MAMA MWENYE NYUMBA NILIVYOMPIGA DUSHEE
........
Miaka ya 2014/2015...nilienda kupanga Nyumba baada ya kuajiliwa serikalini mjini Mwanza
Nilipelekwa na Dalali hadi pale,kufika pale nikaambiwa chumba ni laki moja,nikalipa cash na dalali nikampa chake kisha nikasepa zangu nilipofikia kwa mama Mdogo.
Nilichukua namba ya mama mwenye Nyumba,alikuwa sio mkubwa ili alikuwa mzuri sana hadi ukimuona hivi unapagawa kabisa.Nikasema nitakaa kweli hapa na hivi napenda watoto wazuri
Baada ya wiki nikahamia pale kwake,mumewe ni mtu wa polini huko,askari poli huwa anaondoka Mara kwa Mara
Tukawa tunamazoea ya hapa na pale kuchati usiku,siku moja nikawa nimerudi kazin,ghafla akafungua dirisha langu, akaangalia ndani,halafu akatoka nikashangaaa sana,akanitext nilikuwa najua una mwanamke ndani?????????
Nilijiuliza maswali Mengi mno............
Itaendelea....