Kula kwa masihara kuna raha yake lakini hasara zake ni kubwa pia. Kuna ishu ilinitokea kipindi flani na ikaniharibu sana kisaikologia.
Baada ya kunaliza chuo sikurudi home. Nlikua na kageto kangu mtaani nkakomaa, siku hyo naenda town usiku nkakaa na binti siti moja. Ni mzuri sana black beauty hivi lakini mdogo, mbichi kabisa. Nkahisi atakua mwanafunzi wa sekondari. Nkauchuna tu coz sipendagi kabisa stress za wanafunzi plus ukikamatwa hyo miaka 30 si mchezo.
Katika safari tukapeana hi, katika kuongea ndo nikagundua amemaliza form 4 mwaka uliopita kazungusha 0 yupo tu home na ndo amevuka 18 kama mwezi umepita.
Basi nkachukua namba, nkaanza kuchat nae siku hyo hyo. Nkamuomba aje geto kesho yake akasema atakuja jioni. Kweli mida ya saa 2 usiku kaja. Nkaenda kumchukua na kumlipa boda boda. Nkamchukulia chips nkazama nae geto.
Baada ya kula nkamuekea movie, hapo tupo kitandani, zikaanza touch hana shida, nkamuandaa nkampiga mashine mpaka saa 5 hivi. Akasema atalala tu hawezi kurudi kwao muda huo. Home anakaa na mama tu na wadogo zake. Hapo mama yake anapiga simu hatari, dogo hapokei. Basi show ikaendelea. Asubuhi nkamtoa nkampa nauli karudi kwao. Na mimi nkasepa home ili kama kuna msala wasinikute.
Basi ikaenda fresh, nkapata picha sio mara ya kwanza so mamaake ameshazoea. Basi nkaendelea kumla, uzuri hakana mizinga mikubwa, kanapenda kulana halafu ni kazuri sana. So maisha yakasonga.
Kuna sehemu nlifanyaga field baada ya kumaliza chuo nlienda kuomba kazi wakaniambia nisubiri. Kweli wakaniita, nkapata kazi ingawa ilikua ni entry position maisha yakaendelea.
Baada ya kama mwezi, Kuna mwanangu anapiga kazi mgodini kaja, anawaza kunywa bia tu na bata hapo ana hela kibao. Basi tukaenda kiwanja saa 10 hivi jioni, tumepiga vyombo hadi saa 2 usiku. Tukaona tutafute warembo. Yeye anamchepuko wake wa kudumu, kamuita kaja. Nkakacheki kale kademu kangu kakazingua hakawezi kuja, kamebanwa kwao, kakaniunganisha na rafiki yake ambae yupo viwanja muda huo.
Kweli rafiki yake kaja mwenyewe. Vyombo vikaendelea hadi night kali. Hapo wote tushalewa, nmekaa na huyo rafiki yake zikaanza touch, mpaka nkapeleka mkono kupima oil mtoto ashaloana hatari. Nkamuambia tutoke nje, mara kaja jamaa na hatumjui na rafiki zake wawili, kaanzisha vurugu. Kumbe ni bwanaake hako kademu, kuna kiwanja walikua wote kakamkimbia kuja nilipokuwepo. Basi ule ugomvi ukawa mkubwa hadi mabaunsa wakaja kuamulia. Wakasepa. Siku ikapita.
Kukawa kimya basi nkajua yule demu hajamuambia kitu demu wangu so kila kitu shwari. Baada ya kama wiki hivi hako ka demu kangu kakaniambia kanaumwa nkapelekee matunda. Kweli nkaenda kwao mida ya jioni, nmefika kakatoka tukaenda uwanja wa shule ya msingi tukawa tunapiga story. Hapo kanakohoa kichizi. Katika story kakaniambia kuna kitu inabidi nkuambie, nkauliza kitu gani. Kakasema kameathirika.
Asikuambie mtu ile taarifa sio nzuri hata siku moja, hapo nawaza nmeshalala nako zaidi ya mara 10 na kinga sijawahi kutumia. Af na jinsi kalivyo na kanavokohoa nkajua hapa tayari nshaupata. Nkakosa cha kujibu, nkanyanyuka nkasepa. Njia nzima scenario zina run tu kichwani.
Kilikua kipindi cha nanenane na hyo ofisi yetu ilikua na banda huko, nlipelekwa huko nideal na issues za wateja. Palikua pia na medical unit wanapima kila kitu.
Kesho yake nmeingia pale sina raha kabisa, nkaenda kupima kila kitu kasoro ngoma na kila kitu kipo fresh, ngoma naona noma kupima. Nkawa napiga story na huyo dokta kuhusu mambo ya ngoma, inavoambukiza, utumiaji wa dawa na kila kitu. Nkawa najipa moyo hajaniambukiza lkn confidence ya kupima sina. Hapo sijamtafuta na yeye hajanitafuta.
Baada ya kama siku 5 hivi, narudi geto usiku namkuta anansubiri mlangoni, sikua na hasira nae, nlikua nmevurugwa tu. Nkamuuliza unataka nini, kasema. 'Nmekuja nkuambie ukweli. Mimi sijaathirika, rafiki yangu aligombana sana na bwanaake siku ile alivotoka na ww akawa anajitetea wewe ndo ulikua unamlazimisha kumshika, nkaumia ndo nkakuambia nmeathirika ili na wewe uumie'
Nkapandwa na hasira nkamfukuza. Nkapata faraja kidogo lakini nkawa sina hamu tena ya hata kukaona wa kukasikia. Kameangaika kuniomba msamaha nkakaza. Baada ya muda kakantext kamepata mme dar kanaenda kuolewa mke wa 3. Nkakatakia kila la heri. Nkajipa moyo kuwa huyu hana ngoma huyu, angekua nayo asingeolewa.
Sijawahi kupima mpaka nlivopima mwaka huu na kugundua nipo fresh kabisa. Demu sijawahi kuwasiliana nae tena. Mpaka mwezi wa 10 mwaka huu yule rafiki yake kanicheki facebook, baada ya salamu ndo kaniambia kuwa yule demu amefariki jana yake wakati anajifungua, alijifungua kwa operation coz njia ilikua ndogo sana, complications zikatokea akafariki lakini mtoto yupo salama. Nlijisikia vibaya sana.
R.I.P. M. Pumzika kwa amani.