ni kozi gani ulisoma.
Hawaoni kuwa nchi saivi inaongozwa na walimu ile top layer.
Kuna wabunge walimu akina mwalimu Marwa Ryoba Wa Serengeti miaka ivyo.
Wao wanakupigia maisha yako kulingana na kozi yako na hauna mahusiano yoyote.
Nashukuru MIE sikupataga fedhaha hizo tulikuqa huku bondeni kwa washika spana.
Pole sana baharia kwa hiyo hali kikubwa pigana ili siku akikutana naweza akukute huko kwa Gari LA $200k mpaka aduwae mwenyewe.
Mie nikipataga hizo fedhaha kwangu ni energy ama kama catalyst.
Nina ushuhuda Wa hapa mtaani kuna walimu wamemeki maisha kuliko waliosoma makozi ya kuheshimiwa kama udaktari
Yap mkuu, mnene mfupi na maranyingi tulikuwa tunaenda somea kule SoED. Kabla hawajahamishia ofizi zao mpya za yombo cafeteria kwa juu.Ct 200 alikuwa anafundisha dr koda??
Yule mwenye kitambi flani chakipekeee.....
Ahahaha mzzeee huyo manzi alikuwa kiazi sana
Sure wafute huuu uchafuunajikuta keki sana hadi unaadithia kwenye uzi wako peke yako.
mods futeni huu uzi.
au mnasemaje wakulungwa?
Sasa huyo "mwanangu" wako akisoma hapa si atajua kila kitu? Au ni mlugaluga tuu?SI YA KUSAHAU!
Katika weekend moja ya Dec 2020, napata mualiko kutoka kwa mchizi wangu sana akinitaka nifike maeneo ya MiCASA iliyopo karibu na Mabibo hostel, kwa ajili ya utambulisho wa shemeji yangu mpya.
Sikuona tabu kwa kuwa ni mwanangu sana tangu tupo O-level, hivyo ilipofika mishale ya saa 3 za usiku nikawa tayari nipo ndani ya jumba hilo la starehe.
Nikatambulishwa vizuri kwa shemeji yangu, mdau akanambia kuwa demu ni mwanachuo pale UDSM that’s why tumekuja karibu na maeneo yake kumuondoa wasiwasi. Nikasema sio mbaya, starehe zikaendelea kwa vinywaji, mziki n.k.
Kikawaida mimi sio mnywaji sana, just ni social drinker.. nikawa nakunywa ili kuweka kichwa sawa, nikaanza kutembeza LTE zangu kadhaa huku demu akiwa na vichupa vichache vya Savanna.
Mwanangu mimi ndio komba sasa, yaani alikunywa mpaka akawa tilalila!
Muda ulikuwa umeenda sana, ikabidi tufanye mazingira ya kwenda kupumzika. Bahati nzuri mdau wangu alikuja na gari, akaniomba nimpeleke mpaka kwenye dambwe la kupumzika yeye na manzi yake sababu asingeweza kuendesha na ile hali.
Tukafika mpaka kwenye lodge moja hivi maeneo ya Riverside, nikahakikisha wameingia ndani kisha nikamuaga mdau kuwa narudi mtaani kwangu. Jamaa ikabidi anizuie, akaniomba kwa ule usiku nichukue chumba pale pale nipumzike mpaka kesho then atanifikisha kitaa, maana kwa usiku lolote linaweza kutokea.
Ukawa ni ushauri mzuri kwangu, nikachukua room na wenzangu wakachukua ya kwao.
Baada ya kama nusu saa hivi, nasikia mlango ukigongwa. Nikahisi ni wahudumu wa mule ndani.
Nafungua mlango, nakutana na sura ya shemeji yangu.. [emoji15]
Akaingia ndani haraka! Ikabidi nifunge mlango nimuulize “Imekuaje tena?”
Nilihisi huenda kuna tatizo limetokea, huenda mdau kashaanguka n.k.
Namuona demu karelax hana presha. Akanambia:
“Mbona rafiki yako kalala tena! Yuko fo fo fo, hatujafanya chochote mpaka muda huu!”
Yaani demu alikuwa tayari kajiandaa kwa show siku ile.
Nikakaa kimya kwa muda.. wakati demu akiwa anaketi kitandani. Ikabidi nimuulize:
“Kwahiyo tunafanyaje sasa?”
Demu hakusema kitu, akawa ananiangalia kwa jicho la wizi huku nikimuona kama anataka kuanza kupunguza nguo zake za mwilini.
Ghafla akasimama halafu akawa kama mtu aliebadili maamuzi. Akafungua mlango na kutoka nje!
Dah!! Nikaanza kujishangaa na kujiuliza, hivi namuachaje huyu kiumbe na kaingia mwenyewe machinjioni? Tamaa ilishaanza kuniingia, bila ya kujali kama ni demu wa mshkaji wangu.
Punde naona mlango ukifunguliwa tena, demu anarudi tena akiwa na handbag yake pamoja na baadhi ya nguo alizoshika mkononi.
Nikawaza tu kwamba hii ni rasmi sasa, kaja kuweka kambi kwenye room yangu.
Baada ya kutua mizigo yake akapanda kitandani.. kiukweli wakati huo sikujiuliza mara mbili..
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Baada ya show, demu akapumzika kifuani huku akipitisha vidole vyake taratibu. Ukimya ukapita kwa muda, kisha story zikaanza ili kujuana vizuri.
Usingizi ukanipitia, nakuja kushtuka asubuhi. Naangalia pembeni demu hayupo.
Nakuta ujumbe kwenye karatasi chini ya simu yangu ukisema:
“TELL HIM NOTHING. Call if you want 06********”
Nikaelewa kwanini alihamia na nguo zake usiku ule. Alitaka iwe rahisi kwake akiwa anaondoka asubuhi. Pia hakutaka mchizi wangu ajue chochote kuhusu kilichotokea!
Nikaenda kumgongea jamaa, akatoka, ndo ananieleza kuwa amelala usingizi mzito mno, na hajakumbuka chochote mpaka asubuhi na anaamka demu hayupo. Lakini hakuna kilichochukuliwa!
Mimi nikawa najifanya kushangaa tu, kama sijui kilichotokea.
Ngoja nikatishe story..
Ila baadae nilimcheki, tukaendelea kuwasiliana. Nikaja kurudia show nyengine siku ya Boxing Day na mpaka sasa tunaendelea na mahusiano!
KAMA UTANI HIVI..[emoji16]
Mie nikishalewa tu...naliwa tunda kimasihara, hasa cuca na burudani au kitoko.JF Legend weka story tako basi!
Mie nikishalewa tu...naliwa tunda kimasihara, hasa cuca na burudani au kitoko.
Huyo profile ni wewe?Waaoh😀 tupia kisa kimoko basiii
Mie nikishalewa tu...naliwa tunda kimasihara, hasa cuca na burudani au kitoko.
Huyo profile ni wewe au google?
Huyo profile ni wewe?
Ni mimi
Unavutia.... 👄Yes Madam