kama MTU anaweza meza pep na ikamsaidia asipate ukimwi bas hata dawa ya ukimwi IPO sema tu hawataki kuiexpose ...,...jah protect us from this dangerous disease
Kupima pima nako sio kuzuri.Sio za kuziamini 100%
Mshikaji wangu yeye mtu wa lab aliniambia juzi katika stori hizi za PEP kuwa kuna rafiki yake wa kike aliwahi jichoma na sindano iliyokuwa imewekwa bahati mbaya kwenye taka ambazo sio hatarishi...yule demu akaona sio kesi akapima akakutwa negative akaanza PEP mpaka akamaliza baada ya mwezi kupima hola,mwez wa pili kupima hana ila ulipofika mwezi wa 4 tangu tukio kupima positive sasa haijajulikan imekuaje yule dada aliacha kazi kabisa.
huwenda hakuzitumia kikamilifu huwenda aliacha dozi au aliruka masaa kumeza?Sio za kuziamini 100%
Mshikaji wangu yeye mtu wa lab aliniambia juzi katika stori hizi za PEP kuwa kuna rafiki yake wa kike aliwahi jichoma na sindano iliyokuwa imewekwa bahati mbaya kwenye taka ambazo sio hatarishi...yule demu akaona sio kesi akapima akakutwa negative akaanza PEP mpaka akamaliza baada ya mwezi kupima hola,mwez wa pili kupima hana ila ulipofika mwezi wa 4 tangu tukio kupima positive sasa haijajulikan imekuaje yule dada aliacha kazi kabisa.
Stori ikaishaje au upo nae hadi leo?
Niliwahi kumeza kama wiki hv wife akazibamba mtiti wake si wa nchi hiihuwenda hakuzitumia kikamilifu huwenda aliacha dozi au aliruka masaa kumeza?
huwenda hakuzitumia kikamilifu huwenda aliacha dozi au aliruka masaa kumeza?
Nyie naona mmekosa stori tu,Yn stori zote karibu 90% ni mazingira ya kawaida kabisa ya kula mzigo...
Ishu kama kukutana na demu kwny bus, chuo , kazini ,sijui kupanga nyumba moja afu ukala huko sio kula kimasihara kabisa coz mazingira yana ruhusu...
Hzo ulizotaja ndio masihara sasa
Hilo lipo wazi,hakuna mwanamke wa peke ako nilishajiandaa kisaikolojia tangu 2013,i don't expect much to womenJiandae na wewe mke wako ataliwa biriani kimasihara tu
Amenishangaza sana huyo jamaa aiseeeeNdugu inaelekea umesoma Vyuo vya utalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili swali duuh
Kuna demu kataka tucheze hii nyimbo nikiwa juu yakeOtimbiiii na otimbilioo...!! Juzi ilibaki kidogoo tu
niliteleza tu kama nyoka pangoni,kesho yake akasema nimpe pesa ya matumizi arudi chuo nikamwambia nitamtumia sikujiandaa kwa hilo suala kanishtukiza,akasepa,kufika chuo kila saa oooh nitumie basi,nikapiga kimya,akaanza ooooh ndo maana nimekuambukiza ukimwi,nikajua biti tu,nikamwambia na mm ninao kitambo tu,itakuwa tumebadilishana virusi,nikakazia hilo suala na kujidai nipo serious kabisaaaaa,aaaah baadae akaanza oooh natunza sms zako,kama umeniambukiza kweli nakushtaki,nikajua ilikuwa danganya toto tu hakuna cha nn wala nn,BADOO oyeeeee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🥴🥴ulikumbuka mpira au uliteleza tu kama nyoka pangoni?
Ina maana hujui sup inakuaje kuaje au unataka kuchangasha gengeHivi inakuwaje mtu unapata sup?
Rahisi tu wewe ungemwambia mimi siyo doctor ila nimeambiwa hii dawa'ni mult purpose.Niliwahi kumeza kama wiki hv wife akazibamba mtiti wake si wa nchi hii
Nilipiga chini mkuu japo lile li msambwanda nalikumbuka sana alikua na tako zuri kama wema sepenga si unajua pini za karatu mkuuAlafu ukamuoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha haaaaa,tuna chat,nikim text anajibu,ikifika suala la kuja anasema we bahiri siji,tuma kwanza ile ndo nije tena,kanataka 30,najua nikituma hakaji tena kale 😀 😀Uliweza kuja kumbandua tena au ikaisha hivyo