Simple F
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 1,293
- 1,767
Nimerudi juzi tu hapa jtatu nikampanga demu nimkaze akakubali nikatangulia zangu lodge nikasubiri kaja kutokea amechelewa hivyo akaomba tusifanye home watammaindi alikuja ili kuniridhisha nikakubali kishingo nikatoka na hasira zangu na mkweche ghafla wazo likanijia ukitana na yeyote njia toa lift halafu jaribu zali kutoa hasira za huyu manzi nikatembee hadi nikatakata tamaa ilikuwa mida ya saa moja na nusu nikamuona mama wa makamo simamisha mkweche kwa mbele kidogo nikipimia uelekeo wake kufika nilipo nikamuita kama nina shida ya kuulizia njia fulani akanielekeza halafu nikaomba apande nimsogeze kwake akasita kwa muda akakubali maana anapoishi hapakuwa mbali mwendo mdogo mdogo stori za hapa na pale naenda taratibu nizidi kumchmba niombe tunda kwanza nikaomba namba akatoa kuomba tunda akazngua mbaya nikambembeleza kwamba hali mbaya nina mwaka sijapata tunda then yeye hashangai ghafla tumezoeana ajue kuna makusudi yaliyotuvuta mpaka ikawa hivyo blah blah nyingi akaingia kingi kilichofuata ni kurudi lodge niliyolipia awali nikapiga viwili swaafii hakuamn mpk jana anapiga simu analalamika nimemuingiza mjini mi baharia sina misheni ishakamilika