Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mzee wacha na mimi niilete hii!!

Kipindi niko o'level nilikuwa nikisoma Moshi ila kuna msala nilifanya shule ikabidi nihamishwe shule,so nikahamishiwa mkoani Iringa kwa uncle,ilikuwa shule ya day na mimi nlikuwa natokea home kwa uncle,basi bwana kama unavyojua shule za mikoani ukihamia mgeni shobo nyingi madem ata washkaji walikuwa wananikubali sana ukizingatia nilikuwa vizuri sana kwenye mathematics na football winga mmoja hatari sana!!
Basi kuna wana wakawa washkaji, hawa wana wapo 3 wamepanga geto moja kwa sababu kwao ni mbali na shule,na lile geto tulikuwa tukiliita "Old Trafford" mtu akiwa na demu anapeleka pale kutanfuna ila sheria ni moja "lazima aache wana tupige chabo"...
Basi kuna mwanetu akaopoa dem (wale wa kukosea namba)dem alikuwa na sauti nzuri balaa, hakuna aliyewahi kumuona huyo dem ni kuongea nae kwenye simu tu,siku hio jamaa akapanga na dem aibuke aje kumchek jamaa (dem alikuwa anatoka sehem moja panaitwa tanangozi),basi ikabidi tutoroke shule kwenda kumpokea huyu shemeji yetu maana kila mtu alikuwa na hamu sana ya kumuona kutokana na sauti yake kwenye simu!
Picha linaanza tupo stand pale dem kashuka kavaa tracksut(zile za wakuu wa mikoa wanavaaga jumamosi) dem mweusi tii,anachunusi kubwa hatari alafu zimeiva za njanoo mbaya kishenzi,jamaa akataka amkimbie tukampliz sio poa nenda tu, jamaa akamchukua dem mpaka mageton sisi tupo nyuma yao tunacheka balaa mpaka jamaa akaishiwa pozi, tumefika mageton makubaliano dem alale siku moja kesho arudi kwao,sisi tupo dirishan apo tunacheka hatari dem anamshika shika mwana, mwana kajikausha kama sio yeye, jamaa akawa anaombwa mchezo na dem jamaa hataki sisi huku tunacheka sana, tumekaa dirishani pale mpaka saa 7 hola tukasepa!!
Kesho yake ambayo dem ilibidi arudi kwao,dem hataki kwao kakaza palepale magetoni hataki kuondoka dem alikuja na viazi kibao kuja kuanza maisha na mwamba, ilibidi tuingilie kati tutumie nguvu dem asepe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana ni kama namwona jamaa anabembelezwa ale zigo halafu jamaa anakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kwangu naweza sema mm ndio nililiwa kimasihara na huyu manzi.
Iko hivi.

Back in days hukoo nyuma 2013 chuo maarufu hapo posta dar nilisoma na sister mmoja hiv, mtoto wa kichaga lakin kazaliwa na kukuliwa mwanza.Mama yake ni muhaya.

Huyu sister sio siri nilitokea kumuelewa toka miaka 2 nyuma siku ya kwanza anafanya presentation class ila kwakua mm ni mtu flan mgumu toka uboizin hukoo high scul nikampotezea na ikawa rahis tu.Hii ilikua first year.hatukuwah kuwa na uhusiano hata wa nbaki yan .Yan hata ile ya kusalimia na hata kuonana ilikua nadra sana cz mm nilikua mtoro sana chuoni.

Mungu si athuman, mwaka wa tatu,2 years later sijui ilikuaje ,ikatokea tumepangwa group moja ya assignment.Kwa asil mm ni muongeaji sana nikiwa na wana na watu nilowazoea, nje ya hapo huwa nakua mkimya sana.So hata kwenye grp nilikua mkimya sana.Sikua na jipya.Washkaji tuliokua nao wakawa wanakula misifa kwel yan kwenye mijadala mm kilaza flan ndio nakua natumwa ku print au ku burn Cd na kukusanya assignment.kwakua napenda privacy sikua naona tabu.

Hapa pia huyu sister kumbuka bado sikua nimezoeana nae.ila Atleast alini recognize na japo kunijua.Alikua mzuri kwakwel japo sio sanaaaa ila analipa.shepu ipo sura aah inaridhisha pia smart kichwan.na katika kunitambua huku japo kwa uchache akajua nina weza nn ,masomo gani yan.

Kwa coarse za IT/computer science wazoefu watakua wanajua,ile kitu ya mwaka wa mwisho tunaita final year project.Tunakaribia kumaliza chuo, watu project za programming zimewagomea mambo yamebuma.Mmoja wapo alikua huyo sister.Kipind hiki nilikua nishamaliza project yangu nikawa napiga sana hela kwa kushinda pale chuo cha DIT nafanyia watu project zao za namna hii.
Basi bwana habar zikamfikia bibie, kumbe na yy mambo yake yamemuwia vigumu.
Bila hiyana nikamfanyia bila kutaka chochote bt as a frnd.

Hii ikatengeneza ukaribu kidogo.Rasmi nikapewa namba ya cm.Baada ya kumaliza na kufanya presentation zetu mambo yakaenda poa upande wangu na wake pia.Akanishukur sana. So mambo mengine yakaendelea mpaka tunamaliza chuo 2013 akarud kwao mwanza kapata kazi hukoo.
Tukawa tunawasiliana wasiliana mm niko dar lla sio kama wapenz.Na mawasiliano pia hayakua romantic na sio ya mara kwa mara.Nikapata kibarua kampun flan hapo posta kama technical supervisor kwenye miradi ya IT.Tulifanya sana kaz za mabenki hivyo nikawa nasafir sana.

2015 nikawa naelekea Musoma bank moja pale mjini.Tulikua tunafanya renovation ya network infrastructure yao.Nikamaliza nikawa nageuka kurud mwanza then nirud Dar.
Basi hapa ndio picha lilipoanza.

Nikiwa narud kabla sijafika mwanza nikakumbuka huyu kiumbe nikam text kuwa napita mwanza toka musoma.Akauliza uko wap ?nikamwambia.
Akanambia lazima nifike home siwez rud Dar bila ya kuonana,kanielekeza nishuke igoma,pale akanambia nichukue boda then yy akampa maelekezo dereve wa boda ,huyoooo mpaka home kwake anakoishi alone.

Alikua amependeza kwel.Na muda huo kumbuka hatuna mahusiano zaid ya u friend tu.
Nikaingia ndani tukapiga stori za hapa na pale na she was happy kwakwel.Ndani anapoishi ilikua self contained.Bwana wee ,alifanyaje unajua?
Kwanza akanambia TheOnlySurvivor muda huu ni jion (saa 1 jion) na mm sina mpango wa kupika na ww najua umechoka.Hapa ni nyumban kw mwanamkehuwez lala, nitakupeleka juu hapo kuna hotel na bar so utapata chakula hapo uchukue na chumba hapo cha kulala then kesho uendelee na safar yako.

Ghafla ,naona anavua nguo moja moja,e bwana wee...nikaona enhee keo ndio naabika mwanaume.Hapo kimya kikatawala.Alipomaliza,akiwa uchi kabisa akachukua kanga akavaa akaingia bafuni.
Duh!!Mtandao ukasoma 6G akil ikataka hamia kichwa cha chini ila nikaidhibiti.
Nikawa mpole na kuongeza umakini..

Alipomaliza akatoka akajikausha maji huku stori za hapa na pale zinaendelea,akachangua jinsi tight na tishirt akavaa.Akasema twenzetu.Aisee yan nilikua kama fala flan hiv.

Akaita boda tukapanda tukafika tulipokusudia.Mfukoni niko vizur sana sana.
Nikaenda jion nikaonda nyama kama kilo na ndiz ,situmii pombe so nikaa juice kubwaa kuvuta muda yy akawa anapiga vyombo vyake kama kawaida ya wachaga.
Nikaenda ku book chumba kwa ajil ya mm kulala hapo iku hiyo.Tukiwa tunaendelea na stori, mara ghafla kapigiwa cm na boyfriend wake,yuko abroad anasomea udaktari.
Kwakua pale kuna kelele basi akaniomba funguo za chumba akaenda kuongelea ndani ili asionekane ametoka kwenda viwanja.
Akakaa sana na alipomaliza akanitumia text "njoo tuhamie tu ndani".
Nikawaambia wahudumu waingize vitu vyetu ndan na chakula kilikua tayar kikapelekwa dani.

Basi hapo nikaona asee inabid nichangamke,wakat anaendelea kupiga vyombo,na kula nikaingia kuoga nikamaliza nikafunga taulo nikamjoin mezani .Hpo hal9i ikawa imeanza kubadikika.maongez yanaelekea kwingine hapo .

Nikapeleka mkono begani, kimya,nikaushushia kifuani ,naona ushirikiano upo,nikauhamishia shingono kisha mashavuni, nikamvuta kwangu ,naona mtoto kajaa,nikampa romance ya nguvu,Vita y WW1 ikaanzia hapo.kumbe manzi alikua ananielewa kitambo sanaa toka chuo.

Nilichapa saanaaaa.Nilichapa sana wakuu.Asbh akawah kuondoka kwenda kazn.Mm nikaendelea na safar kurud dar.kimasihara sihara tu ikajitokeza tumekulana na oenz likaanzia hapo japo yy al9ikua na wake na mm nina wangu tena nimeoa kwa ndoa.

Baada ya hapo hatukua na mawasiliano ya mara kwa mara il9a ni yale ya kushtukiza tu tukimisiana.Mm dar yy mwanza so hakuna tabu.

Miaka miwili tena baadae nikarud mwanza kikazi,HAPA NITAWALETEA YALIYOJITOKEZA MENGINE AMBAYO HAYA HAYAKUA KIMASIHARA ILA HATA MM YALINIFUNZA KITU.

samahan kama uandishi umewachosha.
[emoji122][emoji122][emoji122] mkuu huyo dem itakua namfahamu hapo DIT nipe muonekano wake yupoje? 2013 alimaliza Bachelor au OD maana na mm nilimaliza mwaka uliofuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingine hii nipo zangu hostelinafua j mosi hiyo naenda kuanika nguo naona mtoto mmoja hivi mzuri mzuri yupo shambani anachimba mihogo du moyo ukalipuka balaa nikasema ngoja nimzingue nione response yake nikwambia unafnya nn kwenye shamba la bibi yetu unaiba mihogo nn? akajibu hapana kaka hyu n Bibi yangu,nikauliza mbn sijawai kukuona namuonaga Bibi na wajukuu wengine?akaniambia mie mgeni Nina wiki 2 hapa malimbe nimetokea ukerewe,nikamuuliza vp unayaonaje maisha ya malimbe?akajibu magumu nikauliza kwanini ?mara oooo kwa Bibi hakuna maziwa nyumbani yapo hivyo nimeyamis sana,nikaona point ndo hii maana mie kila ck asubh nilikuw n utaratib wa kwenda kununua maziwa nikitoka zoezi,nikamwambia mbona hilo tatizo dogo njoo kesho asubh uchukue maziwa akaniambia kesho naenda kanisani labda j3 ,nikamwabia saa 4 naingia kwenye kipnd so uwai bc kama saa 3 hv akasema poa,j3 ikafika mie naende kucheki shambani mara kwa mara mtoto si hyu hapa nikamp maelekezo azunguke getini aingie hadi gheto aje achukue maziwa nakuta anakubali 2 kimoyomoyo nikasema umekwisha ,akaacha jembe shambani akaja gheto bahati mbaya siku hiyo maziwa niliyakosa nikasema nitajua hapa hpa ngoja aje,kufika mtoto anashangaa shangaa 2 nikaanza makeke mara kipochi manyoa hiki hapa sema mtoto alikuwa kastawisha unywele balaa stimu zikapungua nikasema isiwe kesi ngoja niweke identify 2 kwa Leo aisee naingia mzigoni nikakutana na mautamu ya yule mtoto mbunye mnato flani hv aisee nilipiga balaaa akasepa jioni ananiambia ila ww nouma sana sikutegemea kama waweza fanya vile, ikawa kawaida najilia mzigo 2 ,Kwa mara ya kwanza nakaa na demu kama mke na mume chuo ndo kwa hyo kalikuwa katamu sana ila Long distance lov likavunja uhusiano wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimchelee kabaka asee.
Nyingine hii

Back in days nikiwa O'level Moshi, kuna dem tulisoma nae alikuwa kikojozi sana,mbaya zaidi hakuwa akijipenda na kwao maisha yalikua magumu shule anakuja mchafu, unform zake zimechakaa viatu mtihani, yule dem tulimpa jina la utani "Kimchelee" hili tulikuwa tunalijua sisi wana tu,na tulimpa jina hili kutokana alikuwa ananuka ka harufu flan hivi kama mchele ule unanukiaa, na kama mnataniana mtu akikwambia "dem wako kimchelee"lazima umind hata wasichana wenzake walimtenga!!

Basi bwana,baada ya miaka mingi kupita,mimi nko chuo apo mwaka wa 2,masomo magumu,nina stress balaa napiga Hamza Kanun mojamoja town posta mpya pale,nasikia naitwa na sauti ya kike "chineduu"nikageuka sikuona mtu ninayemfaham nikawaza labda si mimi ukizingatia jina langu ni popular sana, kila nikienda nasikia naitwa tu, mara mtu ananigusa bega kugeuka Aisee!!sikutarajia...

Alikuwa mtoto mmoja mkali vibaya mno, kajaliwa sura, shepu hatari, kavaa uniform za Supermarket moja kubwa na maarufu hapa mjini, ila mimi sikua namkumbuka huyu dem kwa io nkawa sielew kipindi, akaanza za siku, umekuwa mkubwa bla bla bla kibao akawa anaongea yeye tu mimi namtizama, akanambia hakutegemea kuniona hivo nmpe ata 20-30 hivi tukae sehem tuzungumze, kwel tulikaa sehem lakin sikua bado namjua ni nani japo kwenye mazungumzo alionesha kunijua sana!!

Kwa alkil ya haraka haraka nikahisi tulisoma nae, lakini nmesoma mikoa kama 4 hivi tofauti tofauti kwanzia primary-A level.kwenye story akawa anaulizia wanangu nliosoma nao Moshi kwa io nikajua nmesoma nae wap,ila huyu ni nani sina idea,baadae nkamuuliza maswal ya tecnik ambayo majib yake ndo nikajua aaah kumbe huyu ni Kimchelee!! Aisee nilishangaa sana alivyokua, basi story story pale nkachukua namba tukatawanyika ila nilibaki nikistaajabu sana!!

Tuliendelea kuchat nae kawaida tu,na mara nyingi alikuwa akianzisha yeye story,sikua na mawazo ya kumtafuna kwanza alionekana ni wale madem wa tabaka flan hiv,Jumapil moja akanialika kwake Kinondoni,nkamuulza kuhusu shemeji akasema njoo utamkuta hana shida, basi nikaenda kichwani nikiwa na mawazo kwamba natembelea familia ya mke na mume! Nmefika pale nmepokelewa njiani na ma hug mbele za watu adi najisikia soo, maana dem anamwil shepu mzuri alafu mimi dah!!

Tumefika kwake dem amepanga nyumba upande mzima,story mbili tatu nkakaribishwa menyu nmepiga fresh nkamuuliza mbona shem simuoni akanambia kaenda kusoma abroad,bas dem akasema anasikia joto ngoja akajimwagie maji, kaenda karudi aisee Mungu anaumba si mchezo!

Basi dem kaja kakaa pembeni yangu yani 0 distance,japo sebule kubwa, akaanza kuniulizia dem wangu wa o'level nkamwambia aliniacha dem akasikitika kizushi pale me namchora tu, mara ooh sorry nmekukumbusha vidonda wakati nlikuwa normal tu, naona mtu ananikumbatia ananilazia kwenye matiti yake, apo nkaacha uzembe nkajibu mashambulizi pale piga romance ya atari,nkamtenga apo piga sana!! Baadae dem anaanza kulia eti haamini kama kanipata ooh nilikuwa nakupenda tangu O'level ila nilidhan sitokupata kwa sababu ulikuwa unapendwa na wengi!!

Basi niliendelea kujipigia yule dem mpaka bwana ake alivyorudi akamuoa wakahamia Kenya ambako anafanya kazi mshkaji huko, huwa nawasiliana nae mara chache chache sana, na nikiri tu sijawahi kupata dem mzuri kama huyu Tangu nizaliwe!!

Nilichojifunza kwamba unaemdharau leo hii kesho huwezi jua atakuwa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya panzi, imemnufaisha kunguru.
Baada ya kupitia uzi huu nami nimeona nilete kisa changu cha kupata penzi kimasihara kutoka kwa shemeji yangu.

Ilikuwa 2012,,,tulienda Kahama kwa ajili ya usimamizi wa project flani za miradi ya Maji. Tulikuwa mimi na workmate mwenzangu ambae kwa bahati nzuri yeye alifanikiwa kupata binti mmoja mwenye asili ya kinyarwanda na kufanikiwa kumzalisha mtoto mmoja.

Tulikaa Kahama karibu mwaka mzima tukisimamia mradi,,,,sasa jamaa yangu ambae ni workmate mwenzangu alikuja kupata msala wa kutembea na mke wa kigogo flani wa polisi hapo kahama na kusababisha kukimbia bila kuaga matokeo yake akaishia kumtekeleza yule mtoto na mama yake.Baada ya muda tukamaliza zile project na mimi kurudi zangu dar kuendelea na shughuli zingine za kujenga taifa.

Mwaka 2014 nikapata safari ya kikazi kwenda tena kahama,,,,hapa nikiri tu ndo kipindi nilichomla shemeji yangu kimasihara,,,,Nimefika kahama mida ya saa nne usiku nikachukua chumba hotel iliyo jirani na stand ya mabasi kahama mji,,,Kesho asubuhi nimeamka zangu naendelea na shughuli zangu kwenye laptop,,ghafla nasikia simu inaita kupokea nasikia sauti ya upande wa pili inasema,,, Shem habari za siku nyingi, nasikia umekuja kahama,,,,namuliza wewe nani,,,ananijibu mimi ni Elizabeth,,, niliezaa na flani yule mliokuja nae kipindi kile kwenye mradi ya Maji,,,nikasema yes nakukumbuka,,,,Namuliza umejuaje nipo kahama,,,ananijibu nimeambiwa na rafiki yako,,,nikamwambia ni kweli nipo kahama ila nipo kikazi kwa muda kama mwezi mmoja hivi,,,so usijali nitakuja kukusalimu tu.Tukaagana kwenye simu,,mim nikiendelea na yangu kuandaa program zangu za kazi mambo yaende fresh.

Kufika jioni hivi naona text kwenye simu,,, mambo vp Shem,,,umefikia hotel gani,,,,moyoni nikjisema acha tu nimjibu nione itakuwaje,,wakati huo mi nipo nimekaa kaunta ya hotel nakula zangu bia mdogo mdogo tu,,,,within 15 minutes tu,,,simu inaita naambiwa nimeshafika hapa upo wapi,,,,namwambia karibu hadi ndani njoo kaunta huku,,,,dah shemeji yangu huyu alipendeza vibaya mno,kazidi kuwa mzuri mno.

Nikimkaribisha pale vinywaji,,yeye akaagiza castle light,,,,huku story zikiendelea nyingi zikiwa za kumlalamikia jamaa kampotezea tu yeye anamlea mtoto pekee yake,,,nikawa namtia tu moyo ipo siku mambo yataka sawa jamaa atarudi kuchukua mwanae,,,huku mimi nazidi tu kumsifia kwamba amezidi kuwa mzuri,,nikampiga na picha ya kizushi kumwambia namtumia jamaa aone jinsi ulivyopendeza na kuwa mzuri.

To cut the story shorty,,, Tulikunywa mpk mida ya saa tano usiku hivi huku akiomba aondoke usiku ushaingia,,,nikamtania tu,,vp kama hutojali acha nikusindikize nipaone kwako,,huku namtania au unaogopa utaonwa na mwanaume wako,,,akajibu wala hata hayupo tushagombana na kuachana,,,nikamwambia twende room nikavae viatu(hapa nilikuwa nimevaa tu ndala za hotel) ili nikupeleke kwako,,akakubali twende wote room,,,kufika tu kaingia zake toilet kukojoa,,,kutoka tu toilet nikamtania,''dah unakiuno kizuri Shem,,wakubwa wanafaidi sana'' alichonijibu sasa,,,""hata wewe ni mkubwa tu,,,nikajisemea moyoni huyu,,haondoki hapa bila kuliwa,,,,.Nikamzingua ngoja nioge then nikusindikize,,,akasema sawa lakini fanya haraka ili niwahi,,nikamjibu poa,,,,nikavua nguo zangu pale nikabaki na boxer then nikajifunga taulo huku nawaza jinsi gani navyoweza kumla huyu kiumbe tena bila mtongozo,,.

Nimetoka kuoga namkuta mtoto kajilaza kitandani huku kafunga vimacho vyake vizuri,,,nikamsogelea karibu kabisa,,,kumshika mkono tu,,,hill joto nikasema huyu simuachi,,,,,sogeza mdomo karibu na sikio ili nimnong'oneze kitu,,wazo linajia pitisha ulimi sikioni,,,,napitisha tu ulimi mtoto akaanza kuweweseka,,huku mimi nachezea mtt ambayo yapo ndani ya blauzi yake,,,chezea sana mwishoni nikavua tight na chupi then piga deki sana,,,dah mtoto anarusha maji yule,,,,piga sana katerero,,,godoro lote chapa chapa,,,,kaja kuondoka kumeshakucha,,,,anasema ooohhh Shem sasa azma yangu imetimia,,,namuuliza kulikoni,,eti oohhh rafiki yako alishwahi tembea na rafiki yangu,,,so na mimi nimelipiza,,,nikamuuliza sasa ulivyotaka nikupeleke kwako,ingekuwaje akadai hata kule tu ningekufanyia vitimbi hadi ulale na unipige mashine.

Mwisho ikabidi ule mwezi niwe najilia tu Shem wangu maana hakuna kitu napenda km mwanamke anayerusha maji,,,siku zingine nalala kwake najilia tu vyangu,,,,jamaa yangu mpk Leo hajui chochote kama nishamla mama mtoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingine hii

Back in days nikiwa O'level Moshi, kuna dem tulisoma nae alikuwa kikojozi sana,mbaya zaidi hakuwa akijipenda na kwao maisha yalikua magumu shule anakuja mchafu, unform zake zimechakaa viatu mtihani, yule dem tulimpa jina la utani "Kimchelee" hili tulikuwa tunalijua sisi wana tu,na tulimpa jina hili kutokana alikuwa ananuka ka harufu flan hivi kama mchele ule unanukiaa, na kama mnataniana mtu akikwambia "dem wako kimchelee"lazima umind hata wasichana wenzake walimtenga!!

Basi bwana,baada ya miaka mingi kupita,mimi nko chuo apo mwaka wa 2,masomo magumu,nina stress balaa napiga Hamza Kanun mojamoja town posta mpya pale,nasikia naitwa na sauti ya kike "chineduu"nikageuka sikuona mtu ninayemfaham nikawaza labda si mimi ukizingatia jina langu ni popular sana, kila nikienda nasikia naitwa tu, mara mtu ananigusa bega kugeuka Aisee!!sikutarajia...

Alikuwa mtoto mmoja mkali vibaya mno, kajaliwa sura, shepu hatari, kavaa uniform za Supermarket moja kubwa na maarufu hapa mjini, ila mimi sikua namkumbuka huyu dem kwa io nkawa sielew kipindi, akaanza za siku, umekuwa mkubwa bla bla bla kibao akawa anaongea yeye tu mimi namtizama, akanambia hakutegemea kuniona hivo nmpe ata 20-30 hivi tukae sehem tuzungumze, kwel tulikaa sehem lakin sikua bado namjua ni nani japo kwenye mazungumzo alionesha kunijua sana!!

Kwa alkil ya haraka haraka nikahisi tulisoma nae, lakini nmesoma mikoa kama 4 hivi tofauti tofauti kwanzia primary-A level.kwenye story akawa anaulizia wanangu nliosoma nao Moshi kwa io nikajua nmesoma nae wap,ila huyu ni nani sina idea,baadae nkamuuliza maswal ya tecnik ambayo majib yake ndo nikajua aaah kumbe huyu ni Kimchelee!! Aisee nilishangaa sana alivyokua, basi story story pale nkachukua namba tukatawanyika ila nilibaki nikistaajabu sana!!

Tuliendelea kuchat nae kawaida tu,na mara nyingi alikuwa akianzisha yeye story,sikua na mawazo ya kumtafuna kwanza alionekana ni wale madem wa tabaka flan hiv,Jumapil moja akanialika kwake Kinondoni,nkamuulza kuhusu shemeji akasema njoo utamkuta hana shida, basi nikaenda kichwani nikiwa na mawazo kwamba natembelea familia ya mke na mume! Nmefika pale nmepokelewa njiani na ma hug mbele za watu adi najisikia soo, maana dem anamwil shepu mzuri alafu mimi dah!!

Tumefika kwake dem amepanga nyumba upande mzima,story mbili tatu nkakaribishwa menyu nmepiga fresh nkamuuliza mbona shem simuoni akanambia kaenda kusoma abroad,bas dem akasema anasikia joto ngoja akajimwagie maji, kaenda karudi aisee Mungu anaumba si mchezo!

Basi dem kaja kakaa pembeni yangu yani 0 distance,japo sebule kubwa, akaanza kuniulizia dem wangu wa o'level nkamwambia aliniacha dem akasikitika kizushi pale me namchora tu, mara ooh sorry nmekukumbusha vidonda wakati nlikuwa normal tu, naona mtu ananikumbatia ananilazia kwenye matiti yake, apo nkaacha uzembe nkajibu mashambulizi pale piga romance ya atari,nkamtenga apo piga sana!! Baadae dem anaanza kulia eti haamini kama kanipata ooh nilikuwa nakupenda tangu O'level ila nilidhan sitokupata kwa sababu ulikuwa unapendwa na wengi!!

Basi niliendelea kujipigia yule dem mpaka bwana ake alivyorudi akamuoa wakahamia Kenya ambako anafanya kazi mshkaji huko, huwa nawasiliana nae mara chache chache sana, na nikiri tu sijawahi kupata dem mzuri kama huyu Tangu nizaliwe!!

Nilichojifunza kwamba unaemdharau leo hii kesho huwezi jua atakuwa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Kimcheleee" nikiwa nasoma akyanani nimesikia harufu ya ubwabwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja na mimi nishare visa vyangu vya kula tunda kimasihara ila mabaharia mtatoa marks maana inaweza isiwe masihara kumbe kawaida 2,mwaka flan hivi nimeingia zangu SAUT Mwanza niliapa kutokutongoza mwanachuo kwani kuna bro alinitahadharisha sana kuhusu hao viumbe wanavyomaliza maboom ya masela so nikasema wasinichezee mie nitatafuta wananzengo 2 ,bc bhn nimekaa miezi 5 bila kufanya mapenzi mie kazi yangu ni asubh zoezi jioni nikipata muda naenda zangu kucheza mpira,maisha yakawa hivyo so Kuna siku naend zangu kununua mboga mchicha karib na hostel yetu nakuta bustanini Kuna kaka na dada wanashughulika kucheki mtoto anafaa kwa matumizi nikaanza ucheshi pale jamani dada unaitwa nani?naitwa Anita nikakumbuka wimbo wa matonya na jide nikapiga mistari miwili mi tatu mtoto akaanza kunisifia oooo unajua kuimba nikamwambia hapa nina harak ningekuimbia sana ila waweza kuja kunitembelea siku yoyote dirisha lilie chumba namba flani mtoto anacheka 2,ile najiandaa kwanda kwenda zoezi nakuta mlango unagonga kufungua ni yule mtoto ananiambia nimekuja uniimbie nikasema isiwe kesi nikarudia song lile anafurahi balaa kilichofuata baada ya hapo ilibidi zoezi lifanyikie kitandani shoo ya kibabe kwl kwl kutoa hasira za kukaa miezi yot bila kufanya mapenzi nilimalizia kwake mtoto wa kihaya alikuwa mtamu ila sema ana pigo za demu wa gwajima,bc akawa demu wangu kuanzia happy ule ukame ukawa haupo Tena nikawa najilia taratibu muda wowote nikitaka,nilikuwa napiga shooo za mwendo Kasi kumbe anaenda kuwasimilia rafiki zake kwamba amekutana n mwanaume wa kwle so Kuna mda akija kulala gheto ananipa niongee na hao rafiki kumbe nao wanataka wampindue mwenzao,baada miezi kukaa na yule manzi ulitokea mtafarukunflani hiv nikaamu nipige chini niendelee na maisha yangu so alilia sana akawaomba rafiki zake wamuombee msamaha rafiki zake wakaona hii ni fursa nao kuliwa. kisa kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Saloot kwako kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Mabaharia.!

Nimevutiwa kuleta kisa changu baada ya kusoma visa vya mabaharia wenzangu,ilikuaje.!? Twende sasa...........

October mwaka huu nilipata fursa ya kuhudhuria moja ya send-off hapa mjini,kufika ukumbini hivi achaaaa mademu kibao full masmartphone na drone za kutosha.Bila hiyana sikupoteza muda kukaa ktk kiti na kufuatilia kinachoendelea,ghafla macho yangu yakagota kwa binti mmoja,asikwambie mtu ile pisi ilikuwa kali mithili ya akina hamisa mobeto yaani type kama hizo,nikasema leo ngoja nipime nyota akitoka nje tu nipo nae hata akinitosa sio kesi hanijui simjui.

Aliwazalo baharia humtokea,mara paaap pisi hiyo inatoka sikuvunga mwanaume nikaunga,kucheck uelekeo anaelekea toilet aaaaah nikamuungia mpk kwenye kona dizaini hivi watu hawakuwa wengi yaani mimi na yeye,nikamuacha aingie kujisaidia nikamtega pale nje, akamaliza akatoka baharia sikupoteza muda.
Nikamsalimu Dada Mambo,Samahani.! bila hiyana akaitikia poa,bila samahani.nikaanza kumwaga sera,Samahani sana dada nimekuona sio siri moyo wangu umeushtua sana na kunipa hamu ya kufanya mapenzi na wewe,

To cut the story,demu alinishika mkono akanivutia toilet ile kuingia tu akanivua suruali piga sana bj za kutosha,alivyotosheka nikamtega dogg style piga sana pumbu mpk mabeberu wakatoka,kwa kuwa ilikuwa toilet ili tuskutwe tulifanya fasta kisha tukarudi ukumbini kama haikja tokea chochote.

Sikuamini kama tukio lile lilitokea na huwa nikitafakari huwa najuta sana.!
 
Sukari haijakolea mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabaharia sasa hizi chai mjitahidi ziwe zinaiva

Back
Top Bottom