EPISODE 4:
NLIVOMLA MANZI KIMASIHARA NKIWA MKOANI KIKAZI
Hili tukio limetokea mwaka huu miezi ya mwanzo wa mwaka, nlikua nimekuja kikazi kwenye mkoa mmoja, kazi ilionileta ilinibidi nikae hapo kwa kama mwezi mzima
Hoteli nliochagua ilikua tofauti na ya wenzangu, ile ndio nlipendezwa nayo, so kwa pale nlikua alone sikua na wenzangu nliokuja nao kikazi
Hua nina kawaida nkifika mkoa wowote, regardless niwe au nsiwe na mwenyeji napenda ku explore mwenyewe sehemu mbali mbali za huo mkoa nliofikia, iwe restaurants, clubs, sehemu zenye good music na good food n.k
Katika ku exlpore nkaja nkapata sehemu wanapika chakula kizuri sana, na nikilinganisha na hoteli nliofikia, pale quality na quantity cha chakula chao was high, na price yao ilikua reasonable, so hio ndio ikawa kambi yangu rasmi ya kula chakula.
Kuna siku on friday tulikua tumeambiana tutaanza kazi asubuhi ya mapema sana, so sikuweza kwenda kupata breakfast pale nlipozoea, ikanibidi ninywe chai hapo hotelini
Sasa nafika kwenye dinning room ya hotel, namalizia mchemsho wangu, ghafla anaingia mwanangu nlisoma nae, jamaa kwa sasa ni auditor by profession
Kusema kweli sikutegemea kama ningemkuta kwenye ule mkoa, sababu ni mkoa ambao umejitenga kidogo, Auditor akaniambia B vp?
Tukapeana hi, nkamuuliza upo hapa toka lini, akaniambia inaribia week sasa, na mm pia nipo pale almost a week, but tulikua hatuonani
yy mara nying anakula na kuchill kwenye lounge ya pale hotelini, mm nakula nje ya hoteli, na pia nachill sehemu za nje ya hoteli, so ilikua ngumu kuonana
Tukaagana, kila mmoja akaenda kufanya kazi iliyomleta, ilivofika usiku mi na auditor tukachekiana tukapanga twende ku refresh akili kidogo
tukazama club inayokubalika kwa pale mjini, na kweli it wasn't dissapointing palishona na vibe lake si la kitoto
Ile tunakula bia, all of a sudden tukamwona jamaa yetu nae tumesoma nae, jamaa kalewa mbaya ila yy hajatuona hahaaa
Huyo jamaa tuliesoma nae ni engineer by proffesion, na kumbe kwenye huo mkoa tuliofikia yeye ndio kaajiriwa
Tukaenda mpa hi, so ikawa coincidence, watu watatu ambao tumesoma wote kukutana ule mkoa bila kuplan
Sasa engineer regardless ya kua nimesoma nae ila pia ni home boy wangu, so tunatoka wte mkoa mmoja
Tukaja kuhamia meza ya injinia, Sasa meza aliokaa engineer kulikua na mabinti watatu, akatutambulisha, akawaambia wale mabinti kwamba sisi ni classmates wake n.k
Injinia akaniambia af B huyu dada pia ni home girl wako, nkasema realy?, basi ndio ikawa starting point ya mm kuanza story na huyo hom gal wangu, nlivoongea nae nkajua huyu kweli ni wa nyumbani
Akaniuliza hapa mkoani nimekuja kufanya mishe gani nkamweleza, nae akaniambia about kazi zake, na story zingine nyingi
So that is how i met huyo manzi, injinia alinitambulisha kwake, na pia uyo dada ni home girl wangu
Baada ya story nyingi na bia, tukabadilishana digits na yule manzi, nkamtext, akareply, nkamuaga injinia na ile kampani ya wadada nkaenda zangu kulala, hapo auditor nikamwacha
kusema kweli nlikua sina intentions yoyote nae huyo manzi, yani nlikua sina habari nae kabisa, ata nlivochkua namba yake nlikua sichat nae wala kupiga nae story kivile
Baada ya kama siku 4-5 nkapost breakfast yangu kwa status, ilikua mchemsho wa samaki mixa viaz na ndiz, yule manzi alivoview aka comment umenitamanisha[emoji39]
Nkamwambia karibu, akasema asante, nkamwambia im serious njoo upate mchemsho, kama kweli umetamani we njoo nkuagizie, akasema kwa sasa yupo job katingwa hawezi toka but jioni atakuja kunywa, nkajibu ok, sikuchukulia serious kama atakuja, nkamaliza mchemsho wangu nkaenda kufanya kazi zilizonleta
Siku ile Jioni nimetoka gym ya pale hotelini, narudi room kwangu, nachomoa simu kwa chaji nakuta yule manzi kanitext kwa whatsapp, kaandika B mambo, usidhanie nimesahau kuhusu ule mchemsho.
Nkamreply kwa kucheka, nkasema poa tumit mida flan, nkampa destination place ya kuonana, mida ilivofika kweli akaja ile sehemu nayopendelea kupata menu, akaagiza mchemsho wake mi pia nkaagiza wakwangu, tukapiga sana story, na ni story za kawaida tu, aftr kama 3hrs nkaagana nae, nkarudi zangu rum kuandika report
mpaka muda huo sina interest na sijaonesha interest kwa huyo mwanamke at all, ata mawasiliano baada ya mchemsho sikua nae, sana sana naview status zake, yy anaview status zakwangu basi
Weekend ikafika, nkaenda club kurefresh, hapo nipo na auditor, injinia hakuwepo siku hio
kuna mda yule manzi nae akaingia club, but alikua na girls wenzie, akaja akatupa hi mezani kwetu, nkamsifia, nkamwambia mependa dresscode yako, akacheka akasema asante
Akarudi kukaa na company yake, ss kuna muda Dj akawa anapiga playlist ya moto, unajikuta tu unaamka na kucheza, nkawa nampimia yule manzi anavo dance
Nkamfata nkaanza cheza nae zero distance, dah yani sijui mizuka nae ilitoka wapi, nkaanza kumtamani, nkamshika kichwa, nkam nong'oneza leo lazma tusepa wote
Akacheka, but hakujibu kitu, nlichoka kucheza nkarudi zangu kukaa na auditor, mida ikazidi kukata
Badae nakuja kucheki, simu nakuta text yake, kasema B nausingizi af nimechoka, nataka nkalale, kwa kusoma ile text huitaji kua genius kuelewa anamaanisha nini
Nkamjibu namalizia bia tunasepa, akajibu okay, nkamaliza bia, nkamtext tusepe, akasema poa ila yy anatangulia, hataki wenzake waone kua ameondoka na mm
hoteli nliofikia anaijua bcz kwenye story wakati tunapata mchemsho nlimwambia nimefikia hoteli flani
alivotangulia baada ya a few minutes na mm nkafatia, nikamuaga auditor, nkatoka nje, nkachkua boda mpaka hotelini, nkamkuta nje ya geti, nkamlipa boda tukazama ndani, nkachkua key yangu reception tukapanda room
huwezi amini ile tunakutana nje ya geti, mpaka tunaingia rum tulikua hatuna story,
Tumeingia room, akavua nguo, akazama moja kwa moja bafuni kaoga, mi nkatafuta condom zangu hua naweka akiba kwenye begi la nguo, natafuta kwa pupa ile kilevi levi sizioni
Nkasema kichwani niuze mechi kizembe hivi haiwezekani, ile natoa nguo moja moja nkazikuta, nkazitoa kwenye box nkaziweka chini ya mto
Manzi akatoka kuoga na mm nkazama bafuni, nkaoga chap nkajikausha nkarudi zangu kitandani, ile nazama ndani yashuka, nakuta manzi yupo naked
Tukaanza kissing, touching, tulivoingia kwenye mood nkavuta condom chini ya mto, nkaivaa nkampiga kimoja, badae nkampiga cha pili, akasema niamshe saa kumi na mbili kasoro
Nkaweka alarm, tukalala muda ulivofika akaamka akaoga, then akasepa
Kwa siku zilizobakia nkaendelea kumrukia, japo sio daily, mpaka ile siku ya mwisho akaja room tukapeana good bye sex, tulipeana mechi ya moto
driver aliniambia saa kumi na moja kamili nakupitia hotelini uwe tyari, nliweka alarm saa kumi nkaamka, nkapata morning glory, nkaenda kuoga nae, nkavaa nkatulia bed
Kumi na moja driver akanipigia akasema yupo nje na wenzangu, i kissed her good bye, nkabeba mizigo yangu nkatoka room
adi leo we keep in touch, na mpaka sasa ananiuliza narudi lini
THE END
STAY TUNED FOR EPISODE 5: HII ILITOKEA SIKU NKIWA NA DRIVER WA KAZINI, DRIVER YULE NI MSHUA FLANI ILA NI BAHARIA SANA