Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Tamuu, nimeipenda mpaka nasiinzia. kwakweri in magu voice
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa chuo nilikua mdada flani hivi wa kawaida sanaa ikitokea umenifahamu ila kwa appearance ya nje watu wengi walikua wakinichukulia tofauti...wengi walikua wanasema naringa mara natoka na watu washua kumbe wapi maskini[emoji28]....ss kutokana na hiyo situation nilikua na small circle ya marafiki inshort nilikua naongea na wengi kwa story za juu juu ila sikua na rafiki...ktk maisha yng ya chuo wazaz wangu haikua haba sana kwa vimatumizi vya hapa na pale na nilikua na boyfrnd ambae alikua na kasoro zake nyingi tu ila kwny kunihudumia hakuwahi kua na shida ila tulikua mikoa tofauti deep inside mm ni type ya mdada ambae nikipenda napenda so nilikaa pale chuo almost miaka2 sijawahi kua na mvulana yyt yule na nilikua niktongozwa nakataa sababu ya kumlindia heshima mshkaji nliekua nae incase akiwa anakuja nisimchoreshe kwa watu (au tuseme nilikua nampenda tu[emoji1])...kutokana na kua napewa vijisenti vilivyokua vinanitosha bas nilikua nakula bata zangu ndogo ndogo mwenyewe km kujipeleka club sometimes si unajua maisha ya chuo[emoji28] au saa zngn sehem za kunywa kdg nakula nyama nakodi bajaj narudi room

Sasa bwana kuliwa kimasihara kulikuja vipi[emoji28]!
Wakati maisha yanaendelea yule boyfrnd wng kuna vingi alikua akinikwaza ila namezea tu sababu nampenda maana mara upoge cm iko busy mara asipokee yaani ilimradi fujo tu sema nikawa naumia kindani natulia sina jinsi sasa kuna siku nikajisemea tu ngoja nitoke leo nikapate bia mbili tatu nile na nyama nirudi kupumzika.... wakati nipo pale nikakutana na mkaka "X" huyu mkaka nilikua nasoma nae na tuna mazungumzo ya juu juu salamu na utani kwa mbali sanaa alikua anapenda kuniambia we unajitoaga mwenyewe mwenyewe mshua gani anakuweka mjini ww? Nsishia kucheka napotezea siku zinaenda?

The guy serious alikua very handsome and attractive sema alikua sio mtu wa mademu sana sababu alikua anapenda pombe na marafiki ht ile cku alikua na rafki zake ila alivyoniona pale ndio akaja pale kunizingua na kunisalimia basi tukaishia kupiga story nyingi sana akanikumbushia jinsi alivyokua mwenyewe anaita "kujipendekeza kwangu 1st year nikawa najifanya kumpotezea na nn tukawa tunacheka tu mara ghafla nikashangaa nimepata crush ya ajabu kwake yaan nikaacha hadi kunywa nikawa namzingatia kila akiongea ndio nikawa close naubaini uzuri aliobarikiwa aisee i found out yule kijana ni mzuri bwanaaa! Mi hata sipendagi kubit around the bush nilimwambia direct "X" unajua kua your very goodlooking and handsome?? Akacheka akidhani namtania nikamwambia am serious akasema mbona ulikua unanikataa tangia mwanzo nikamwambia achana na yaliyopita!

Wakuu nikamwanbie it will be my pleasure km ntaspend a night with u dizaini km alishtuka akatafakari kwa mudaaa then akasema sawa but kwa nn tusifanye kesho? Nikamwambia naomba iwe leo akakubali sababu ya tamaa nadhani[emoji1787] sababu mimi nae si haba nina umbile la kiafrika jamani[emoji23]!

That night was the best in my life jamani hv wadada ulishawahi kutana na kijana ambae akivua nguo ndio anazidi kuvutia[emoji2962] basi ni huyu kaka...alikua ana rangi flani hv ya maji ya kunde mrefu ananukia vzr jmn japo alikua amekunywa ila his mouth smell good.....tulifanya sex usiku mzima non stop mpk asubuhi...asubuhi akaomba tena nikampa then nikaoga na yy akaoga tukawa njiani tunacheka tu mi nikaenda room kwangu na yy alienda room kwao!

Kufika kwangu nikadhani atapotezea so binasi na mm nilikausha since that day akawa ananitafuta like everytime...caring na huduma zote km a girlfrnd nilikuja kushangaa how caring he is tofaut nlivyokua namdhania akaja kuniambia ile siku ya kwanza nilisita sabsbu nilihisi lbd una UKIMWI unatska unilambe nao aisee tuliendelea na mahusiano na tulipendana mnooooo ukizingatia tulikua na vitu vingi tuna match!

Mpk ss hv natype ni tulimaliza chuo tukakaa km mwaka na nusu hv akaja nyumbani wakamtambua japo mm alinipeleka kwa mama yk muda kidogo....process zilifatwa tukafunga NDOA takatifu na tuna 2 beautiful kids together!

NB:Haya maisha wanaume mnawapa presha wadada sijui wawe hv mara vile ili ndio muwaoe jmn mpunguze mimi na baba chanja wangu tunajinywea zetu pombe pamoja[emoji1787][emoji1787] kipindi cha mimba ananywea nyumbani! Tukiwa free tunatinga km vijana tunaenda kuserebuka km kawa ukituona km mtu na hawara kumbe ni WANANDOA maisha yanaenda huko nyuma tulifanya makosa km kutoa mimba 2 na mengine ila nna imani Mungu wa huruma alitusamehe!

Am proud to be his wife[emoji56] hata yy naskiaga anasema mke wangu alikuja kwangu km masihara ila amefanyika baraka maishani mwangu

Nawaonea huruma hawa watoto wetu sijui watafanya kipi kipya tusichokijua jamani[emoji28][emoji28]

Mtanisamehe kwa story ndefu na uandishi ambao sio mzuri sana wengine hatujasomea jmn mwe[emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vzr ukifanikisha ila vikibuma utajuta niulizeni mm niliemla manz kimasihara utamu ukamzidi akazima magetoni amsha na ww amna kitu jina lenyew ata simjui nkajua nimeua, nilishaanza kupanga nguo na kodi niiache nisepe nasikia mtu ananiomba maji nlishtuka nkampa maji akanywee ndan ya bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂hi ya maziwa nahisi
 
Hivi vitu vzr ukifanikisha ila vikibuma utajuta niulizeni mm niliemla manz kimasihara utamu ukamzidi akazima magetoni amsha na ww amna kitu jina lenyew ata simjui nkajua nimeua, nilishaanza kupanga nguo na kodi niiache nisepe nasikia mtu ananiomba maji nlishtuka nkampa maji akanywee ndan ya bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa nguvu aiseeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah MTU wangu wa karibu sana sana ilimtokea hii kitu! Au ni wewe?? Ila mshkaji ilimtokea Mara mbili tena kwa mademu tofauti! Kwenye Event ya kwanza nilimsaidia Mimi.....
Hivi vitu vzr ukifanikisha ila vikibuma utajuta niulizeni mm niliemla manz kimasihara utamu ukamzidi akazima magetoni amsha na ww amna kitu jina lenyew ata simjui nkajua nimeua, nilishaanza kupanga nguo na kodi niiache nisepe nasikia mtu ananiomba maji nlishtuka nkampa maji akanywee ndan ya bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vzr ukifanikisha ila vikibuma utajuta niulizeni mm niliemla manz kimasihara utamu ukamzidi akazima magetoni amsha na ww amna kitu jina lenyew ata simjui nkajua nimeua, nilishaanza kupanga nguo na kodi niiache nisepe nasikia mtu ananiomba maji nlishtuka nkampa maji akanywee ndan ya bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ustake ncheke. Maana nafikiria hofu na khofu uloyokuwa nayo. Dhakari na korodani zake ziliingia ndani kwa woga. Jasho sijui lilitoka lita ngapi. Yaani naona kabisa ilikuwa ni mchafukoge na mvurugano ndani motima wako.

Nachokiona na kuwa binti hakuwahi kujua orgasm (mshindo/kukojoa) ni kitu gani. Wanaume waluowahi mtumia, walimtumia kama choo. Yaani unafika chooni, unachukumaa, unalenga shimo/sinki, unashusha mzigi, unatawaza na kunyanyuka zako. Hujui iwapo choo kimeridhika au laa. Ulipomkojoza starehe aliyopata iliufanya ubongo usimamishe baadhi ya shughuli ("coma") ili mhusika asijekufa.

Pole Mkubwa ndio masaibu ya mabaharia hayo!

Bazazi

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah MTU wangu wa karibu sana sana ilimtokea hii kitu! Au ni wewe?? Ila mshkaji ilimtokea Mara mbili tena kwa mademu tofauti! Kwenye Event ya kwanza nilimsaidia Mimi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ipo. Kuna jamaa ilimtokea mwezi wa sita. Kapiga demu mashine ghafla demu kazima. Sema bahati nzuri jamaa alikuwa anajua kuwa demu huwa anazima. Anasema palikuwa hapatoshi wakati mtu kazima. Alishajiandaa kusepa ndo anashangaa mtu anashtuka.
 
Haya mambo yapo aisee. Yaliwahi kunikuta, na pia kuna mshkaji wangu mmoja naye yalimkuta. I can confirm he's not lying.
Nimeyasikia kwa mshkaji pale SUA mwaka 2007. Mshkaji alitoka na Mrs wa mtu mwenye watoto 2 lakini hajawahi kojozwa tangu azaliwe. Alizimia kwa dakika kadhaa na kwa kuwa walikuwa ".nyumba za wenyeji" zile za kujitegemea (self contained rooms), alimwagia ndoo nzima ya maji ndo "akafufuka".

Malawi kuna malaya aliwahi uwa mzee wa watu sababu ya utamu

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vzr ukifanikisha ila vikibuma utajuta niulizeni mm niliemla manz kimasihara utamu ukamzidi akazima magetoni amsha na ww amna kitu jina lenyew ata simjui nkajua nimeua, nilishaanza kupanga nguo na kodi niiache nisepe nasikia mtu ananiomba maji nlishtuka nkampa maji akanywee ndan ya bajaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimecheka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watu wanaodai hizi stori ni uongo wanaweza kuthibirisha au ni kujimwambafai na kimbelefronti tu

Chai chai kwani ulikuwa naye? Pia kwani umelazimisha kupita mitaa yenye chai nyingi! Kuchamba kwingi tu. Leteni zenu zenye uhalisia. Wivu unawasumbua sana na mtakufa na kijiba cha roho

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Madomo zege hawawezi kuamini maana kwao kutongoza demu ni mtihani achilia mbali kula kimasihara

Halafu kwani wameambiwa humu kuna uthibitisho wa video kwamba mabaharia tunatakiwa tuuweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka katika miaka ya utoto, nilitokea kupendana mno na binti ambaye alikuwa ni jirani yetu, baba yake alikuwa ni askari jeshi, Mkuu wa Mgambo wa Mkoa. Hakika tulipendana sana na fa familia zetu zililijua hilo. Tulisoma na pamoja na mara nyingi tulicheza michezo ya kitoto pamoja. Yalitokea maneno toka kwa vijana wengine kudai sisi ni wapenzi lakini haikuwa kweli. Mambo ya kujamiana hayakuwa kichwani mwetu japo kuna hisia za mapenzi zilikuwa zikichemka. Kaka zake huyu binti walikuwa ni marafiki zangu kweli!

Baada ya kumaliza masomo ya shule ya msingi, huyu binti yeye hakufanikiwa kuendelea na sekondari ila mimi nilichaguliwa kujiunga na sekondari moja mkoa wa Kilimanjaro. Binti yeye alienda kuishi Tabora kwa dada yake ambaye alikuwa kaolewa na askari jeshi. Baada ya kumaliza kidato cha nne, nilipangiwa kujiunga na kidato cha tano katika shule moja mkoani Tabora. Hivyo ikawa bahati tena ya kuungana na huyo binti. Kila Jpili nilikuwa nikienda kula mchana kwa dada ya huyu binti. Akiwa Tabora, huyu binti alianza mafunzo ya Uuguzi katika hospitali (Nurse Assistant). Mimi baada ya ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita, nilipangiwa kwenda katika kambi ya JKT, Mafinga kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria hata hivyo sikwenda Mafinga bali nilibadilisha nikaenda Msange JKT hapo hapo Tabora. Hivyo tuliendelea kuwa karibu.

Mara baada ya kumaliza mafunzo ya JKT nilipata bahati ya kuchaguliwa kwenda kuendelea na masomo ya juu nje ya nchi ambako nilikaa kwa muda wa miaka sita. Kwa muda wote huo tulikuwa tukiwasiliana na huyu binti kwa barua (ikumbukwe enzi hizo simu za mikononi zilikuwa bado). Na kipindi hicho, tayari Baba yake alistaafu na kurejea kwao Tanga. Huyu binti baada ya mafunzo yake, alirudi mkoani kwetu kuishi na dada yake mwingine ambaye alikuwa kaolewa huko. Alifanikiwa kupata kazi kama Muuguzi Msaidizi katika hospitali ya Mkoa.

Akiwa huko alifanikiwa kupata mchumba na kuolewa. Ndoa yake mwanzo ilikuwa nzuri lakini kadiri muda ulivyokuwa ukienda hali ilibadilika na upendo kukosekana katika ndoa hiyo. Tatizo kubwa lilikuwa ni kukosekana kwa mtoto katika ndoa. Pamoja na jitihada nyingi za kitabibu kufanyika lakini binti huyu hakushika mimba. Hapo yakanza manyanyaso, masimango na vipigo juu! Alikuwa akiniandikia na kuniomba ushauri.

Baada ya kurudi nyumbani kwa, nilimkuta akiwa kwa Dada yake, kakimbia kwake baada ya vipigo kuzidi. Nilimtembelea jioni moja hapo kwa dada yake na baada ya kupata chakula cha jioni tulikaa sebuleni na kaanza kunisimulia yanayomsibu. Alikuwa kakaa pembeni yangu akiegemeza kichwa chake katika bega langu huku akilia. Nilijisikia vibaya na nikakosa mbinu ya kumfariji ili asilie, maskini mimi! Nilianza kumpiga piga mgongoni kumbembeleza na kumvutia kwangu. Nilisimama kisha naye akasimama akakiweka kichwa chake kifuani kwangu. Nikayashika mashavu yake yote kwa viganja vyangu na kumtazama usoni.....bila kutarajia nikajikuta nimepewa ulimi nami bila kujijua nikatoa ushirikiano. Kilichofuata nilijikuta niko chumbani kwake na tumeshiriki tendo la ndoa bila ya kutarajia tena bila condom! Anyway, tulipima baada ya muda na majibu yalikuwa safi. Tulijikuta tunatoka katika urafiki na kuwa wapenzi....... Hata hivyo nilimjulisha kuwa nina mchumba na nikamtambulisha kwake. Alshiriki kikamilifu katika ndoa yangu na hadi kesho yeye ni mshauri wangu namba moja katika maisha.
Ni wanawake wachache sana wenye uelewa km huyo mwanamke mwenzangu aliokuwa nao

Sent using i phone x
 
Back
Top Bottom