Wiki iliyopita nilikuwa kwenye shughuli zangu za uwakala/miamala ya simu.
Ilikuwa mida ya saa 4 usiku dada mmoja kaja nikamhudumia vocha akasepa. Haikupita muda akarudi tena, kumbe alienda kuongea na simu kuna mwenyeji wake alikuwa anamtafuta hewani amjulishe kuwa amefika, bahati mbaya simu yake iliisha chaji.
Akanambia anaomba nimbustie simu yake , bila hiyana nikamwekea chaji mm nikaendelea kuhudumia wateja wengine, yeye akakaa nje pembeni anasubiri simu.
Baada ya kama dk 5 hivi akaniomba nimpasie simu aiwashe ili awasiliane na mtu wake ila nisiichomoe. Nikampitishia simu akaiwasha then akawa anamtext mtu wake...
Ilipofika mida ya saa 5 kasoro hivi mimi nikawa nataka kufunga lakini sikumuambia kwanza, nikaanza kumdadisi...
Vipi shemu hapokei nini? akanambia akimpigia hapokei na text amemjibu moja tu tangu afike muda ule. Katika kumuuliza uliza akanambia yeye ni mgeni kabisa ndio alikuwa kafika kwa mara ya kwanza, ilibidi afike mapema bahati mbaya alichelewa kwa sababu ya foleni njiani.
Nikamuuliza mwenyeji wake anaishi wapi, akanitajia hiyo sehemu.. mh... mim nikaguna nikamwambia hiyo sehemu ni mbali sana, kwa gari ni dakika 45, bodaboda dakika 30.
Kwa muda ule hakukuwa na daladala kabisa ila ni bajaji na boda boda, nikamshauri aendelee kuvuta subira hadi huyo mtu wake atakapomjibu maana anaweza kwenda kule na asimpate (ila mimi machale yalinicheza huyo mtu wake atakuwa na goma lingine).
Nikamuuliza vipi umekula? hakunijibu. nikaonesha uungwana kidogo, nikampa buku 3 nikamwambia akale chipsi, nikamuelekeza wanapouza. Mimi nikaanza maandalizi ya kufunga biashara yangu. Hapo ilikuwa saa 5 na nusu hv usiku.
Baada ya muda akarudi akanishukuru, akanambia mtu wake hapatikani kabisa, anahisi amemzia simu.
Nikamshauri kwa kuwa sasa hivi ni usiku sana na yeye ni mtoto wa kike, ni bora aende kulala gesti au kama hatojali twende nami tukalale home ila nikamwambia nina GHETHO. Akaniambia tusubiri ifike saa sita labda mtu wake atapatikana. Nikamjibu poa, nikamwambia anipe namba yake afu atanitafuta, huyo nikasepa zangu....
Uzuri nami sikwenda mbali kivile, nikawa nasubiri, je atanitafuta!
Mida ya saa 6 na robo hivi, mtoto huyo hewani, akaniambia niende kumchukua...
Bila ya kupoteza muda nikamfuata tukachukua bajaji hadi geto..
Kuingia ndani akaomba aingie bafuni kuoga, nikamuandalia mazingira huyo akaenda kuoga...
Aliporudi nami nikaenda kuoga pia. Niliporudi mtoto huyoo kajilaza pembeni na kimsambwanda chake kimebinuka kimtindo. Nami nikajilaza...........
Itaendelea.............. sasa naangalia mechi ya chelsea vs man city