Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Miaka kadhaa nilipata mwaliko wa kushiriki katika safari kuelekea kwenye mbuga za taifa Mikumi na Ruaha . Baaada ya kukamilisha malipo hatimaye siku ya safari ikafika. Safari ilihusisha watu niliokuwa nawafahamu na wengine sikuwa nawafahamu.

Nilifika mahali pa kukutania na kukuta gari aina ya Coaster ikiwa tayari imepakia baadhi ya watu, nami nikapanda na kukaa katika siti za watu wawili. Baada ya muda akaja dada mmoja, akaweka begi kasha akauliza kama hiyo siti ina mtu, bila hiyana nikamwambia haina mtu.

Safari ilianza na tulipofika Mbezi watu wakaomba tununue baadhi ya mahitaji pale kama soda na maji pamoja na bites. Watu wakashuka pamoja na huyu dada ambaye mpaka kufikia wakati huo tulikuwa tumekaa kimya huku akiwa bize na tablet yake. Aliporudi akanipatia biskuti, nikashukuru kwa kumwambia kuwa situmii biskuti, binti alitabasamu kisha akatoa karanga zile za mayai na kunipatia, kisha akaniambia usile nyingi sana zitakuletea matatizo njiani. Wote tukacheka kisha ukimya ukaendelea huku nikitafakari. Kabla ya kufika chalinze tukaingia restaurant fulani kwa ajili ya watu kupata huduma ya maliwato lakini pia kwa ajili ya kula wa wenye njaa.

Hapa akaniambia inabidi tushuke ili tukaangalie chakula, kengele ya gharama ikawa imepiga. Baada ya kupata huduma za maliwato, nikamkuta ananisubiri tukaingia restaurant na kununua chakula, hapa ilibidi nilipe chakula yeye akalipia soda, maji na wine. Muda huu sasa stori za hapa na pale zikaanza. Nilifungua kinywaji changu na kuanza kunywa, binti akasema yeye hajawahi kunywa hicho kinywaji, hata kabla sijatoa neno akachukua na kuonja, nikamtania umekunywa udenda wangu, akabaki anacheka.

Tuliingia Moro usiku na jamaa wanaopenda starehe wakashauri twende Star Park Bar and Night Club, hiyo siku watu walikuwa wengi sana na palikuwa pamechangamka sana. Binti akaniambia yeye amechoka hivyo anataka kwenda kulala, booking ilifanyika kwenye lodge jirani kabisa zilizopo karibu na star park. Basi nikawa gentleman nikamsindikiza mpaka lodge, nikataka niishie mapokezi, dada akanifanyia ishara kwa mkono kuwa twende wote chumbani kwake. Nikamfuata , kuingia room tukabaki kimya, dada akaniambia sasa naweza kwenda, nikamwambia asante sana kwa kunikaribisha chumbani kwake, binti akajibu kwa kiingereza ‘’feel free anytime’’ kwamba ‘’jisikie huru wakati wowote’’ nami nikamkumbuka Mwalimu wangu wa communication skills pale UDSM – dokta Mrindoko (nasikia ni profesa siku hizi) nikamjibu ‘’I will be back’’.

Nikarudi Star Park baada ya kuoga na kubadili nguo chumbani kwangu. Saa saba hivi nikaanza kumuwaza Yule dada, nikaona nijilipue, nikarudi lodge na moja kwa moja nikaenda kugonga mlango, binti alimka na kuja mlango kisha akauliza ni nani anayegonga? Nikamjibu ‘’kaka asiyekula biskuti’’ akafungua mlango huku aanacheka. Kwa kweli binti akanirahishia kazi kwa kunikakaribisha kitandani, nikapitiliza bafuni nikaoga kisha nikarudi kitandani, binti hakuniuliza chochote zaidi ya kujiweka vizuri. Nusu saa baadaye tukawa kwenye mambo mazito ya kufurahia uumbaji. Mpaka wakati huo sikuwa hata namjua jina wala sina namba yake ya simu.

Asubuhi safari ya Mikumi ikafanyika na kwa kweli siti yetu ilikuwa ni vicheko na kutomasana tu. Hata tulipofika Ruaha pia tukalala lodge moja na kwa kweli safari ilijaa furaha na raha.

Tufanye utalii wa ndani ndugu zangu.
Wenye uzi wao wamekuja sasa. Una bahati ndugu
 
Tutafanya utalii wa ndani maana sio kwa usimuliaji huo!!? [emoji847][emoji108][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duh hatari hii...!
 
Au alikosea ndugu zangu?
 
Nilichongundua, watu tunapenda sana zinaa! Ngono zembe, acheni tu haya mambo.
BTW..
Kuna classmate wangu hatujaonana kwa muda sasa! By then, nilikua miongoni mwa wanafunzi wasio na ushawishi yaani maarufuless! Basi Mungu mwema nimefanikiwa kufika chuo, mwezi jana nimekutana nae anafanya kazi stationary. Akanipa contacts, nikachati nae mara kadhaa, nikamwambia nimepanga geto ukipata nafasi karibu (ana mashauzi kimtindo).

Basi ikapita siku kadhaa zikapita, nikakumbushia wito wangu, sijui shetani gani alikuja kichwani, nikamwambia nina genye balaa, sijatomban.a kitambo, kama hutojali, njoo tupeane burudani, najua ww ni mtu mzima unaelewa. Daah! Huu ulikua kama mkeka, wakati nasubiri jibu, wazee hadi nilijamba kwa hofu, baada ya kama dkk 20, message hiyo! "Hiv ww unanichukuliaje" *****, nikamjibu, "Unanivutia sana, ni mwanamke nae tamani kumpa utundu, fikiria mara mbili" Kama masihara akajibu nakuja uniambie live huo upuuzi.

Jion saa moja, mtoto ananambia nishikie wapi, nikamuelekeza akafika geto, mhuni naangusha chini! Geto daah, asee dkk 10 nyingi, mtoto huyu hapa kifuani, hajatamka neno, ninae kunako chuchu, zama uvinza, pitisha ulimi kwenye nyonga, rudi kifuani, denda, dkk 20 nyingi, ninae cha kwanza dkk 3 nyingi *****, dkk 5 ninae, hajahema vema ninae la tatu.

Kama kawaida nikamfuta vema na vest, nikampa maji akaoga, nikamshukuru, akaaga, basi message za pongezi kama mia hivi. Nami kiutani nikamjibu

#Mitano tena.
#Nchi ya viwanda hii.
#Twende na Membe.
Naona mod wamehisi ni tusi hapo kwenye ***** ni mama.e.

Au mods mnasemaje.
Umeshalipia Tangazo???
 
Miaka kadhaa nilipata mwaliko wa kushiriki katika safari kuelekea kwenye mbuga za taifa Mikumi na Ruaha . Baaada ya kukamilisha malipo hatimaye siku ya safari ikafika. Safari ilihusisha watu niliokuwa nawafahamu na wengine sikuwa nawafahamu.

Nilifika mahali pa kukutania na kukuta gari aina ya Coaster ikiwa tayari imepakia baadhi ya watu, nami nikapanda na kukaa katika siti za watu wawili. Baada ya muda akaja dada mmoja, akaweka begi kasha akauliza kama hiyo siti ina mtu, bila hiyana nikamwambia haina mtu.

Safari ilianza na tulipofika Mbezi watu wakaomba tununue baadhi ya mahitaji pale kama soda na maji pamoja na bites. Watu wakashuka pamoja na huyu dada ambaye mpaka kufikia wakati huo tulikuwa tumekaa kimya huku akiwa bize na tablet yake. Aliporudi akanipatia biskuti, nikashukuru kwa kumwambia kuwa situmii biskuti, binti alitabasamu kisha akatoa karanga zile za mayai na kunipatia, kisha akaniambia usile nyingi sana zitakuletea matatizo njiani. Wote tukacheka kisha ukimya ukaendelea huku nikitafakari. Kabla ya kufika chalinze tukaingia restaurant fulani kwa ajili ya watu kupata huduma ya maliwato lakini pia kwa ajili ya kula wa wenye njaa.

Hapa akaniambia inabidi tushuke ili tukaangalie chakula, kengele ya gharama ikawa imepiga. Baada ya kupata huduma za maliwato, nikamkuta ananisubiri tukaingia restaurant na kununua chakula, hapa ilibidi nilipe chakula yeye akalipia soda, maji na wine. Muda huu sasa stori za hapa na pale zikaanza. Nilifungua kinywaji changu na kuanza kunywa, binti akasema yeye hajawahi kunywa hicho kinywaji, hata kabla sijatoa neno akachukua na kuonja, nikamtania umekunywa udenda wangu, akabaki anacheka.

Tuliingia Moro usiku na jamaa wanaopenda starehe wakashauri twende Star Park Bar and Night Club, hiyo siku watu walikuwa wengi sana na palikuwa pamechangamka sana. Binti akaniambia yeye amechoka hivyo anataka kwenda kulala, booking ilifanyika kwenye lodge jirani kabisa zilizopo karibu na star park. Basi nikawa gentleman nikamsindikiza mpaka lodge, nikataka niishie mapokezi, dada akanifanyia ishara kwa mkono kuwa twende wote chumbani kwake. Nikamfuata , kuingia room tukabaki kimya, dada akaniambia sasa naweza kwenda, nikamwambia asante sana kwa kunikaribisha chumbani kwake, binti akajibu kwa kiingereza ‘’feel free anytime’’ kwamba ‘’jisikie huru wakati wowote’’ nami nikamkumbuka Mwalimu wangu wa communication skills pale UDSM – dokta Mrindoko (nasikia ni profesa siku hizi) nikamjibu ‘’I will be back’’.

Nikarudi Star Park baada ya kuoga na kubadili nguo chumbani kwangu. Saa saba hivi nikaanza kumuwaza Yule dada, nikaona nijilipue, nikarudi lodge na moja kwa moja nikaenda kugonga mlango, binti alimka na kuja mlango kisha akauliza ni nani anayegonga? Nikamjibu ‘’kaka asiyekula biskuti’’ akafungua mlango huku aanacheka. Kwa kweli binti akanirahishia kazi kwa kunikakaribisha kitandani, nikapitiliza bafuni nikaoga kisha nikarudi kitandani, binti hakuniuliza chochote zaidi ya kujiweka vizuri. Nusu saa baadaye tukawa kwenye mambo mazito ya kufurahia uumbaji. Mpaka wakati huo sikuwa hata namjua jina wala sina namba yake ya simu.

Asubuhi safari ya Mikumi ikafanyika na kwa kweli siti yetu ilikuwa ni vicheko na kutomasana tu. Hata tulipofika Ruaha pia tukalala lodge moja na kwa kweli safari ilijaa furaha na raha.

Tufanye utalii wa ndani ndugu zangu.
Eti kaka asiyekula biskuti
Sijasoma sehemu yoyote ile kama ulivaa condom
[emoji1]
 
Ivi vijana mnafikilia ata kujenga viwanda
Huwezi waza kujenga viwanda wakati mfumo wa elimu ni mbovu na huwezi waza kujenga viwanda wakati kilimo kipo wodini!!

Kuanza kuwaza viwanda wakati kilimo hakija simama ni kiherehere cha wanasiasa..

Sasa kufikiria viwanda bila kilimo na bila elimu ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom