Pamoja na roho mbaya za mods
Kila wakati kufanyia usafi uzi huu
Usafi usiohitajika kisa wivu wao
Bado umeweza kuendelea uzuri
Muda si muda utafikisha elf sita
Na bado mabaharia wapo kazini
Wanaendelea kushusha nondo
Nondo moto kama hawana akili
Mhuni
rikiboy popote ulipo leo
Shangilia sana maana umejenga
Ndio! Umejenga kijiwe bora sana
Wadau na mabaharia wanakutana
Wanawake kwa wanaume wajadili
Wasichana kwa wavulana wasema
Wanayasema waliyokutana nayo
Wakajikuta wanakulana bila soni
Hakuna cha mtongozo wala usemi
Ni kuvuana vificha uchi na kukazana
Wengine wakaenda hadi kuwa ndoa
Wengine ni one night stand matata
Mradi kufurahia uumbaji wa Mola
Yaisha yaendelee kwa furaha tupu
Kama kitabu chetu enzi zetu zile
Someni kwa furaha! Taabu za nini?
Tukutane kijiweni tiyajadili ya kwetu
Bazazi
Sent using
Jamii Forums mobile app