Hii haihusu kula tunda kimasihara lakini naomba niiweke humu. Hata hainihusu, mimi nilikua mpenzi mtazamaji tu.
Kipindi tupo advance tulikua tunakaa bwenini lakini washkaji kama watano hivi tukajichanga na kupanga geto mtaani kwa ajili ya kugongea tu. Anaevusha anatoa taarifa anaenda kufanya yake. Sharti lilikua lazima uruhusu wana waje kupiga chabo, tulikuaa tunaita deo kipindi hicho. Mwamba mmoja yeye alikua anakaa kwao na pale alikua hajashiriki kulipia na kununua vitu, siku hiyo kaomba room kuna demu kaopoa hana hela ya gesti, tukamkubalia lakini tukampa sharti la kuruhusu deo, kakubali. Basi wana tumekaa nje tunamsubiri aje na huyo dem.
Kweli kaja nae, sio dem, ni mmama, af mnene hatari, tako tako. Jaribu kuimagine wale wamama wa uswahilini wanene wanye matako matako kweli. Yani lile tako lilikua balaa.
Basi wakatusalimia wakazama geto. Tukazuga zuga kama dakika 10 hivi tukawaza kuwa mambo yashakua moto tukaenda dirishani kula deo.
Tukakuta mwamba yupo na suruali shati kavua analipiga romance lile limama, limeshavua gauni, ni minyama tu, na mititi kama yote.
Jamaa kaanza kulivua chupi, jamaa mmoja kanong'oneza 'weka chupi mezani' basi wote tukakazia aweke chupi mezani. Kulikua na meza ya plastiki, zile wanafunzi wanatumiaga magetoni kujisomea. Jamaa akawa anaona soo, lile limaza lisje kuskia, ikabidi aiweke kweli. Tukamwambia ailaze. Kweli kailaza.
Chupi kubwa hatari kidogo ijaze meza upande mmoja hadi mwingine. Tukaanza kucheka. Tumecheka mpaka ikawa soo. Lile maza likasikia likamaindi kinoma. Likavaa likasepa. Jamaa kashindwa hata kulisindikiza. Katoka nje kuzunguka dirishani anakuta wana tunacheka mpaka tumekaa chini. Ikabidi nae acheke tu.
Miaka mingi imepita now kila mtu ana maisha yake lakini kila nkikutana na yule mwamba hii ishu huwa naikumbuka nacheka sana.
Hilo geto lilikua na matukio mengi sana. Kuna siku ule ugumu wa kishule shule nkaopoa demu mmoja mbovu hatari, nkaenda nae mchana siku ya wiki, wana wapo shuleni muda huo, nkapiga viwili fasta nkamtoa, kumbe jamaa anaekaa chumba cha jirani kamuona wakati namtoa. Ile narudi jamaa kaniambia dogo huyo dem ni mbaya sijawahi ona. Bora ungepiga nyeto tu yaishe. Ikabidi nimuombe asiwaambie wanangu manake majungu yake yasingekua madogo