EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Ofisini kwetu kila mwaka tulikuwa tunaletewa interns kutoka Uholanzi na Ujerumani. Wakati mwingine walikuwa wanakuwa mpaka 3 kwa mara moja mchanganyiko kwa maana ya wanaume kwa wanawake au wanaweza kuwa jinsia moja.
Sasa kuna kipindi akaja msichana ambaye kwa bahati nikawa nafanya naye project iliyokuwa inatufanya tuzunguke mkoa mzima.
Tumezunguka almost 2 weeks tunakaa hoteli na bahati nzuri mi ndio translator pia kwenye issue ambazo watu hawakuwa wanaongea kiingereza. Katika wiki hizo 2 tukajikuta tumezoeana sana kwasababu most of the time nilikuwa mtu pekee aliyekuwa anaongea naye. Basi Siku moja tumemaliza kucompile report ya Siku tukajikuta tumejilaza kitandani tunapiga story ambazo zilipelekea kupitiwa na usingizi wote. Tumekuja kustuka tumelala kihasara halafu mkono wangu umepita kumzunguka kiunoni. Nikastuka lakini sikuutoa nilipoona naye katulia nikaanza uchokozi nikajibiwa na a very positive response iliyoishia kufungua mzigo wa binti wa kizungu ambao haukuwa umewahi kuguswa kabisa.
Tukafungua mahusiano ambayo yeye nahisi aliona ndio amefika wakati mi sikuwa na mpango huo. Sasa kila sehemu tukawa tunaenda wote, hata kwenye vibanda umiza kuangalia mpira akawa anataka twende wote, na yeye akaanza kushabikia timu niliyokuwa nashabikia. Nikaanza kualikwa kwenye vi outings na wazungu wenzie. Ila ilikuwa burudani kwasababu pamoja na kula mzigo lakini tulikuwa tukitoka out bill tutagawana nusu kwa nusu, au kama tumetoka na wazungu wengine basi bill ikija itagawanywa kwa watu wote including yeye na tunalipa Sawa. Au tukikaa hotel basi tunaweza kugawana Siku za kulipa (Hii kwa waswahili wenzetu huipati)
Tulikuja kuachana baada ya kuona yeye yuko serious sana na anataka kuanza kufanya introduction mpaka kwa wazazi wake. Nikaona mi hapana nikajichomoa kwa kumwambia ukweli tu kwamba mi sikuwa na mpango wa kufika huko.