Kisa cha pili cha kula tunda kimasihara ni hiki hapa.
Nikiwa jijini Arusha mwaka 2007 nilikuwa nimepanga kwenye nyumba ina apartment nyingi. Mimi nilikuwa nimepanga apartment yenye chumba ambacho ni master na sebule na kijisehemu kidogo cha jiko. Mkabala na apartment yangu kulikuwa na mdada wa kipare anashepu ya kitusi akipita mahali palipo na watu lazima aache gumzo. Huyu mdada alikuwa anafanya kazi taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini.
Huyu mdada nilikuwa namheshimu sana sikuwa kuwaza kwamba kuna siku anaweza kutunuku penzi lake kwa sababu nilikuwa namuona ni mcha Mungu sana pia kwa mimi binafsi nilikuwa nimejipima na kujiona kuwa yuko nje ya uwezo wa kipato changu kwa hiyo nikabaki nakula kwa macho tu. Tulikuwa tunaheshimiana sana kiasi kwamba tulikuwa tunaitana kaka na dada.
Kuna siku majira saa 12 jioni nimerudi toka kazini nikamkuta kasimama mlangoni kwake akiwa anahuzuni pia anahangaika kupiga simu na inaonekana simu kama haikuwa ikijibiwa vile. Nikamsalimia kisha akaitikia kisha nikaingia kwangu. Baada muda nikasikia ananigongea mlangoni kwangu nilipotoka akaniambia samahani kaka naomba maji kunywa nitulize moyo.
Nikamuuliza kuna masaibu gani sister yamekupata. Akaniambia alipokuwa kazini kuna kitu alikuwa anafanya akalazimika kutumia ufunguo wake wa chumba sasa akasahau kuurudisha kwenye mkoba wake hivyo ufunguo ameusahau huko kazini. Kwa hiyo hapa alipo alikuwa akijaribu kuwapigia wafanyakazi wenzake kuna ambao huchelewa kutoka lakini simu haipokelewi. Nikamwambia pole sana karibu ndani upumzike.
Akiwa anavuta pumzi ndefu. Nikampa moyo nikamwambie usijali sister hakuna kilichoharibika wewe utapumzika hapa mimi nitaenda kwa mshikaji wangu wala usihofu. Nikamkaribisha juice ya kutengenezwa.
Wakati anakunywa juice nikaingia ndani ili kukiweka chumba katika mpangilio mzuri. Baada ya kumaliza kuweka chumba vizuri nikamkaribisha chumbani nikamwonyesha washroom, pia nikamwelekeza kutumia jagi la umeme iwapo angetaka kuoga maji ya moto.
Nikamwambia kama hatojali basi anaweza kuvaa track suit yangu ili nguo zake zisichafuke maana kesho hatoweza kubadili akasema asante. Baada ya kumkabidhi chumba mi nikarudi zangu sebuleni. Nikaanza kufanya kazi zangu kwa kutumia laptop.
Baada ya nusu saa akaja pale sebuleni katinga track suit yangu duuuu siku ile ndiyo nikajua yule dada ni kifaa. Aisee moyo ukaishindwa kuhimili mapigo, hakuna hata kazi iliyofanyika nikawa nakodolea macho computer lakini hakuna nilichofanya. Nilijitahidi sana kupuuzia uwepo wake ili nisije nikafanya jambo la kunivunjia heshima. Ajabu akanichokoza track suit yako nzuri, ikabidi nigeuke nimtazame, nikamwambia duu kama si yangu ama kweli kila nguo na mwili wake.
Ikabidi nami niingie ndani nibadili nguo na kuoga. Nilipoingia bafuni nilikuta kaanika skin tight na chupi na bra. Wakati naoga nikajikuta gegedo limesimama ile mbaya. Ilibidi nitumie muda wa ziada kulituliza. Nikatoka na kuungana naye sebuleni nikamkuta anatazama TV, nikamwambia mimi hapa huwa sipiki kwa hiyo kama vipi naomba twende tukale kule ambako huwa nakula. Alikataa akasema hawezi kutoka vile alivyovyaa nikamwambia basi usijali niambie utakula nini nini nikakuletee. Akaniagiza ndizi za kukaangwa na mishikaki. Nikaenda nikaleta.
Akiwa anakula mimi nikawa nazuga nafanya shughuli zangu akili haikuwa sawa kabisa mana siku hiyo ndiyo nilijua yule mwanamke ni mrembo. Mara ghafla mvua ikaanza kunyesha, ikanyesha mpaka ikafika sa nne usiku bado inanyesha. Jamaa yangu niliyemwomba kwenda kulala kwake akanipigia kuniuliza kama nitaenda kweli, nikamwambia nasubiri mvua ikatike. Wakati huo mie nikawa naomba mvua isikate. Mdada akasinzia kwenye kochi ikabidi nimwamshe akalale chumbani, akaniuliza wewe utaweza kweli kwenda kwa jamaa yako?
Nikamwambia usijali dada yangu, mimi naweza lala hata sebuleni. Nikamwambia usiku mwema ila usishtuke usiku nitakapokuwa napita kwenda washroom. Akasema usijali. Akaingia chumbani nikajikunyata kwenye kochi, usingizi ukanipitia. Majira ya tisa usiku nikashtuka mkojo umenibana ikabidi niende washroom, wakati natoka washroom ili niende sebuleni nikaendelee kujikunyata nikashtukia naitwa kwa jina langu akiniambia niende kitandani.
Mbona unapata tabu kwa ajili yangu njoo ulale hapa nikamwambia hapana sister uwe na amani. Akasema siwezi kuwa na amani wakati unapata shida kwa ajili yangu njoo ulale hapa tafadhali. Kumbuka mimi hapo toka saa nne usiku kichwa cha chini ndiyo kilikuwa kinaniongoza. Mwanamume nikajitosa.
Nilipopanda kitandani nikalala kwa kuangalia upande tofauti na yeye japo wote vichwa vilielekea upande mmoja. Mara nikaona kaleta mkono kwangu ni kama vile alikuwa akinipima joto la mwili kisha akasema pole sana baridi lote limeishia mwilini mwako sogea kwangu nikupe joto. Sikuishia kusogea tu bali niligeukia kwake, kwa joto alilokuwa nalo nilijikuta akili zimesimama.
Sikujua nini kilitokea ila tulijikuta tuko kama tulivyozaliwa, siku hiyo nashangaa ndani ya masaa mawili nimepiga round tatu za maana. Ilikuwa ni bandika bandua, bandika bandua. Hakuwa fundi sana ila kilichombeba ni papuchi yake haikuwa imetumika sana. Mana mwanzoni nilipata shida sana nikadhani ni bikra.
Kiukweli S.... alikuwa mtamu, kuanzia hapo sasa nikawa ni kujilia tu, hata yeye alinipenda sana, kuna wakati alikuwa akinishawishi tuoane lakini nilimwambia kwamba mimi tayari nilishazaa na binti wa watu na tayari wanajua niko katika harakati za kumuoa. Na mimi nilishaweka nadhiri ya kwamba sitamwacha.
Tulidumu naye kama mwaka hivi baadaye akaniambia amepata mchumba niliumia sana lakini sikuwa na namna. Tukapanga tukutane kwa ajili ya farewell kwa kila mmoja. Usiku ule farewell ulikuwa wa kukata na shoka, kidogo kila mmoja abadili msimamo. Nakiri S.... was a wife material, ameolewa anaheshimu sana ndoa yake. Ananiheshimu hata mimi pia. Nilipoteza lulu, umri umeenda lakini bado ni mrembo.