feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Sio za kuziamini 100%
Mshikaji wangu yeye mtu wa lab aliniambia juzi katika stori hizi za PEP kuwa kuna rafiki yake wa kike aliwahi jichoma na sindano iliyokuwa imewekwa bahati mbaya kwenye taka ambazo sio hatarishi...yule demu akaona sio kesi akapima akakutwa negative akaanza PEP mpaka akamaliza baada ya mwezi kupima hola,mwez wa pili kupima hana ila ulipofika mwezi wa 4 tangu tukio kupima positive sasa haijajulikan imekuaje yule dada aliacha kazi kabisa.

kama MTU anaweza meza pep na ikamsaidia asipate ukimwi bas hata dawa ya ukimwi IPO sema tu hawataki kuiexpose ...,...jah protect us from this dangerous disease