Wenye uzi wao wamekuja sasa. Una bahati ndugu
 
Tutafanya utalii wa ndani maana sio kwa usimuliaji huo!!? [emoji847][emoji108][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duh hatari hii...!
 
Au alikosea ndugu zangu?
 
Umeshalipia Tangazo???
 
Eti kaka asiyekula biskuti
Sijasoma sehemu yoyote ile kama ulivaa condom
[emoji1]
 
Ivi vijana mnafikilia ata kujenga viwanda
Huwezi waza kujenga viwanda wakati mfumo wa elimu ni mbovu na huwezi waza kujenga viwanda wakati kilimo kipo wodini!!

Kuanza kuwaza viwanda wakati kilimo hakija simama ni kiherehere cha wanasiasa..

Sasa kufikiria viwanda bila kilimo na bila elimu ni kupoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…