Ngoja na mm nichangie kidogo.
Nakumbuka mwaka 2012 niko first year chuo fulani kanda ya ziwa. walikua na kautaratibu wa kufanya sherehe kukaribisha first year, sherehe yenyewe ilikua inafanyiaka kwenye uwanja wa mpira wa chuo. Mwaka huo nilikua mgeni nimekaa geto nikaboreka nikaamua ngoja na mm nikashangae shangae kidogo. Kipindi hicho mm nilichagua kukaa hostel za nje ya chuo.
Siku hiyo kulikua na wasanii mbalimbali walikuja kwajili ya kunogesha sherehe, basi bhana nakumbuka lilipigwa songi moja matata sana karibia kila mtu uwanjani alilipuka kwa shange na kuanza kuserebuka. Mimi nilikuawa pekeyangu sina kampani yoyote. Kutokana na utamu wa mziki uliokuwa unapigwa nilijikuta najichanganya kati kati na kuanza kucheza, nkajikuta naanza kumbambia mdada aliekuwa mbele yangu, mwanzoni alistuka kidogo lakini kadri ya mizuka alivoendelea tukajikuta tunacheza zero distance kabisa moyoni nikasema huenda na mimi nimejiopolea kidemu cha chuo hapa. Katika kuendelea kucheza nikajikuta mikono inaanza kutalii mwilini mwa yule binti mara kiunoni mara kifuani nikichek bint mwenyew katulia tu anaendelea kusakata mziki. Lakini kadri nilivyoendelea kumpapasa nkaona anaishiwa nguvu tena kuzingatia kuwa kulikua hakuna taa za mwanga mkali bali ni kagiza flani hivi amaizing. Badae binti nkaona ananinambia nimsindikize chooni, nikamuuliza wap? Akajibu hostel ndipo nolipojua kuwa alikua anaishi hostel za ndani ambazo hazikuwa mbali na uwanja wa tukio. Basi bhana tutatoka moja kwa moja hadi hostel binti akazama chooni ile anatoka akasema amesahau kitu chumbani anataka akachukue nkaenda nae, ile kufika kuingia ndani binti akawa kama hataki kutoka hivi anataka tuendelee kukaa ndani. Sijui nini kilitokea tukajikuta tunakiss, romance nyingi kuja kustuka badae kitu imoo!! Binti yule sitakuja kumsahau alikua anajua kikatika balaa tena kulikua na kaubaridi kiasi hivyo ile show naikumbuka hadi kesho alikua na joto hatari,. Tangu siku hyo tukaanzisha mahusiano lakini hayakudumu sana tulipofika second year tuliachnana but tukawa tunapasha kiporo mara chache chache,. Sahizi kaolewa yuko zake huko mikoa ya nyanda za juu kisini.
Kama upo huku popote ulipo penzi lako nalikumbuka saaanaa.
Kisa kingine kinakuja: