ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Tupia mkuu!! We tupia tu!!Dah umenikumbusha Facebook nilikulaga demu mmoja mkali sana alikuwa anaishi UK. Tulikuwa tunachat ujinga ujinga miaka karibia miwili wala hatujuani demu alikuwa anaishi UK ila she is from Mikocheni. Kama mtapendezwa nitawapa story yake nilivyomla aliporudi Bongo one time na kuondoka