Miaka kadhaa imepita sasa, nikiwa safarini kuelekea Lushoto kwa ajili ya Usambara Mountain Hiking kama moja ya hobby zangu. Hiking ya mwaka huo niliipanga nianzie Lushoto mpaka Mkuzi ambayo ni kilomita 12.30 hivyo niliamua nianzie Lushoto.
Siku ya safari, nilifika Ubungo na kuelekea yanapopaki magari ya Lushoto, niliingia kwenye basi na kuanza kutafuta siti yangu, nilikuta binti mmoja amekaa, nikamsalimu na nikamjulisha kuwa hiyo ni siti yangu, akaniambia ni kweli ya ila angependa akae dirishani kama sitojali kwa kuwa hiyo ni safari yake ya kwanza kwa njia ya kaskazini, kwa ile sauti ya upole, haiba ya kike usoni na macho meupe yaliyochokachoka nikajuikuta nakubali kuwa akae dirishani.
Safari ikaanza na kila mtu akiwa bize na simu yake, tulipofika Ruvu darajani tukakuta kuna ajali, hapo sasa ndio stori zikaanza na kufamiana vizuri. Alikuwa mfanyakazi wa idara fulani lakini pia alikuwa akisoma shahada ya pili (master degree) pale University of Dar es Salaam Business School. Alikuwa anaenda kumtembelea rafiki yake huko Lushoto. Wakati huo mimi nilikuwa nafanya Masters of Science in Construction Management pale Ardhi.
Baada ya hapo tukawa tupo karibu na kuzungumza kama wapenzi wa siku nyingi. Kwenye siti yetu ilikuwa ni furaha tu, kushikana shikana mikono sana, kucheka sana, mara binti anilalie ili mradi tu ilikuwa ni kama tumejuana muda mrefu sana. ( Tahadhali ikitokea hivi hupaswi kuondoa umakini kama una hela nyingi au mzigo wa thamani).
Hata ilipofika mahali pa kulia chakula Highways – tulikula pamoja na nikalipia chakula japo binti alijifanya kutaka kulipa. Yeye alinunua vinywaji na matunda.
Awali ilikuwa amepanga ashukie kituo kinachoitwa Soni ili kutokea hapo aunganishe gari nyingine kwenda kwa huyo rafiki yake. Kwa sababu ya ajali iliyotuchelewesha Ruvu ikabidi nimshawishi kuwa Lushoto kuna Lodge nzuri zaidi hivyo ni bora akashukie Lushoto na alale hapo ili asubuhi aanze safari ya kwenda kwa huyo rafiki yake. Binti alikubali ushauri wangu hivyo tulipofika Soni hakushuka.
Tulifika Lushoto saa mbili na nusu usiku(Baridi ilikuwa inapuliza hatari) na kwa kuwa nilikuwa nimeshafanya Booking kwenye lodge fulani pale Kilimani karibu kabisa na Stendi ya Mabasi Lushoto, nikamueleza binti kuwa mimi naelekea kwenye hiyo lodge.
Tukashauriana kuwa twende pamoja ili kama kuna chumba kimebaki binti alale hapo pia. Tulipofika niliulizia kuhusu booking niliyofanya na mhudumu akanikabidhi funguo ya chumba , nilimuuliza pia kama kuna chumba kipo wazi kwa ajili ya huyu dada, mhudumu akajibu nilijua mpo pamoja, hapa vyumba vimejaa maana kuna wageni wengi kwa ajili ya hiking. Nikamuuliza kama tunaweza kupata chumba kwenye guest house au lodge yoyote ya karibu mhudumu akasisitiza kuwa guest nyingi za karibu na stendi zimejaa labda kama ni za mbali kidogo.
Nikamgeukia msafiri mwenzangu na kumuuliza, tunafanyaje sasa? Alijibu kwa kifupi yeye hana wazo lolote, amechoka na anataka kupumzika tu. Nillinua begi langu pamoja na begi lake dogo kuelekea chumbani na yeye akanifuata kwa nyuma. Tukajikuta tupo room pamoja, maswali ya hapa na pale yalifuata kila mmoja alioga kwa wakati wake kisha tukatoka kwenda stendi pale restaurant ya MGOSI ambaye alikuwa anachoma sana nyama ya mbuzi miaka ile.
Baada ya msosi tukarudi lodge binti akatangulia chumbani kwa ajili ya mapumziko mimi nikabaki sehemu ya mapokezi kwa ajili ya kuulizia ‘’zana za kazi’’ iwapo kama itatokea zari la mentali. Licha ya uzuri na mvuto wa huyu binti sikuwa tayari kuuza mechi. Nilifanikiwa kupata zana na nilirudi chumbani nikamkuta binti yupo kitandani akiwa amejifunika vizuri kabisa. Nami nikavaa pajama yangu nikataka kuzima taa ila binti akagoma basi nami nikapanda kitandani huku kila mmoja akiwa kimya. Binti aliamka na kukaa kisha akaniambia tufanye maombi kabla ya kulala kwa ajili ya ulinzi na usalama, nikajiona bonge la mdhambi, yaani mimi nimeshafikiria kula tunda kumbe binti ni mtu wa dini kiasi hawezi kulala bila maombi.
Hatimaye akanitakia good night huku akisema kwa tabasamu niwe gentleman na nisimsumbue. Nami nikamtakia good night na kumhakikishia kuwa sitamsumbua, kila mmoja akageukia upande wake tayari kwa kulala tukiwa ndani ya hizi blanket nyepesi pamoja na shuka. Kwa ile hali ya ubaridi na baada ya yale maombi ya binti nikaona hapa hakuna habari nyingine zaidi ya kulala tu.
Saa nane usiku binti akajisogeza mgongoni kwangu na kupitisha mkono wake juu ya kiuno changu, nikajigeuza upande wake, nikasikia tu akisema - it is so cold here, sikuwa na jambo la ziada zaidi ya kumvuta karibu na kumkumbatia. Ile kushikanashikana na kumpapasa mtoto nikajikuta nimefika maeneo ya tunda, kila naposhika binti anatoa miguno tu, nikajua huyu anataka.Baada ya kissing ya dakika kadhaa tulijikuta kama tulivyozaliwa ndani ya shuka, binti kwa ufundi kabisa akaishika mashine na kuielekeza mahali pake. Tuliishia kulana usiku ule na tukaendelea kulana asubuhi yake. Alikwenda kwa rafiki yake baada ya kulala naye pale siku mbili. Huyu ni aina ya mabinti ambao wanatoa miguno ya mahaba wakati wa kugegedana mwanzo mwisho. Hii ni sababu iliyonifanya nimgande maana ile miguno ya kimahaba kama una masikio mazima inatia nyeg** sana na kuhamasisha kuwa na hamu na tendo. Tulilala kama wasafiri na tukaamka wapenzi tukifurahia tunu za dunia.
Niliamka na kukuta zana zikiwa kwenye pakti zake kama nilivyozichukua kwa mhudumu pale reception.
Nikaenda zangu hiking mpaka Mkuzi, akanisubiri alipokuwa anarudi kutoka kwa rafiki yake tukalala tena pale Kilimani na nikamla tena, tukarudi wote Dar.
Kilichotokea baada ya hapo na kinachoendelea kutokea ni siri yangu na msafiri mwenzangu.
Dunia ina raha sana hii ukiwa mtulivu na kufurahia hizi tunu za hawa dada zetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app