Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Wacha na mm nilete yangu nyingine, ilikuwa mwezi wa sita nimeenda Dodoma kikazi, ilikuwa ni mafunzo ya mfumo fulani wa tehama nilikuwa nawezesha, mafunzo yalianza alhamisi na yalienda mpka j2 maana yaliitishwa kwa short notice sana. Nikiwa Dom huwa napenda sana kwenda pale Platnumz park kula msosi na bia mbili tatu, siku hiyo nimeemda ilikuwa Ijumaa jioni baada ya msosi na bia kadhaa ghafla akaingia dogo mmoja wa ofisini alikuja kwa kazi nyingine yuko na mademu wawili wakaenda kukaa meza za pembeni baada ya kuwaoma wametulia nikajongea na kabia kangu mkononi. Nikajoin meza yao dogo akafurahi sana baada ya bia kama mbilimbili hivi me nikaaga, maana nilikuwa nimeshachangamka sana tu, wakati natoka dogo akanifuata nje baada ya kuongea naye kidogo na akaniambia wa kwake ni yupi pale kati ya wale wawili, nikamwambia basi namtaka yule mwingine demu ilkuwa mbandanga fulani hivi ina tako la haja basi tukaacha me nikasepa lodge kulala. Kesho yake asubuhi wakati nipo kwenye session nikasikia simu inaita kupokea dogo ananiambia ile pisi imeelewa na imecheck out kabisa room aliyokuwa amefikia maandalizi ya kuja kulala na mm, nikaona ohoo mambo yameiva. Jioni baada ya kutoka kwenye mafunzo dogo akaniletea pisi mkapa room daah sikuamini nikajipigia bao moja kwanza la afya ndiyo tukaanza kuulizana hmajina na nn na nn, then tukaoga tukaenda platnumz park kula na baadaye rainbow kula bia nakumbuka hiyo siku ndiyo ilikuwa fainali ya champions league Liver v Spurs. Game ilivyoisha tukarudi room piga sana mpk asubuhi nikampa nauli alikuwa anarudi kwao Iringa maana ni mfanyakazi wa serikali alikuwa anawahi j3 kazini. Huwa nikikumbuka nacheka tu
Ulikula kirahis sana