Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Safarini. Tumefika moro usiku kama saa 4 hivi, demu anaenda dom na mimi ndo nishafika moro naenda maghetoni.
Hakuwa na mwenyeji moro na wala hakua na bajeti ya kulala gesti. Nikamwambia kiutani twende ukalale kwangu then kesho asubuhi utaendelea na safari akakubali. Akachezea probosis ya kutosha na ndo ikawa ntolee.
Huu msemo wa proboscis...we jamaa utakuwa umesoma SUA tena VET
 
Kuna Dada alikuwa kila akiniona anaoenda sana kuniamkia siku hiyo nikamuuliza unaniamkia unataka kuninyima nini!!?

Binti akasema nakuheshimu Ila siwezi kukunyima chochote nikamuuliza kwa hiyo nikiomba utanipa!!? Akasema ndio nitakupa.

Nikamwambia naomba namba yako ya simu akanipa bila ubishi. Kumbe kuna rafiki yangu alishaomba mzigo ila alinyimwa , Nikamwambia Leo nataka nikusindikize mpaka kwenu.

Dah for the first time i had sex in my car yesterday yaani hapo tulipokuwa ni karibu kabisa na kwao huyo mrembo ukizingatia anakaa kwa baba na mama.

Ila nimepanga nijenge kibanda maana show jana ilikuwa ya kibabe sana nakosa hata mistari ya kuielezea kwa undani zaidi.
 
I'd ya moto hii
Screenshot_20191208-172306.jpeg
 
Duh mzee we noma...utakuwa acrobatic kama wachina,,yani mtoto anakupiga BJ halafu wewe unamlamba masikio sijui ulijikunjaje...props kwako lakn
Hata Mimi nawaza Sana huyu bro aliwezaje kujikunja mpaka kufikia masikio ya huyo manzi.....inawezekana lakini mabaharia huwa wanna matukio amazing wakaiwa katika harakati zao
 
Ngoja na mimi nilete kisa nilivyokuwa naliwa kimasihara



Baada ya kuona maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke mrembo na mwenye mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya ukimwi



Nikaanza kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO , JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila siku bila kuchoka .



Ohio ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu unatakiwa uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie wenyewe kama wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .



Billa nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao tu sio zaidi .



Basi nilianza safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika . Hapa ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .



Wengine wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio kama hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .



Wengine wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .



Mwisho wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam , mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .



Siku hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme ...wanachuo wa MUHAS walioenda sana Tigo



Mbaya zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .



Biashara hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo

Siwezi kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga chochote kile...na wengine naamini wako humu jf

Na mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .


Hii ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii kabisa ......

Kwa leo nakomea hapa next time nitaleta story nilivyoliwa na mwanachuo kimasihara bila kujua kama mimi kahaba
Hii kitu imesisimua mwili.ivi ni kweli au.ntaendelea kubaki mkoani tu
 
Back
Top Bottom